Aisee nimeshangaa kundi kubwa la watu walioshangilia timu yao kutolewa na Wydad kwa mbinde na kusema hawadai, wamekufa kiume cha ajabu zile kauli hazihakisi nyuso zao zilizovyo kwasasa. Admin wa Simba anajitahidi sana kupost taarifa, matukio, kumbukumbu, n.k kwenye page rasmi ya Simba lakini cha...
Mafanikio ya Yanga Mwaka huu hasa katika mashindano ya kimataifa yamedhihirisha jinsi wana habari wengi walivyo mashabiki wa Simba hadi wanashindwa kuficha hisia zao, chuki na wivu kwa mafanikio ya Yanga.
Wamekuwa wakijificha kwa kile wanachokiita uchambuzi lakini ukifuatilia chambuzi zao...
Diagnosis iko hivi;
Stress level iko juu
Wana msongo mkubwa wa mawazo
Hasira kali iliyo changanyika na njaa kali; and
Kujinyonga ni most natural and probable consequence.
Mungu awafanyie wepesi.
Nimemsikia mjinga Mmoja kupitia Uhuru Fm anamlalamikia Kijana Mlinda mlango Ally salumu eti hawezi kudaka mechi kubwa yaani , kuongea ongea tu mfano wa walevi.
Nawapongeza sana wana lunyasi wotee kwa umoja huu mlioonyesha kwa timu yetu dhidi ya wydad hapo jana...
Kuna baadhi ya wana utopolo hawaamini macho yao..
Kwanza tulimfunga wydad kwa Mkapa japo wao wanamuogopa mnoo yani walimuona kama hafungiki na pia waliamini tungeoga magoli ila sio kwa mnyama...
Tusidanganyane hakuna Mtu ambaye Jana aliangalia Mpira na alidhani Simba SC ingetoka Salama kwa Waarabu ( tena Mabingwa Watetezi Wydad Casablanca FC ) hadi Kufungwa Goli Moja na aggregate kuwa 1 - 1 mpaka dakika 90.
Watu wengi ( hata Wanasimba Wenyewe ) achilia mbali wale Wendawazimu FC Wengine...
Nani ambaye hajatazama mchezo wa horoya dhidi ya simba, horoya wakiwa nyumbani??
Kosa kosa ya magoli laiti Kama simba wangekuwa na washambulizi hatari Kama fistoni kalala mayele au hata Clement mzinze hakika simba ingepata ushindi mnono.
Lakini kutokana na kikosi duni Cha simba waliambulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.