Kusema ukweli nimevumilia miaka hii mitatu kuona kama hili litimu litabadilika nimegundua Simba SCni ya mambumbumbu fc haitobadilika miaka 10 mbele aisee nimeona Bora niamie Young Africans pira Gamondi.
kilichonifanya nihamie ni Jana baada ya kuiadhibu tawi la Simba Kwa mpira safi jamani...
Mchezo wa Ngao ya Jamii kutafuta mshindi wa tatu mchezo unachezwa uwanja wa Benjamin Mkapa kati ya Coastal Union dhidi ya Simba SC.
Dakika 2, Mpira umeanza kwa kasi kubwa sana.
Dakika 5, Simba wanaumiliki mpira sana na kufanya mashambulizi kwenye lango la Coastal.
Dakika 8, Mutala anakosa goli...
Baada ya Magoma kuangukia pua leo ni pigo la pili baada ya kipigo cha mwizi cha jana kutoka kwa Simba ni maumivu juu ya maumivu hakimu angesubiria angalau mpaka jumatatu ndo atoe huku kidogo maumivu ya jana yangekua yamepoa.
Kushindwa kwa Magoma ni pigo kubwa kwa Simba ni ukweli ili kuishinda...
Kiufupi mashabiki na nyie mnapenda stress za hovyo; look Yanga ni Timu bora kwa sasa na wapo serious kwamba wanataka kuachana na traditionnal football na hawana muda na political football.
SSC bado wanaamini kwenye political football na traditional ways of doing things , kwa staili hiyo, Yanga...
Jezi za Simba zilitangulia kutoka kabla ya jezi za yanga, mashabiki wa Simba walisifia ubunifu ila kasoro ikawa ni neno SANDA peke yake. Sijajua mbunifu wa jezi za Simba aliwaza nini kuweka 1 5 kwenye jezi za Simba lakini uzuri hakuna aliyechukulia hilo kama nia mbaya ama mashabiki wa Simba...
Nianze kwa kusema nimeiona jezi ya Simba na mimi nimevutiwa na ile nyeupe.
Kingine Mimi sio shabiki wa simba.
Ila kwa kinachoendelea kimenifanya nione kua kumbe wana simba mna MATATIZO sana katika Akili yenu.
Leo Mnamuita SANDALAND anawa hujumu katoa jezi Mbaya Mara kaandika Neno SANDA mbele...
Kipindi hiki cha usajili ndio kipindi pekee ambacho wana Simba tunapataga furaha ya moyo.
Jamaa alituletea Manzoki, tukalipuka kwa furaha ukumbini, tukampa kura kwa kishindo, leo hatumtaki lakini bado amekalia kiti.
Ewe shabiki mwenzangu wa Simba unaisubiri Thank You ya Boss wetu Mangungu...
Nilipenda tu kujua kwa kweli. Maana kuna watu humu jukwaani walifikia mpaka hatua ya kumtishia usalama wake!
Ila cha kushangaza kwa sasa naona habari ya mjini ni Thank you tu kwa baadhi ya wachezaji ndiyo imetawala!
PIA SOMA
- Wanachama wa Simba 'Aggy Simba' na Dkt. Mohammed wafungiwa...
Hilo tusi linapunguza nguvu ya mashabiki wa Simba wenye akili zao na kubakiza hao hao mnaowahonga pesa ili wachague viongozi wajinga wajinga.
Watu wengi wa maana watajitoa kushabikia timu hii kwa kuwa jina mbumbumbu linadhalilisha sana.
"Katika uongozi wangu hakuna shabiki aliyewahi kusema anahitaji katiba, kila shabiki alikuwa anahitaji furaha tu."
"Vivyo hivyo mpaka sasa mashabiki wa Simba wanahitaji furaha bila kuhimiza mchakato wa kuipata hiyo furaha (Katiba)"
"Rage alikuwa sahihi na namuunga mkono kwa kuwaita mashabiki...
Ipi ni nafuu kwa watu wa Simba kati ya possibilities hizi: Simba kushika nafasi ya tatu na Feisal kuwa mfungaji bora; au Simba kushika nafasi ya pili na Aziz Ki kuwa mfungaji bora
Simba SC haishindi kwa Ubora wa Kocha wa muda Mgunda bali baada ya Viongozi baadhi wa Simba SC ambao wana DNA na Yanga SC pamoja na Matajiri wao wameshamaliza Jukumu lao walilopewa. Mpango ulikuwa ni Kwanza kuhakikisha Simba SC inadhoofishwa mbele ya Yanga SC ili iangushe Alama ( Points ) nyingi...
Tukiwa tunaelekea mwishoni kabisa kukamilisha duru ya mzunguko wa pili wa ligi kuu ya Tanzania,almaarufu kama NBC PREMIER LEAGUE,naomba niwakumbushe mashabiki wa Simba na Yanga ili ikiwezekana waondoe tongo tongo za ujinga ndani ya bongo zao!
Klabu za Simba na Yanga ili zijiendeshe zinahitaji...
Mashabiki wasimba wakubali kuwa nao ni tatizo tena kubwa sana kuliko hata mabenchi ya ufundi yote yaliyopita kwani tangu msimu uliopita tulikuwa tunawaambia hii Simba ni mbovu wakawa wabishi huku hoja zikiwa ni Yanga kupitia GSM wananua hizi mechi, wanahonga waamuzi, wanacheza kombe la loser...
As-Salaam Alaykum
(Peace Be Unto You) Natumai Hamjambo Na Mko Vyema Karibuni Sana Katika Uzi Huu.
Ukituskiza Vizuri Mashabiki wa Yanga Tukiwa Tunaongelea Mpira, Hasa Timu Yetu Wallah Nakuapia Tunakeraaa Sie na Ujichanganye Kusikiliza interview za Coach GAMONDI ambaye ungependa kusikia...
Nimeshangaa sana awa wafuasi wa mangungu kutoijadili timu yao iliyopigwa nje ndani na Aly ahly na badala yake wamekuwa makini kujadili mechi za Yanga dhidi ya Mamelod kuanzia mechi ya kwanza mpaka ya mwisho Pretoria?
Najiuliza timu yao walishaikatia tamaa siku nyingi na imepoteza mvuto mbele ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.