mashabiki wa simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba SC tusipoenda Kuwapokea Wachezaji wakirejea kutoka Morocco tutawakosea sana

    Tusidanganyane hakuna Mtu ambaye Jana aliangalia Mpira na alidhani Simba SC ingetoka Salama kwa Waarabu ( tena Mabingwa Watetezi Wydad Casablanca FC ) hadi Kufungwa Goli Moja na aggregate kuwa 1 - 1 mpaka dakika 90. Watu wengi ( hata Wanasimba Wenyewe ) achilia mbali wale Wendawazimu FC Wengine...
  2. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Leo ni sikukuu ya mashabiki wa Simba

    Wanaadhimisha kila tarehe 1 April, ila mwisho saa nne asubuhi Aliyeelewa kaelewa
  3. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba, msipumbazike na goli saba na kujiona tayari mmeshapata kombe la CAF

    Nani ambaye hajatazama mchezo wa horoya dhidi ya simba, horoya wakiwa nyumbani?? Kosa kosa ya magoli laiti Kama simba wangekuwa na washambulizi hatari Kama fistoni kalala mayele au hata Clement mzinze hakika simba ingepata ushindi mnono. Lakini kutokana na kikosi duni Cha simba waliambulia...
Back
Top Bottom