Afadhali mwaka jana kidogo,robo fainali ya kombe la shirikisho ilitupa mdomo,lakini msimu huu umekuwa mchungu sana japo klabu bingwa tulifika robo fainali ila Utopolo wamefanya vitu vingi sana msimu huu vya kutukera ambavyo pasina shaka nakiri vitu hivyo ni mafanikio sana kwao
Walianza kutukera...
Tulianza na la suala la usajili kipindi kile akina Aziz Ki
Tukarudi kwa Kisinda
Tukaenda kwa Feisal
Tukarudi CAF na mvua
Tukawagongea nguma ya mechi za ugenini CAF
Tukaja kwenye nusu fainali CAFCC na fainali yake
Tukahamia kwenye medali za CAF
Tukarudi kwenye kiatu NBC PL
Sasa tupo kwenye Bingwa...
Kabla ya yote ninapenda michezo, ila hili lililotokea jana usiku ni si la dunia hii. Yaani waziri na katibu wake wametumia kabisa magari kutoka mbali, sijui Dodoma kuja mlimani city kufanya kitu kama hiki? Hapo watajaza na overtime kabisa walipwe.
Kweli nimeamini watanzania wengi wana tatizo la...
Hivi nyie mashabiki wa uto mnaakili kweli? Au ndio kale kamsemo kuwa wenye akili ni wawili tu hapa jangwani?
Kwa taarifa yenu saidoo ndiyo top score takwimu zote zinambeba, mzee wa kutingisha manyonyo apite hivi.
Salamu kwenu nyote.
Final ya UEFA champions league ya miamba, patashika isiyo ya mkato wa shoka. Vumbi si vumbi , midfield battle, possession vs counter attacks, number of shorts and efficiency, presence in final third, set pieces threats, conversion of chances created, 3-5-2 formation...
Mara zote mchezaji anapoondoka yanga kihuni na kwa ngebe na kebehi nyingi uwa mwisho wake ni mbaya sana, Tunarejea habari za wakina Frank Domayo, Gadiel Michael, Ibrahim Ajibu, na wengine kilichowakuta wanakijua mpaka sasa wamepotea kwenye ramani ya soka.
Kwa maana iyo waombe msamaha wanachama...
Hawa uto vipi kila ukimgusa shabiki wa hii timu utasikia sisi tuna medali nyie mna nini wana fokafoka tu 😆😆😆
Toka mama alipopigilia msumari kuhusu dogo Fei na leo Saidoo kaweka goli tano huku akimpumulia kisogoni Mayele hawa uto wamekuwa na makasiriko ya ajabu, nyie uto mna shida gani si mna...
Hii ni Wyadad ambayo imeitoa Simba ligi ya mabingwa kwa penalti baada ya kutoshana nguvu, na sasa ipo fainali ya mabingwa CAF na inaweza kutwaa ubingwa wa ligi
Kwa chini ni timu ambazo Yanga imekutana nazo, moja nusu fainali, na nyingine Fainali
Baada ya ubishani wa watani wa Jadi kupamba moto kuhusu timu ipi hasa imeshawahi kucheza Fainali ya Michuano ya Afrika. Wadau mbalimbali wanaibuka kutoa uthibitisho kutetea hoja zao.
Mashabiki wa Simba wameleta video hii ya Tundu Lissu akifafanua kuhusu mwaka 1993 kwenda uwanjani kushuhudia...
Kwahiyo kumbe muda Wote mlioshiriki Mechi zenu za CAFCC Lengo lenu Kuu ( Mama ) lilikuwa siyo kuwa Mabingwa bali kuwa Washindi wa Pili na mvae Medali za Fedha badala ya zile za Dhahabu za Mabingwa?
GENTAMYCINE muda Wote nilikuwa simwelewi aliyekuwa Msemaji wa Simba SC ( sasa ni Mhamasishaji...
Kwa mujibu wa Yahaya Mkazuzu wa Clouds Fm anadai kuwa mashabiki waliokuwa wamechoshwa na kukaa kwenye foleni huku utaratibu wa kuingia uwanjani ukiwa haupo vizuri, basi mashabiki wakavunja geti na kuingia uwanjani.
Mvua kubwa inayoendelea hapo kwa mkapa, ikawafanya watu washindwe kuvumilia...
Mechi ya Yanga vs USM Alger itachezwa Leo saa 10 jioni!
Yanga wakati huo wakiiwakilisha Tanzania ambapo katika ulimwengu wa roho majira ya saa 10 upepo utakuwa unavuma kutoka kusini mwa afrika kuelekea kaskazin- magharibi mwa afrika!
Meli na vyombo vya anga vitakavyosafiri muda huo wa saa 10...
Aisee nimeshangaa kundi kubwa la watu walioshangilia timu yao kutolewa na Wydad kwa mbinde na kusema hawadai, wamekufa kiume cha ajabu zile kauli hazihakisi nyuso zao zilizovyo kwasasa. Admin wa Simba anajitahidi sana kupost taarifa, matukio, kumbukumbu, n.k kwenye page rasmi ya Simba lakini cha...
Hello bosses and roses
Kwa takwimu zangu naona jezi ya yanga ndio inayovaliwa sana mitaani, wiki mbili zilizopita nmesafiri mikoa tofauti tofauti lakini kote unakuta ni jezi ya yanga ndiyo inaongoza kuvaliwa, wauza jezi pia washashtuka na wengi wameziweka frontline kabisa jezi za timu bora kwa...
Miezi michache iliyopita Rais alitoa tiketi 20k bure kwa ajili ya mashabiki kwenda kuishangalia Taifa Stars vs. Uganda matokeo yake tulipigwa.
Jana katoa tena tiketi 5k bure kwa mashabiki kwenda kuishangilia Yanga vs. USM Alger. Je, historia itajirudia?
Mafanikio ya Yanga Mwaka huu hasa katika mashindano ya kimataifa yamedhihirisha jinsi wana habari wengi walivyo mashabiki wa Simba hadi wanashindwa kuficha hisia zao, chuki na wivu kwa mafanikio ya Yanga.
Wamekuwa wakijificha kwa kile wanachokiita uchambuzi lakini ukifuatilia chambuzi zao...
Kundi hilo la Muziki linaloundwa na Mastaa wa kiume 4 kutoka Kenya, Bien-Aime Baraza, Willis Chimano, Polycarp Otieno na Savara Mudigi, limetangaza kuwa litatengana baada ya kuwa pamoja kwa miaka 20.
Kwa mujibu wa taarifa, Kundi hilo litatengana rasmi baada ya kumaliza ziara yao Desemba 16...
Tunawapongeza Yanga kwa hatua hii mliofikia hakika ni kubwa sana kwenu na kwa nchi kwa ujumla.
Kwa mazingira ya mechi yalivyo USM ni bingwa. Najua mtapinga ila huo ndio ukweli hata nyie mnajua, na ndio maana mmeshaanza kuhangaika kwa waganga ili wawasaidie mmeshachelewa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.