Mashabiki wa Simba wanalalamika kuwa hata tajiri wa Simba Mo anaishi kiujanja ujanja. Inaonekana hata fedha ya usajili wa wachezaji hatoi kwa kiasi kinachotajwa.
Mo aliwahi kusema kuwa alitoa bilioni 3 za usajili wa wachezaji. Ni muda muafaka sasa atoke hadharani amtaje liyemkabidhi hizo...
Kwa roho na Damu Tunakufidia Palestina (Mashabiki wa Timu ya Al Ahly ya Misri)
Watu wenye huruma na utu, ningefurahi sana kuona pia timu zetu zikifanya kama ilivyo kwa al ahly, Allah awajaze kheri hao ndugu zetu waislamu.
Nilitamani sana muibuke na ushindi dhidi ya mamelodi, lakini kwa bahati...
Kuna hali ya kustajabisha ndani ya uongozi wa Simba katika kusimamia timu.
Hapo awali tuliona jinsi gani uchebe aliondolewa kwenye timu, ilianzia kwa mashabiki huko mwanza kumtupia chupa za maji na kushinikiza kocha hawamtaki, haikuchukua muda kocha akaondolewa klabuni na hali hiyo imewakuta...
Kitendo cha Mo kusema ametumia bilioni 3 kuleta kipa bomu, ni utapeli wa waziwazi, matokeo yake kipa hapangwi, anachezeshwa mgonjwa!
Utashangaa hakuna shabiki anaeuliza hili kisa ni Mo! Watasingizia lawama hata kwa Mwenyekiti Mswahili mradi Mhindi huyu asiguswe!
Halafu wale mashabiki...
Makazi yamesambaratishwa, wakimbizi wanateseka kila siku, na hadi sasa vimeripotiwa vifo 9,770..... na bado Israel wanaendelea na shughuli baada ya kuzingira Gaza...............hivi mnaoshabikia kilichofanywa na HAMAS, bado mnakomalia kilikua sahihi?
================
Israel-Hamas war live...
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna hii tabia very chronic kutoka kwa mashabiki na machawa wa WCB ya kuhusianisha kila kitu na streaming numbers ili kujustify ujinga wao.
We all know kwamba Diamond huwa anaiba na kusample ngoma za watu wengine.
Sasa watu wakimchana Diamond ukweli mashabiki...
Wanasema uzee dawa na ni kuona mengi katika maisha ya ubinadamu. Nakumbuka miaka hiyo ya 1965, nilikuwa kijana mdogo kabisa na nikifuatilia kwa karibu mzozo wa Mashariki ya Kati. Nilibahatika kuishi jijini Cairo na jijini Damascus na Beirut, na nilikuwa naona maandamano na miadhara ya kila siku...
Siku chache zilizopitanilingia matatani baada ya kumtandia ngumi "mlevi" mmoja aliyekuwa anatukana hovyo matusi ya nguoni Wachezaji kwenye Luninga huku akijua fika kuwa hawamsikii bali anatusumbua tu sisi tuliopo pale kufuatilia mechi.
Utashangaa Mtu anavyomkosoa Kocha mpaka unajiuliza hivi...
Walivyokuwa wanamprovoke Maguire pale United mambo yalipokua hayaendi sawa walijua ndio mwisho,Saivi gari limebadilika wanajisahaulisha..
Simba vs P.dynamo mashabiki walibeza Sub ya Bocco alivyofanya jambo wakashangilia.
Aziz ki walimbeza Leo kafunga hat trick wanamuona mtu...
Ilishamtokea...
hii ni wiki ya mateso,dhoruba,milipuko ya moyo na presha kupanda kwa mashabiki wa Utopolo.
mashabiki wa Utopolo wanaumizwa na mafanikio ya Simba.
kuna mmoja katangaza kwa uchungu kuachana na soka,tukio kubwa la soka Tanzania la uzinduzi wa michuano mikubwa Africa yeye kutokuwepo imemuuma...
Ahmedy Ally a.k.a mzee wa kispika sumu ya panya, a.k.a Semaji la FIFA na CAF ufunguzi wa African football Leaugue kwa Mkapa.
Huna baya kaka, una weledi na kipaji kikubwa cha kufanya kazi yako, kilichobaki ni sisi mashabiki kutimiza wajibu wetu kwenye club yetu kubwa Africa mashariki na kati...
Kuna member ameuliza swali la nani kati ya Simba na Yanga ana mashabiki wengi. Uchunguzi wangu ulijikita katika takwimu za mitandaoni (online) ambazo ni rahisi kuzipata. Next time nitajitahidi kuleta takwimu za mitaani kupitia sensa ya mtu kwa mtu.
Baada ya kuzurura katika mitandao ya X, Insta...
Simba na Yanga ni timu kongwe zenye mashabiki na wafuasi wengi hapa nchini na hata nje ya nchi.
Kila timu hutamba kwa upande wake kuwa ni Bora kuliko timu nyingine.
Unadhani kwa sasa timu gani Ina mashabiki wengi?
Ile bahati ya kukutana na timu dhaifu na kuzifunga magoli mengi basi mkaanza kuota viburi. Sasa ligi ndio imeanza rasmi. Na huko hatua ya makundi hakuna timu kama Zalan. Yaani maji mtaita “mma” endeleeni kuchonga sasa.
Taarifa za kifo cha muigizaji huyu Sir Michae Gamboni maarufu kama Professor Albus Dumbledore kilitangazwa na familia yake jana tar 28/9/2023.
Mwigizaji Sir Michael Gambon amefariki kwa amani hospitalini akiwa na umri wa miaka 82, familia yake ilisema.
Sir Michael alikuwa maarufu kwa mashabiki...
Mropokaji wetu 'Hali tena Kamwe' chonde chonde Mdogo wangu kwa hizo Fito zako ( Miguu yako myembamba kama Mifyagio ya Chelewa ) uliyonayo Usithubutu Kuvaa Bukta na Kuikunja ili utuonyeshe hizo Fito zako kwani Mashabiki wote Watakimbia Chama la Wazi' Stadium Mbagala na kuwaachieni Timu yenu...
Kuna taarifa za kusikitisha za vifo vya mashabiki wa Namungo wakielekea Dar kwenye match ya Yanga vs Namungo Leo ambapo gari lao lilipata ajali njiani
Leo mabingwa yanga watakutana na namungo saa Moja usiku
USSR
Baada ya kutrend na sakata la kuombwa Ngono,Leo msanii Ruby ameona sio mbaya akatumia upepo huo kutoa wimbo unaoitwa “YATAPITA” na ametumia muda huu kuwaomba mumsapoti….
Pamoja na hilo imeonekana kama alitaka kiki ilikutoa wimbo wake mpya.
Leo hii kila shabiki wa timu hizo mbili anafanya maombi ya kupata matokeo mazuri.
Nilichokipenda kwenye mechi za leo ni muda mmoja timu zote zinaingia uwanjani. Baada ya dakika 90 mbivu na mbichi zitajulikana.
Na sababu Kubwa ni kutokana na Hoteli nyingi kuwa za Gharama huku Wao ( Mashabiki ) wakiwa na Hela pungufu.
Taarifa za uhakika ambazo GENTAMYCINE nimezipata kutoka Jijini Kigali Rwanda ni kwamba nje ya Mashabiki Kulala ( Kimasikini na Kiuhuruma ) Ndani ya Mabasi Mikweche yao pia hata katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.