marufuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    Serikali imesitisha uzalishaji wa pombe ya Banana kwa kutokidhi viwango vya ubora

    Siku chache zilizopita, mdau wa JF aligusia juu ya Pombe hii kuwa hatarishi kwa wananchi. Serikali imechukua hatua mapema ili kuwalinda wananchi. Hoja ya mdau inapatikana hapa Unywaji wa pombe aina ya Banana inaathiri nguvu kubwa sana ya vijana ========== Serikali imesitisha uzalishaji wa...
  2. Kingsmann

    Enzi zetu Serikali ilikuwa inawasisitiza wazazi wawaruhusu watoto kurudi Shule kwa masomo ya ziada, eti leo hii inapiga marufuku

    Tangu lini Serikali yetu ikaanza kujali Afya za Watoto kuliko viwango vizuri vya ufaulu? Hii haijawahi kutokea na haitakaa itokee, tuache siasa kwenye mambo ya msingi, tusiue sisimizi kwa rungu, tutafute solution ambazo hazitawaweka kwenye wakati mgumu walimu wetu (maana watoto wakifeli serikali...
  3. Sam Gidori

    #COVID19 Ramaphosa: Hakuna sababu za Kisayansi za kuweka marufuku ya kusafiri kwa nchi za Kusini mwa Afrika

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ametoa wito kwa nchi za Ulaya na Marekani zilizoweka vikwazo vya usafiri kwa Mataifa ya Kusini mwa Afrika yaliyobainika kuwa na maambukizi ya aina mpya ya Virusi vya Corona kuondoa vikwazo hivyo. Katika hotuba yenye urefu wa dakika 29, Rais Ramaphosa...
  4. T

    Kilimo na matumizi ya bidhaa za tumbaku upigwe Marufuku

    Ikiwa madhara ya matumizi ya tumbaku/sigara ni makubwa kwa kiwango tunachoambiwa na wataalamu wa afya; kwanini Serikali isichukue hatua za kupiga marufuku kabisa uvutaji na ulimaji wa zao la tumbaku ili kuwanusuru Watanzania na vifo vinavyotakana na matumizi yake? Kama tumepiga marufuku...
  5. beth

    Taliban yapiga marufuku ushiriki wa Wanawake kwenye tamthilia

    Serikali ya Taliban imevitaka Vituo vya Televisheni kuacha kurusha Tamthilia au Maigizo yenye Waigizaji wa Kike. Waandishi wa Habari na Watangazaji Wanawake wametakiwa kuvaa Hijabu. Vipindi vya Burudani na Vichekesho vinavyokejeli Dini au vinavyoweza kuwachukiza Raia wa Afghanistan pia...
  6. Miss Zomboko

    Serikali yapiga marufuku Dawa za kuuliwa Nzi na Wadudu kupulizwa Buchani

    Bodi wa nyama nchini imepiga marufuku matumizi ya dawa za kuulia nzi na wadudu wengine kupulizwa kwenye mabucha wakati nyama ikiwemo ndani ,jambo ambalo linalohatarisha maisha na afya za wanunuzi wa kitoweo hicho. Dawa hizo ni sumu hatari zinafanya kazi taratibu ndani ya mwilini mwa binadamu...
  7. beth

    #COVID19 Misri: Marufuku kwa Wafanyakazi kuingia Ofisini ikiwa hawajachanjwa yaanza kutekelezwa

    Marufuku kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Umma kuingia Ofisini ikiwa hawajachanjwa na kupimwa COVID-19 imeanza kutekelezwa Nchini humo Imeelezwa kuanzia Desemba 01, 2021 Wananchi hawatoweza kuingia Ofisi za Serikali pasipo kuonesha ushahidi wamepata walau Dozi 1 ya Chanjo Zaidi ya watu Milioni 14...
  8. beth

    Waziri Lukuvi apiga marufuku madalali kulipwa posho ya mwezi mmoja na wapangaji. Asema ni ujambazi

    Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amepiga marufuku Madalali kuwadai Wapangaji Fedha ya Mwezi Mmoja, akiita kitendo hicho kuwa ni ujambazi. Amesema, "Kuna baadhi ya Madalali wanapangisha nyumba halafu wanachukua kwa Wapangaji Kodi ya mwezi. Hawa wanaochukua pesa za wapangaji waache mchezo huo...
  9. MAHANJU

    Marufuku kumhusisha Rais Samia na Mahakama, hana mamlaka nayo

    Waswahili walimenya kwamba mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Huu ndiyo ukweli wenyewe kwamba Mama anajitahidi tu kusimamia kua katika utawala wake haki inatendeka. Ikitokea wewe umetuhumiwa kufanya tukio flani hiyo ni juu yako wewe, serikali inachosimamia ni kusisitiza haki itendeke...
  10. H

    Marufuku ya nishati asilia (Fossil fuels), dizeli, gesi, mafuta ya taa petroli na nyinginezo ipo njiani

    Dunia inabadilika na sisi tunapaswa kubadilika, nishati asilia zinaongoza kwa kutoa gesi chafu zinazosababisha engezeko la joto duniani! Kama mpaka muda huu hujawahi kumiliki chombo chochote kile cha usafiri kinachotumia nishati asilia inawezekana usimiliki kabisa ndani ya miaka michache ijayo...
  11. Analogia Malenga

    #COVID19 Uganda: Wabunge wasiochanja wapigwa marufuku kuingia bungeni

    Bunge la Uganda limetangaza kwamba wabunge ambao hawajapokea chanjo, hawataruhusiwa kuhudhuria vikao vya bunge hilo kuanzia leo. Naibu wa spika Anita Among, amesema kwamba hatua hiyo inalenga kutoa mfano mwema katika kuunga mkono juhudi za serikali za kupambana na janga la virusi vya Corona...
  12. chongoe

    Watu wa mamlaka ya sanaa pigeni marufuku Bongo Star Search

    Habari zenu wakuu, Nimeamua Leo kuleta mada hii haswa mamlaka pigeni marufuku shindano la BSS kwa sababu hakuna anaestahili kuwa jaji pale na ndio maana pamoja na serikali yetu haina mpngo mbdala wa kuzalisha wasanii ila ndani ya nchi yetu kila mwenye pesa anaenda studio. Hebu tuangalie nchi...
  13. S

    Shaka apiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia katikati ya Mji wa Dar

    Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu. SHAKA HAMDU SHAKA leo Oktoba 31 atazungumza na waandishi wa vyombo vya Habari kuanzia saa 6 mchana ofisi Ndogo za CCM - LUMUMBA Dar es salaam. ===== CCM yapiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia mjini CHAMA Cha...
  14. Miss Zomboko

    Kuanzia Novemba Mosi Bajaji na Bodaboda marufuku kuingia Mjini

    Ifikapo tarehe 1/11/2021 bodaboda na bajaji zote marufuku kuingia mjini na wale waliokua mjini watoke wote isipokua bajaji za walemavu. Agizo hilo limetolewa na Abdi Issango, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Mkuu wa Usalama Barabarani Kanda Maalumu ya Dms. #PbOnSaturday
  15. Miss Zomboko

    #COVID19 Rais Kenyatta aondoa mrufuku ya watu kutembea usiku

    President Uhuru Kenyatta on Wednesday lifted the nationwide curfew, which has been in place since March last year to curb the spread of the coronavirus. "I hereby order that the nationwide dusk to dawn curfew that has been in effect from March 27, 2020, be and is hereby vacated with immediate...
  16. avogadro

    Wizara ya Michezo ipige marufuku mashabiki maarufu wa Simba na Yanga kushangilia Taifa Stars

    Imeibuka tabia ya watu kujifanya wao wanaujua zidi mpira ama kwa kutoa kauli tata za kukatisha tamaa timu yetu ya Taifa, wachezaji na makocha pale kwa bahati mbaya inapokosa matokeo mazuri Kuna watu ambao huonekana kwenye michezo ya Simba na Yanga wakiongea hovyo huku ama wamejipaka mdude gani...
  17. beth

    Algeria yapiga marufuku ndege kutoka Morocco

    Algeria imefunga anga yake kwa ndege zote za kiraia na za kijeshi za Morocco. Hatua hiyo inakuja takriban mwezi mmoja baada ya Algeria kusitisha uhusiano wa kidiplomasia na Taifa hilo. Algeria imesema uamuzi huo ni kwasababu ya uchochezi unaoendelea pamoja na vitendo vya uhasama kwa upande wa...
  18. Idugunde

    Waziri Bashungwa Wimbo wa bia tamu upigwe marufuku. Unahamasisha ulevi na uzembe

    Huu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho. Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi. Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara moja.
  19. beth

    #COVID19 Zimbabwe: Watumishi wa Umma wasiochanjwa wapigwa marufuku kazini

    Serikali ya Zimbabwe imewazuia Watumishi wa Umma ambao hawajapata Chanjo dhidi ya COVID19 kwenda kazini, ikisema walipewa muda wa kutosha kupata chanjo hizo Mamlaka Nchini humo zinasema takriban 90% ya watu wanaolazwa Hospitali kwasababu ya Virusi vya Corona hawajapata chanjo. Wastani wa visa...
  20. TheDreamer Thebeliever

    Je, wajua ni marufuku kuhamia nyumba mpya bila kibali cha Manispaa?

    Habari wadau, Kama ulikuwa haujui leo ndio nakujulisha kwamba pindi unapomaliza kujenga nyumba yako ili uweze kuhamia unaitaji kibali toka Halmashauri husika kinaitwa "Certificate of Occupation"
Back
Top Bottom