maria sarungi

  1. D

    Wanaharakati tumieni hekima: Maria Sarungi kulifananisha kanisa katoliki na nyeti za kiume ni dhihaka kwa wakatoliki

    Wanaharakati ! kuweni makini hasa mnapokosoa mambo yenye misingi ya kidini! Wakati serikali ikiendelea kutekeleza majukumu yake kikatiba, kwa kuhakikisha inakusanya kodi kutoka taasisi zote za kibiashara ikiwemo binafsi na zile zinazomilikiwa na makanisa! Wameibuka wanaharakati kuhusisha...
  2. G Sam

    Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

    Hatimaye mwandishi wa habari na mwanaharakati huru wa Tanzania Maria Sarungi amethibitisha rasmi leo kupeleka ndani ya ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu. Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter amesema kuwa "Namshukuru Mungu kuwa hatimaye nimefanikiwa...
  3. R

    CHADEMA na ACT-Wazalenda, wapeni Shangazi Fatuma Karume na Maria Sarungi Viti Maalum

    Si vema kuwaacha hawa katika mapambano haya. Wapeni Viti Maalum waingie Bungeni. I guess you will appreciate the contribution they are going to make in the house!
  4. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake

    Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake katika mkutano wao wa kuzindua Kampeni za Mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Zakheim, Mbagala Jijini Dar es Salaam, jioni hii. TBC1 na TBC Taifa kama chaneli za umma...
  5. Jaji Mfawidhi

    Jiunge nami kusema hapana kwa udhalilishaji na ubaguzi anaoufanya mmliki wa clock tower café Iringa

    JIUNGE NAMI KUSEMA HAPANA KWA UDHALILISHAJI NA UBAGUZI ANAOUFANYA MMLIKI WA CLOCK TOWER CAFÉ IRINGA. #SAYNOTOCLOCKTOWERCAFEIRINGAMISTREATMENTOFCLIENTS# Nimekuwa mteja wa mgahawa wa Clock Tower Café uliopo barabara ya Dodoma/Uhuru Avenue katika Manispaa ya Iringa tangu uanzishwe mwaka jana...
  6. lovehawa

    natafuta ajira

    Habari ya humu jamani mimi ni mgeni wa jamiiforms...shida yangu nina mdogo wangu kasomea records management cerficate anatafuta kazi....samahanini kwa usumbufu
  7. C

    Maria Sarungi ni nani?

    Jamani naomba profile ya huyu dada a ana naona yuko kila engo. Profession yake na elimu yake. Je ana mume au watoto na kama hana je nianze process?
Back
Top Bottom