maria sarungi

  1. Stuxnet

    Kwani kazi ya Maria Sarungi Nairobi Ilikuwa ni nini? Na nani alikuwa anamlipa

    Tunamuombea apatikane akiwa salama. Lakini naomba nijibiwe maswali haya:- 1. Kwa zaidi ya miaka 2 sasa amekuwa anaishi Nairobi huku akaunti zake za mitandao ya Kijamii zikishambulia mambo ya Serikali. Je ni nani anamlipa kwa kazi hiyo? 2. Ameweza kuwachukua na kuwatafutia makazi vijana maarufu...
  2. Aramun

    Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

    TAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia. Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha waliokuwa kwenye gari aina ya Noah nyeusi, katika mtaa wa Chaka kaunti ya Kilimani, Nairobi...
  3. K

    Maria Sarungi anawapa 'mafunzo' gani Makamanda wa CHADEMA huko Nairobi?

    Habari Wanajamvi? Huu uchaguzi wa nafasi za juu CHADEMA, unaibua mambo mbalimbali ya kushangaza na kufurahisha kutoka kwa MACHAWA wa ngome mbili tofauti zilizotangaza nia ya kugombea uongozi ndani ya CHADEMA. Kuna Kamanda wa CHADEMA kule kwenye mtandao wa X anayefahamika kwa jina la Freddie...
  4. WOWOWO

    Maria Sarungi kamwingiza Lisu mtegoni, kazi ni kama inaenda kukamilika if no intervention

    Kwa sisi wafuatiliaji wa siasa za upinzani Tanzania lakini na uhusiano kati chama dola na dola na chama dola na upinzani lakini mazingira ya siasa za Tanzania kwa ujumla wake tunafahamu kwamba siasa za Tanzania zinaishi katika state machinery ambayo ina players wengi. Lakini msingi na kazi...
  5. M

    Maria Sarungi ni mwanachama wa CHADEMA?

    Nimefatilia sana ktk uchaguzi huu wa chadema. Mtu ambaye anatumia nguvu kuhakikisha Lissu anakuwa mwenyekiti ni Maria Sarungi. Hutu ukipitia X zake anatupa mishale kila kona na kila anaeona Kikwazo cha Lissu. Anamuona Mbowe kama pandikizi ndani ya chadema na kama anamzibia LISSU. Swali . Jee...
  6. DexterLab

    Uhasama kati ya Martin Masese na Maria Sarungi chanzo ni nini?

    Kwa wale wanaofatilia mtandao wa 𝕏 zamani Twitter hiyo battle hapo juu mtakuwa mnaikumbuka. Battle ni ya muda kidogo najua Hilo. Nilikuwa nataka kujua chanzo ni nini? Nani aliyemuanza mwenzie kati ya Martin Maranja Masese na Sarungi? Watapatana kweli kwa maslahi ya taifa? Wakuwapatanisha ni Nani?
  7. WOWOWO

    Pre GE2025 Kwa mtazamo wangu Mbowe na Lissu ni vita zaidi ya nje kuliko ya ndani. Ni mwendelezo wa Zitto na Maria Sarungi

    Miaka ya 2010 wakati Zitto Zuberi Kabwe, Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba wanaanza kujenga “picha ya kundi ndani ya Chadema” kwa lengo la kuchukua kiti cha Freeman Mbowe (FAM) CHADEMA, mambo kadhaa yalikuwa dhahiri na yanaweza kulinganishwa kwa kiwango kikubwa kwa mizania na mlinganisho na hali...
  8. T

    SI KWELI Maria Sarungi: CHADEMA imechoka

    Wakuu ni kweli Maria alisema kuwa Chadema imechoka?
  9. L

    Maria Sarungi alipewa na nani siri ya Ziara ya Rais Samia Nchini Marekani wiki moja kabla ya kutolewa Taarifa rasmi?

    Ndugu zangu Watanzania, Unaweza ukaona kama ni jambo dogo lakini kwa jicho la tatu hili ni jambo kubwa sana linalopaswa kudhibitiwa kwa uharaka juu ya Mtu au watu au kikundi cha watu kinachoweza kuwa kinavujisha siri na taarifa za siri ambazo hazijawa rasmi na kutolewa kwa Umma. Nasema hivi...
  10. Ojuolegbha

    Watanzania tumpuuze Maria Sarungi aliyekosa muelekeo Kisiasa

    Katika majukwaa ya kisiasa, ni kawaida kwa maneno na tuhuma mbalimbali kusambazwa, hasa pale ambapo viongozi wanaweka juhudi za kufanya mabadiliko muhimu katika taifa. Ujumbe uliotolewa dhidi ya Serikali ya Tanzania na Rais Samia Suluhu Hassan unapaswa kuchunguzwa kwa undani, siyo tu kwa...
  11. Ojuolegbha

    Hoja zangu dhidi ya tuhuma zinazoenezwa na Maria Sarungi

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na ujumbe ulioenea katika mitandao ya kijamii, hasa kutoka kwa mwanaharakati Maria Sarungi, ukimlenga Waziri Rajab Salum, msaidizi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Ujumbe huu unatoa tuhuma nzito zinazodai kwamba Waziri Salum anatumia vibaya nafasi yake...
  12. M

    Ushahi wa Mabilioni ya Ford kwa Maria Sarungi kuchochea migogoro.

    Pamoja na juhudi na nia njema za Serikali, kumekuwepo na makundi mbalimbali yanayopokea fedha kutoka nje ili kufitinisha Wamasai na wananchi dhidi ya serikali. Mfano wa hili ni taasisi ya Mwanzo inayoongozwa na Maria Sarungi, ambayo imepokea zaidi ya dola za Kimarekani 400,000, sawa na zaidi...
  13. Suphian Juma

    Maria Sarungi akamatwe, Maria Space ifungiwe

    MARIA SARUNGI AKAMATWE, MARIA SPACES IFUNGWE!! Maria hajawahi kuona zuri lolote la Rais Dkt Samia. Tangu aingie Ikulu 2021, mwezi wa kwanza tu hata hajajua korido za Ikulu alianza kumzodoa. ANA WIVU NA CHUKI na Rais wetu, mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huu nchini tangu tupate uhuru 1961...
  14. Ojuolegbha

    Sheikh Kundecha akemea Maudhui ya Twitter ( X ) hususani chapisho la Maria Sarungi, awataka Waislam kuikataa Twitter (X)

    Na Mwandishi wetu. Mwenyekiti Jumuiya na Taasisi za Kiislaam nchini Tanzania, Shekhe Mussa Kundecha amefunguka na kukemea wazi wazi kitendo cha Mwanaharakati wa mitandaoni Maria Sarungi kuweka chapisho la Picha za Kumdhihaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu na kusema...
  15. Suzy Elias

    Maria Sarungi: Tanzania inahitaji Rais mbabe ili abadili mfumo wa ovyo tulionao

    Huyo ni Maria Sarungi binti wa Profesa msomi wa tiba za binadamu, Mbunge (mstaafu) wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri (mstaafu) wa Wizara ya Ulinzi ( W UL) mwana siasa mashuhuri ( mstaafu) nchini mzee Philemon Sarungi. Unadhani Maria huyo unayemsikia hapo juu akikutana na...
  16. Robert S Gulenga

    Jifunzeni Siasa za Freeman Mbowe; Anachofanya Maria Sarungi ni ukosefu wa heshima kwa Mamlaka halali

    Maria Sarungi, Mwanaharakati na Mwanachama hai wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo amekuwa akiendesha kampeni za kutukana na kudhalilisha Viongozi/Mamlaka halali kwenye mitandao ya kijamii kwa mgongo wa kudai katiba mpya. Sio tatizo kudai anachokiamini, tatizo ni namna anavyoendesha hizo...
  17. muafi

    Maria Sarungi aishtaki Serikali ya Tanzania kwa Beyonce kuhusu suala la Ngorongoro

    Ni katika muemdelezo wa sakata la wamasai wa Ngorongoro. Bi Maria Sarungi ambaye ndiye mtu namba moja aliesimama kwa hali na mali kuwapigania Wamasai wa Ngorongoro ameamua kuishtaki serikali ya Tanzania kwa Mwanadada Beyonce na mumewe Jay Z. Vita ya uchumi ni mbaya sana.
  18. Abdalah Abdulrahman

    REVEALED: Narok County Senator Ledama, Maria Sarungi Sponsors of Maasai Saga in Ngorongoro Crater

    Today June 15th, 2022, the Maasai living in Kenya and those from Ngorongoro who recently crossed the border to Kenya,plan to gather in front of the Tanzania High Commission in Nairobi, Kenya to protest what they term as 'a brutal eviction of Maasai from the crater'. The demonstration is...
  19. K

    Tuache kumuita Rais Samia Suluhu Hassan 'Mama'

    Tumempata Rais mpya, anaitwa Samia Suluhu Hassan. Sidhani kama ni sahihi kumtambulisha kama Mama Samia Suluhu Hassan maana hata Magufuli alikuwa ni Baba kwa maana ya mzazi lakini kamwe hatukuwahi kuwaita Baba Jakaya, Baba Mkapa nk. Kisaikolojia kutanguliza neno "mama" ni kutweza cheo Cha Amiri...
  20. William Mshumbusi

    NI wakati Sasa wa CHADEMA kuwaomba Fatuma Karume au Maria Sarungi kuongoza BAWACHA

    Nachojua siasa za upinzani zinahitaji mtu asiyeyumba, Asiye na Tamaa na anayejitoa. Kwa harakati wanazofanya hasa kwa kujitoa kwao, Zilivyo logical naamini Kuna sehemu watakipeleka chama mbali. Pia Maria anaweza pia kuanzisha vipindi maalumu kwenye tv vya kuelezea Sera na malengo ya chademà...
Back
Top Bottom