Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo katika juhudi za hamasa kuendelea kuunga mkono michezo nchini hususani katika mashindano ya kimataifa, imeamua kugharamia jumla ya mashabiki 55 watakaosafiri kuelekea nchini Afrika Kusini, kwenda kuishangilia klabu ya Yanga katika mchezo wa...
Kwa muda mrefu sasa nimekua nikifanya tafiti juu ya uelewa wa mpira wa mashabiki wa simba, na mambo niliyagundua ni yafuatayo
1) Wengi wao mpira wameanza fatilia 2019
2) Wengi wao dish zimeyumba
3)Wengi wao much know
4) Wenye akili wanajitoa ufahamu
5) Wengi wanabishia uzoefu
6) Watu...
Mkiruhusu Wachezaji wafuatao watakuwa wanachezea sana Vipigo vyangu kwani ndiyo Wanatugharimu pakubwa Simba SC ila kwa Unafiki na Upopoma wetu tunajifanya hatujui na hatuoni.....
1. Clatous Chama
2. Henock Inonga
3. Said Ntibanzonkiza
4. Pape Ousmane Sakho
5. Shomary Kapombe
6. Kibu Denis
7...
Ndugu zangu makolo hongereni kwa kumaliza msimu huu na makombe kedekede.Timu yenu mmeiharibu wenyewe kwa kuwapa wachezaji wenu sifa zisizofaa na hiyo imepelekea wachezaji wenu kuwa na OVER CONFIDENCE.
Kipa wenu hamna kila kitu ila mnavyompaisha sasa. Chama wenu hamna kila kitu mnavyompa misifa...
Hapo nyuma niliwaletea Rhumba lake Kali liitwalo Se Yo na hata bado hatujatosheka na Utamu wa huo Wimbo tayari Fally Ipupa katuletea Rhumba lingine Kali na Tamu liitwalo MAYDAY.
Litafuteni haraka ili mlisikilize ila kwa Mimi GENTAMYCINE sasa nataka kuingia Chimbo nijue ni kwanini huyu Mtoto...
Katika pitapita zangu mitaani, mitandaoni na vijiweni nimekutana na mashabiki wa Yanga na Simba wakitaniana, tambiana na kupigana vibisibisi vya hapa na pale. Hiyo yote inapelekea kunogeshwa kwa soka la bongo.
Kali na kubwa kuliko yote ni pale ambapo mashabiki wa Simba vile wamekuwa wanaibeza...
Diagnosis iko hivi;
Stress level iko juu
Wana msongo mkubwa wa mawazo
Hasira kali iliyo changanyika na njaa kali; and
Kujinyonga ni most natural and probable consequence.
Mungu awafanyie wepesi.
Nimemsikia mjinga Mmoja kupitia Uhuru Fm anamlalamikia Kijana Mlinda mlango Ally salumu eti hawezi kudaka mechi kubwa yaani , kuongea ongea tu mfano wa walevi.
Nawapongeza sana wana lunyasi wotee kwa umoja huu mlioonyesha kwa timu yetu dhidi ya wydad hapo jana...
Kuna baadhi ya wana utopolo hawaamini macho yao..
Kwanza tulimfunga wydad kwa Mkapa japo wao wanamuogopa mnoo yani walimuona kama hafungiki na pia waliamini tungeoga magoli ila sio kwa mnyama...
Tusidanganyane hakuna Mtu ambaye Jana aliangalia Mpira na alidhani Simba SC ingetoka Salama kwa Waarabu ( tena Mabingwa Watetezi Wydad Casablanca FC ) hadi Kufungwa Goli Moja na aggregate kuwa 1 - 1 mpaka dakika 90.
Watu wengi ( hata Wanasimba Wenyewe ) achilia mbali wale Wendawazimu FC Wengine...
Ni wazi mashabiki wengi wa Yanga wanaamini kazi imeisha, kilichobaki ni kumaliza kazi Dar.
Mimi niko kinyume, kazi ndio imeanza, mpaka sasa hatuna deni na wachezaji wetu na benchi la ufundi kwa sababu wameshavuka malengo yaliyowekwa kuingia kwenye makundi, wanachotupa kwa sasa ni bonus tu...
Hakika huu ndio ukweli na hii ni baada ya kuona clip mmoja mtandaoni. Mashabiki wa hii timu wana spirit ya ajabu katika kushangilia na kuna wahamasishaji kabisa wako kwa ajili hiyo.
Wingi wa mashabiki pamoja na spirit kubwa ya ushangiliaji, ni wazi hii ndio sababu tosha timu nyingi kula kichapo...
⚽️KATAA KUDANGANYWA KATAA KATAKATA UONGO⚽️
Jamani kwa mliozaliwa miaka ya 2000 nataka niwape somo kidogo, hakuna timu kutoka Tanzania iliyowahi kufika Nusu Fainali Michuano ya CAF. 1992 Simba alicheza Fainali Kombe la Washindi liliondaliwa na tajiri kutoka Nigeria, yaani hayo yalikuwa...
Huu utamaduni wa kushabikia timu moja na kuiombea dua mbaya timu nyingine hauna tija!! Kwani ukiipenda Simba lazima uichukie Yanga? Na ukiipenda Yanga lazima uichukie Simba? Kwani ukiifurahia Yanga lazima inavyocheza lazima uichukie Simba? Au ukiifurahia Simba inavyocheza lazima uichukie Yanga...
Umebaki muda mchache kwa sisi mashabiki wa Rivers United fc kuwakanda vibonde wetu kutoka Tanzania, Yanga Afirika fc.
Mashabiki wa Rivers United tukutane hapa mida ya saa 8 mchana kwa hapa Nigeria
Hello bosses amd roses..
Hii kitu naiona sana hata kwenye media. Ukiachilia mbali hali ya urafiki/kuelewana iliokuwepo kati ya Lebron James na Marehemu Kobe Bryant (RIP) bado fans wengi wa Kobe wanapata ugumu sana kumkubali Lebron James, fans wengi wa Kobe wanaomkubali pia Lebron utakuta ni die...
Toka nianze kujua maisha ni Nini nachoamini binafsi Hilo kundi Ndo yawezakuwa Ndo wazalendo zaidi ata kuliko wale mashabiki wa siasa maana wao huwa hawaendi na upepo kama ilivyo siasa.
Ni ngumu sana kusikia kahama sehemu yake ya ushabiki. Na hii nahisi ni duniani kote. Yawezakuwa pia wana...
Kila wakati Takwimu huwa zinasema tofauti na wana- Yanga wanavyoaminishwa na watu wao wanaowaamini. Juzi Kati hapa almanusra Manara awadanganye Yanga kwamba haijawahi kutokea Timu ya Tanzania kuongoza kundi kwenye mashindano ya CAF ikiwa na Pointi 13.
Alipokumbushwa kwamba simba iliwahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.