Baada ya mahakama ya ICC kutoa warrant ya kukamatwa Netanyahu kwa serikali yake kukiuka kanuni za vita, kama vile kuzuia kuingia kwa vyakula maeneo ya Gaza, Marekani imeweka wazi kuwa nchi yoyote rafiki wa Marekani, itakayojaribu kutekeleza amri ya mahakama ya ICC, Marekani itaiwekea vikwazo...
Ukiangalia maelfu watu wasio na hatia tena waliodhulumiwa nchi ardhi na nchi yao wakiuawa, unashangaa dunia iko wapi, maendeleo yako wapi, haki za binadamu ziko wapi, binadamu wako wapi, akili iko wapi nk?
Kwa wanaoweza kuwaza mbali, kuna uwezekano Marekani na wazungu wanajaribu wanachopanga...
Siku ya Leo ICC imetoaa kibali cha kumkamatwa waziri mkuu wa Israel Netanyahu, kiongozi mwengine maarufu aliewekewa kibali cha kukamatwa ni Rais wa Urusi, Putin.
ICC ina haki ya kuwakamata washirika wakuu wa Netanyahu ambao ni marais wa Marekani Biden na Trump kwasababu wanatoa ushirikiano...
Kuanzia tarehe 20 January, 2025 waliojilipua na kuzamia Marekani au wenye ndugu zao huko wajiandae. Bosi mpya wa uhamiaji ameapa kuacha kiwewe na vilio kwa wengi. FUNGUA KIUNGO HIKI.
---
What Trump 'border czar' Tom Homan has said he plans to do starting on Day 1
Last week, while appearing on...
Huyu jamaa anatoa Wapi pesa.
Kwenye kipindi cha good morning cha Wasafi FM anasoma magazeti Ila hamalizi mwezi akiwa Tanzania.
Utasikia yupoo USA, German, mara Italy, leo yupo Dubai.
Wakuu huyu jamaa anafanya kazi gani mpaka awe na pesa hivi?
Unaweza kuiita njia nyepesi ama ngumu kutokana na mtazamo wako ambayo Urusi yampasa au anaweza kuichukua ili kumdhibiti marekani dhidi ya hatua zake anazo chukua kupitia vita vya Ukraine katika kumdhibiti Urusi.
Kwangu mimi Nathan mtazamo kwa tazama hatua ambazo Urusi alichukua kumdhibiti...
Bilionea wa kihindi Gautam Adani ameshitakiwa kwa utapeli na rushwa katika mahakama ya New York. Yeye na wenzake wanatuhumia kuahidi rushwa za mamiliono ya dola kwa maafisa wa serikali ili kupewa mikataba na tenda kimagumashi ikiwemo ya umeme wa solar.
Itakumbukwa kuwa moja ya makampuni ya...
Urusi inaweza kutoa msaada kwa Wahouthi wanaoungwa mkono na Iran huku wakihatarisha njia kuu za meli.
Afisa mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani alisema Moscow inashirikiana na waasi katika "kiwango kikubwa."
Afisa huyo aliiambia BI kwamba usaidizi wa Urusi ungekuwa "wasiwasi mkubwa...
Kuna mtu katolewa chambo
---
Marekani imetangaza kuwa ubalozi wake katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, umefungwa baada ya kupokea taarifa maalum kuhusu uwezekano wa shambulio kubwa la anga.
Onyo hilo la shambulio, linakuja baada ya Rais wa Marekani, Joe Biden kuipa Ukraine idhini ya kutumia...
Waungwana kuna ukweli gani hapa kuwa Kule Marekani kuna mji unaitwa Centralia, uko Pennsylvania. Mji huo umekuwa ukiteketea kwa moto tangu mwaka 1962, na inasemekana moto huo utaendelea kuwaka hadi miaka mingine 250 ijayo.
Wanaukumbi.
Ni aibu kubwa IDF jeshi ambalo tuliaminishwa kuwa lina kila kitu makomandoo bora kabisa duniani na majingambo ya Netanyahu kuwa tunaingia Rafah kuwarudisha mateka wetu haamna wa kutuzui leo hii Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu anasema Israel inatoa zawadi ya $5m kwa yeyote...
Chancay port ni bandari ya kisasa iliyojengwa na kampuni ya China COSCO kama project ya BRI. Imezinduliwa 17th Nov 2024 na Xi na raisi wa Peru
Ni smart port au full automated port kila kitu kinafanywa na mitambo au mashine na ndio smart port pekee barani humo.
Robotic megaport that operates...
Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo:
Times of Israel
Incoming Senate
majority leader threatens ICC with sanctions over case against Israelis
Senator John Thune warns US will impose restrictions on International Criminal Court if it moves ahead with arrest warrant requests against...
Ndugu zangu Watanzania,
Taarifa zinazoendelea kusambaa Duniani kwote ni Kuwa Rais Samia Ambaye Ndiye Rais mwanamke Pekee Barani Afrika na ambaye ndiye Nembo ya Afrika. na Kiongozi Mwenye ushawishi Zaidi barani Afrika na miongoni mwa Wanawake mia moja wenye Ushawishi zaidi Duniani .anatarajiwa...
Tukio La Varginha (Roswell ya Brazil).
Tarehe 13 Januari 1996 Komandi Ya Anga Ya Anga Ya Amerika Kaskazini (NORAD) ilitoa tahadhari kwa majeshi ya Brazil, kwamba kuna kitu kisichotambuliwa (UFO) kilomita 300 katika anga la mji wa Sao Paulo.
Wakati jeshi la Brazil linaanza kuchukua hatua...
Serikali za Marekani, Ufaransa na Uingeleza zimeruhusu silaha zake zitumike ndani ya Urusi, hapo mwanzo zilizuiwa kutumika ila baada ya mashambulizi ya jana kutoka Urusi wameona wairuhusu Ukraine ifanye ionacho ni sawa
Wanabodi,
Makala yangu Nipashe ya Jumapili.
Bado niko Jijini Washington DC, nchini Marekani, kwenye haya na yale.
Hii ni makala ya swali, hiki kilichotokea kwenye matokeo ya uchaguzi wa Marekani, kutomchagua mgombea mwanamke kwa sababu nyingine zozote, ila moja ya sababu hizo, inaweza kabisa...
Wakuu,
Makonda akiwa katika mkutano wa kuelezea miezi 6 ya makonda ameaulizwa swali kuhusu ban yake ya Marekani kwamba hilo linaasharia kabisa Makonda kuhusika na masuala ya utekaji na uvunjifu mwingine wa haki za binadamu.
Makonda akijibu swali hili amesema kelele hizi zilianza alipoanzisha...
Katikati ya mdororo wa uchumi, anguko la viwanda lililosababisha Great Depression. Biashara za magendo zikitawala, Magenge ya kimafia yakiwa fasheni ya mitaa. Ni wakati huo alizaliwa mtoto.
Chicago, Illinois, ngome kuu ya maharamia wa Chicago Outfit, chini ya underworld chief, Al Capone a.k.a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.