marufuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Kwanini uchawi/ulozi/ ushirikina unapigwa marufuku na kuharamishwa katika mpira Tanzania?

    Tanzania ni nchi huru kidini na kiimani, kila mtu yuko huru kufanya mambo ya kiimani anayoona yanamfaa, Sasa kwa nini kwenye mpira wachezaji wakifanya matendo ya ibada ya dini mbili za Ukristo na Uislamu ni sawa lakini wakifanya vitendo vinavyoitwa vya ushirikina, ulozi, uganga, matambiko au...
  2. Li ngunda ngali

    Serikali impige marufuku kukanyaga Tanzania Micky Jnr kwa kuipakaza Taifa Stars

    Yupo mwandishi uchwara wa habari za michezo raia wa Ghana aitwaye Micky Jnr ambaye kwa ujinga wake ameamua kuwa upande wa wasio itakia mema timu yetu ya Taifa na kueneza habari za kuhanikiza iondolewe kwenye mashindano ya mpira wa miguu ya AFCON yajayo huko Morocco. Kama Taifa ni lazima...
  3. Waufukweni

    Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa amesema hakuna mtu yeyote ambaye anaruhusiwa kuchangisha fedha kufuatia tukio la ajali ya kupomoka kwa grorofa la Kariakoo. Pia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kuzungumza katika eneo hilo akasema JENIFER JOVIN maarufu...
  4. U

    Uzi maalumu wa riwaya zilizojipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya tanzania na sababu za kupigwa marufuku

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Mimi nianze na Rosa Mistika mtunzi kezirahabi marufuku kwa kukiuka maadili Jioni njema
  5. mdukuzi

    Shirikisho la soka nchini Nigeria lapiga marufuku kushangilia kwa mtindo wa Baltazar

    Shirikisho la soka nchini Nigeria limepiga marufuku wachezaji nchini humu kushsngilia kwa mtindo mpya wa Bathazal ambapo mchezaji wa timu ya Shooting Stars aitwaye Mustafa alishangilia baada ya kuipatia timu yake goli muhimu shidi ya wapinzani wao El Kanemi Katika tukio hilo Mustafa alifanya...
  6. Q

    Kazi ya Green Guard ni nini, mbona hivi vikundi vilishapigwa marufuku?

    Hivi vikundi vilipigwa marufuku na serikali lakini CCM bado inavitumia, ukifuatilia kwa undani zaidi unaweza kuta ndivyo vinavyotumika kwenye matukio mengi ya utekaji na uhalifu nchini na kulindwa na vyombo vya dola.
  7. G

    chupi / boxer za mitumba zipigwe marufuku, ni bidhaa zinazoshusha utu kuliko kuyamudu maisha kiuchumi

    Elimu ndogo ya boxer (Me) na chupi (Ke) Chupi / Boxer inafyata nabidi ifyatuliwe Matone ya mkojo hudondokea Kwa wanaume zinachafuliwa na manii (Bao) Kwa wanawake zina zinagusa Period Chupi ni nguo ya kwanza kupokea hewa chafu Bora uende dukan ununue chupi / boxer za bei chee kuliko original...
  8. Jaji Mfawidhi

    Australia: Serikali kupiga marufuku watoto chini ya 18 kuwa na Insta, X, Facebook na Tiktok?

    Serikali ya Australia imeonyesha njia baada ya kupiga marufuku mtoto chini ya miaka 16 kuwa na akaunti ya. mitandao ya kijamii ili kulinda maadili. Nimezungumza na maelfu ya wazazi, babu na nyanya, shangazi na wajomba. Wao, kama mimi, wana wasiwasi kuhusu usalama wa watoto wetu mtandaoni...
  9. The Watchman

    Tabora: Marufuku kuuza majeneza hadharani

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora ametoa miezi mitatu kwa halmashauri zote mkoani hapo, kutenga maeneo yatakayokuwa na miundombinu ya kujificha ya kutengeneza na kuuzia masanduku ya kuzikia maiti (majeneza) kwani kwa sasa wauzaji wa masanduku hayo wanayauzia hadharani kando na hospitali hali inayoongeza...
  10. kipara kipya

    Pamoja imefungwa TFF fanyeni uchunguzi kwa kuwapima wachezaji wa timu zote madawa yaliyopigwa marufuku michezoni

    NImeuangalia mchezo vyema napata mashaka kidogo kwa wachezaji wa timu fulani ni lazima tff wafanye vipimo vya ghafla kwa kuwapima madawa haramu yaliyopigwa marufuku michezoni kuna kila dalili hili jambo linafanyika katika ligi yetu si kwa pumzi zile........ Tunataka mechi halali zisizo na hila!
  11. kipara kipya

    Pamoja imefungwa TFF fanyeni uchunguzi kwa kuwapima wachezaji wa timu zote madawa yaliyopigwa marufuku michezoni

    NImeuangalia mchezo vyema napata mashaka kidogo kwa wachezaji wa timu fulani ni lazima tff wafanye vipimo vya ghafla kwa kuwapima madawa haramu yaliyopigwa marufuku michezoni kuna kila dalili hili jambo linafanyika katika ligi yetu si kwa pumzi zile........ Tunataka mechi halali zisizo na hila!
  12. Waufukweni

    Indonesia imepiga marufuku uuzaji na matumizi ya iPhone 16 na Apple Watch Series 10

    Indonesia imepiga marufuku uuzaji na matumizi ya iPhone 16 na Apple Watch Series 10 kutoka Apple kutokana na kampuni hiyo kushindwa kutimiza ahadi za uwekezaji. Serikali ya Indonesia imesema kuwa Apple haijatekeleza ahadi zake za kifedha, jambo lililosababisha uamuzi huo. Kampuni hiyo ya...
  13. Digaller

    Unrwa yapigwa marufuku na bunge la Israel

    Bunge la Israel limepiga kura kupitisha sheria ya kupiga marufuku shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Palestina (Unrwa) kufanya kazi ndani ya Israel na Jerusalem Mashariki inayokaliwa na Israel, ndani ya miezi mitatu. Mawasiliano kati ya wafanyakazi wa Unrwa na maafisa wa...
  14. G

    Siku ya tano baada ya ndoa, mume "kapigwa marufuku kushika manyonyo na kutumia kidole" wakiwa faragha

    Ohoo! Kwa masharti haya, jamaa kamix kinoma. Anauliza kila mtu kuwa "huyu mwanamke karogwa nini?" Mke naye haelewi, anadai huo upuuzi wa kunyonya na kuyashika manyonyo yeye hataki kwa kuwa huwa unazeesha matiti. Na pia hataki kuchorongwa na kidole maana mdomo wa "kipochi manyoya" huwa...
  15. T

    Afghanistan: Talibani imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Marufuku mwanamke kuongea na mwanamke mwenzie

    Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake. Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake...
  16. kilambimkwidu

    Nimepiga marufuku utamaduni wa mgeni kushukuru kwa chakula kila baada ya kula

    Naomba nikosolewe au kupongezwa kwa utaratibu nilioelekeza nyumbani kwangu kwamba ni marufuku wife kupokea shukrani za mgeni anaeshukuru kwa chakula. Hii imekua ikitokea hata kwa wageni ambao wanaishi muda mrefu, kwamba kila anapomaliza kula anamuangalia “mama mwenye nyumba” na kumshukuru kwa...
  17. M

    Wakala wa Vipimo (WMA) mbona mageti yenu ya ukaguzi wa mazao hayazuii wala kupiga marufuku rumbesa? Wafanyakazi wenu wanaongoza kula hongo

    Moja kwa moja nawashukia wakala wa vipimo (Weights and measures Agency aka WMA) ambao wanahusika na udhibiti na ukaguzi wa uzito wa mazao hapa Tanzania. Hii taasisi ina vituo vyake katika kila sehemu zenye mizani katika barabara kuu hapa Tanzania. Mfano mizani za...
  18. M

    Ni wapi katika katiba au sheria inayopiga marufuku sheria za Kiislam au za Kikiristo kutumika nchini?

    Tamko la rais (decree) anapolitoa huwa ni sheria. Kinachofanyoka hutungiwa mwongozo wa mipaka ya matumizi yake. Wakati rais wa awamu ya pili aliporuhusu mabinti wa kiislam kuvaa hijab, wako wakimpinga sheria hii wakinukuu kifungu cha katiba kuwa serikali haina dini. Wasichoelewa ni kuwa si...
  19. M

    Pre GE2025 CCM pigeni marufuku pikipiki zilizosambazwa kwa Jina 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda'

    Viongozi wa CCM pigeni marufuku pikipiki za 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda' Ila kama hawa viongozi wa huku kwenye mashina mmewapa ziwe za kwao basi tujue. Hali ikiendelea hivi 2025 zitafika zimechoka. Ni hayo tu
  20. Chachu Ombara

    Waziri Bashungwa apiga marufuku vivuko kuzidisha abiria na mizigo

    Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa ameutaka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) pamoja na vyombo vingine vya usafiri ndani ya maji kuzingatia sheria na miongozo mbalimbali ya usalama kwenye vivuko kwa kuhakikisha hawazidishi abiria wala mizigo ili kulinda usalama wa abiria pamoja na mali zao...
Back
Top Bottom