maria sarungi

  1. VIDEO: Wasomi wamshangaa Maria Sarungi kwa kushindwa kuja nchini kumzika baba yake

    Wakuu Wanaojiita Wasomi na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wamshangaa mwanaharakati Maria Sarungi kwa kushindwa kurudi nchini Tanzania kwenye msiba wa baba yake, wamtaka asichanganye siasa na mambo yake ya kifamilia. Soma: Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake
  2. K

    Maria Sarungi atakuja kupewaga Nobel Price

    Inatupa moyo kujua kuna Watanzania wazalendo wa kweli ambao wameweka sababu za kuwa hapa Dunia. Sio Machawa ambao wanaishi akili na moyo upo kwenye matumbo Namtabiria huko mbele Maria atapewa Nobel price https://youtu.be/FaN8lS_XNX0?si=mIbPy6Vr4WLKVKIo
  3. M

    Mazishi ya Prof. Sarungi: Serikali ililazimisha azikwe Dar ili kumkamata Maria Sarungi

    Hii ndio sababu kubwa ya Prof. Sarungi kuzikwa Kinondoni. Kwa ubavu serikali iliingilia kati na kuteka msiba na kulazimisha Marehemu Sarungi kuzikwa Dar. Kwa muda mrefu Serikali ya Samia inamtafuta Maria Sarungi kwa udi na uvumba. Hivyo walijua kuwa kama wakilazimisha msiba uwe Dar ni rahisi...
  4. Dada Maria Sarungi Watanzania tunajuana kwa Mambo yetu, ila hatujafikia Kuhatarishiana Usalama pale tunapopatwa na Misiba. Umekosea sana Dada..!!

    Mwanaharakati Maria Sarungi ambaye ni Mtoto wa marehemu Prof. Philemon Sarungi amesema miongoni mwa sababu iliyomfanya kushindwa kuhudhuria mazishi ya baba yake ni pamoja na Suala zima la Usalama wake. Maria amesema hayo leo Machi 10, 2025 wakati alipotoa salaam kwa njia ya mtandao wakati wa...
  5. S

    Maria Sarungi amemharibia babake: mazishi yake si ya kuongozwa na Ridhiwani

    Biblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu. Prof. Sarungi alikuwa mtu mkubwa amewahi kuwa waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga Taifa, Afya, Elimu n.k Hizo ni wizara kubwa kubwa sana. Level yake...
  6. Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Godbless Lema amemfariji Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X kutokana na Maria kushindwa kufika katika msiba wa baba yake β€œNimekusikiliza ukiongea kwa njia ya mtandao wakati wa salamu za rambi rambi ukiwa mbali na halaiki iliyokuja kumuaga baba yako Prof...
  7. R

    Je, Maria Sarungi atathubutu kuingia Tanzania kumzika Baba yake?

    Maria Sarungi ni mkosoaji wa muda mrefu wa juhudi za chama na serikali iliyopo madarakani. Ni mwasisi wa mijadala mikali ya X toka kipindi cha JPM. Je, kwa ukosoaji huo anaoufanya akiwa nje ataweza kuingia Tanzania kuja kushiriki mazishi ya baba yake aliyefariki leo? Nauliza kwa sababu hadi...
  8. SI KWELI Jambo TV wamechapisha taarifa ikisema 'Maria Sarungi aitelekeza CHADEMA na hayuko tayari kuichangia kutokana na mgawanyiko

    Wakuu nimekutana na hii taarifa mtandaoni kwenye magroup ya facebook. Je, ni ya kweli? === 𝗠𝗔π—₯π—œπ—” 𝗦𝗔π—₯π—¨π—‘π—šπ—œ 𝗔𝗧𝗒𝗔 π—§π—”π— π—žπ—’ π—žπ—”π—Ÿπ—œ π—–π—›π—”π——π—˜π— π—” Mwanaharakati Maria Sarungi ameweka wazi msimamo wake kuhusu CHADEMA, akieleza kuwa kwa hivi sasa hayupo tayari kukichangia chama hicho. Ameeleza kuwa sababu kuu...
  9. Huyu Maria Sarungi anatoa maagizo haya kwa wanachama, yeye ana cheo gani uko CHADEMA?

    Maria Sarungi ni nani ndani ya Chadema mpaka awapangie watu
  10. SI KWELI Maria Sarungi aitabiria CHADEMA kifo

  11. Maria Sarungi ni adui wa Tanzania

    Kama Maria anataka kufanya majadiliano ya matukio yanayotokea hivi sasa, ni lazima afanye kistaarabu,bila kutukana. Kila siku tunaona watu wanajadili current events katika talk radio. It is encouraged by the government and it is helpful for everyone if people discuss the events which are...
  12. Activist Mtanzania aliedai kutekwa Kenya ni kama vile alijiteka mwenyewe tu ili kuzichonganisha na kuharibu uhusiano wa serikali za Kenya na Tanzania

    Maelezo yake ni dhahiri ya kupikwa, hayana uhalisia hata kidogo. Script haikuandaliwa vizuri. Kwakua mwanaharakati huyo amekua akipuuzwa kwa muda mrefu katika masuala mbalimbali anayojaribu kuyaibua kwa manufaa yake binafsi na nia zake ovu, ameona kutumia njia hiyo ya kujiteka ili kuvuta huruma...
  13. Dada Maria Sarungi sijakuelewa zaidi hapa nakuomba unifafanulie kwa kina tafadhali ili wenye 'IQ' kubwa tukuelewe

    "Niliwasikia wakiongea na Simu na Boss wao ndipo nami nikawauliza kumbe mna Boss wenu na wakaanza Kuogopa na kuhisi kuwa najua Mipango yao"amesema Mtekwaji wa Dharula nchini Kenya Maria Sarungi. GENTAMYCINE sijawahi kuona Watekaji wanaomuogopa yule Waliyemteka halafu Wanawasiliana kwa Uwazi...
  14. Maria Sarungi: Naamini mtanzania anahusika juu ya kutekwa kwangu

    Wakuu, Maria Sarungi ameendelea kumwaga mchele kuhusu tukio la kutekwa kwake ambapo amesema kuwa anaamini Mtanzani anahusika katika kutekwa kwake kutokana na sababu mbalimbali. Maria amesema kuwa kitendo cha watekaji kuwa kumzungusha sehemu mbalimbali na kutaka simu zake na passwords zake ni...
  15. OMBI MUHIMU SANA NA LIZINGATIWE...Mlio karibu na Dada Maria Sarungi chonde chonde mshaurini asizungumze na Press kama alivyopanga

    Naomba nisiseme sababu hapa ila kama Raia Tukuka wa Afrika Mashariki naomba atulie Kwanza kwani Hali ya Anga kwa sasa si nzuri Kwake. Na kama itampendeza basi ajitahidi mno kwa mwaka huu wa 2025 aende akatulie nje ya nchi na asijishughulishe sana na Siasa za Afrika Mashariki na Afrika kwa...
  16. Mume wa Maria Sarungi amtupia lawama moja kwa moja Rais Samia na vyombo vyake vya usalama

    Kufuatia β€˜kutekwa’ kwa mwanaharakati MarΓ­a Sarungi huko Nairobi, Kenya, na baadaye kupatikana kwake, televisheni ya Citizen huko Kenya ilifanya mahojiano mafupi na mume wa mwanaharakati huyo. Bwana Tsehai kaituhumu moja kwa moja serikali ya Rais Samia pamoja na waliopo kwenye vyombo vyake vya...
  17. Mi napinga Maria Sarungi kuongea kesho Januari 13

    Hakuna ulazima wa yeye kuongea kesho. She must wait until she is fully recovered from the shock. She should wait for the right time. She is in a foreign country. Kwa hiyo asiihusishe nchi jirani na siasa za Tanzania. She could wait until NEXT Monday. Hatuhitaji kusikia hizi monotonous stories...
  18. Tundu Lissu aitaka Serikali ya Kenya Kuingilia kati kutekwa kwa Maria Sarungi

    Taarifa yake iliyonukuliwa na Vyombo vya Habari hii hapa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara, Tundu Lissu ameitaka Serikali ya Kenya kuingilia kati katika madai ya kutekwa kwa mwanaharakati Maria Sarungi. Taarifa za kutekwa kwa Maria zimesambaa leo Jumapili...
  19. Pre GE2025 Maria Sarungi kapatikana na karudi nyumbani kwake, ataongea kuhusu suala hilo Januari 13, 2025

    Wakuu, Kupitia ukurasa wake wa X, Fatma Karume ameweka post ya kuwashukuru wote waliyohakikisha Sarungi anakuwa salama, na kwamba ameambiwa Sarungi amerejea nyumbani kwake. Soma Pia: Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi
  20. Pre GE2025 Musiba alihoji Sarungi na Kabendera wangekuwa Rwanda au Uganda wangeachwa waichafue serikali? Maneno yake yamefanyiwa kazi?

    Wakuu, Katika mahojiano aliyofanya siku tano zilizopita Musiba alisema kuna vikundi ambavyo angependa kuishauri serikali ya Tanzania kwa jicho la tatu, kwani si wema na wameanza harakati za kuchafua na kuharibu taswira ya nchi yetu, ambapo kuna makachero wanaoshirikiana nao ili kukamilisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…