mashabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abrahim Ajib awakatia Tamaa mashabiki wa Mpira

    Dogo amenifanya nicheke sana kwa hili jibu lake.
  2. Picha: Mashabiki wakitoa heshima za mwisho kwa 'Mfalme wa Soka' Pele

  3. Ujumbe kwa mashabiki wenzangu wa Arsenal

    Ningependa kuwakumbusha mashabiki wenzangu wa Arsenal ya kuwa, kwa sasa tupo kwenye hatari zaidi ya kudhuriwa na mashabiki wa timu zengine kuliko vipindi vyote. Yani amani imepungua. Yote ni kwa sababu tupo juu ya msimamo wa ligi kwa sasa na vile vile tupo kwenye kiwango bora, jambo ambalo...
  4. Kwanini viongozi wetu wa mpira wanatumia ujinga wa mashabiki kama mtaji? Inaumiza sana

    Kumbe ni kweli Feisal amevunja mkataba Yanga ila viongozi wanatudanganya tu. Leo kupitia account yake ya insta amepost akiwa anafanya mazoezi na uongozi wake mpya. Nimeumia sana.
  5. Mashabiki Man UTD waiomba timu yao kutomsajili Memphis Depay

    Sababu ya kutoa maoni hayo ni kwa kuwa wana hofu yasije kujitokeza kama yaliyotokea kwa Cristiano Ronaldo ambaye aliwahi kuitumikia klabu hiyo kwa mafanikio lakini baada ya kurejea mambo hayajawa mazuri kama ilivyokuwa awali. Depay ambaye aliwahi kuichezea United mwaka 2015 hadi 2016, alifunga...
  6. Kwa mashabiki na Viongozi wa Yanga

    Wadhamini wa michuano ya CAF (club bingwa na shirikisho) ni total energies rangi yao ni nyekundu na huvaliwa na timu shiriki kwenye jezi zao. Sasa basi Yanga mtavunjwa huo mwiko uko nyuma kwa kuvaa beji ya rangi nyekundu ya Total energies?
  7. Mashabiki wa Ronaldo wanaharibu soka

    Ronaldo alianza kumtuma Pepe na Bruno Fernandez wa ureno kusema kuwa FIFA wanambeba Messi. Tokea hapo kumekuwa na wimbi kubwa la mashabiki wa Ronaldo ambao kila mechi ya Argentina wanalalamika inabebwa, mfano ni jana ile penati. Tunajua ndio penalty nyingi kwenye mpira huwa zinaleta debates...
  8. Mashabiki wapewa tiketi 13,000 za bure kuiona Morocco ikicheza Nusu Fainali World Cup 2022

    Shirikisho la Soka la Morocco (MFF) limetoa tiketi 13,000 kwa mashabiki wa timu yao ya taifa kwa ajili ya kushuhudia mchezo wa Nusu Fainali dhidi ya Ufaransa, Jumatano Desemba 14, 2022. Ndege za Shirika la Ndege la Royal Air Maroc limetoa ndege 30 kwa ajili ya kwenda Qatar kukiwa na punguzo la...
  9. Mashabiki wa Morocco ninaamini mmeshamaliza kupakia mizigo yenu, ndege inaondoka baada ya swala ya Isha

    Ndugu zangu kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mara baada ya adhana jioni ya leo majira ya saa mbili kasorobo tutakuwa tunatoka uwanjani na tukimaliza kuswali ndege itakuwa inaondoka. Tunawatakia safari njema na tutakuja marakesh kutalii hivi karibuni.
  10. Kinachowauma mashabiki wa Ronaldo hadi sasa ni kwamba CR7 ana mchango mdogo sana kwenye timu ya Ureno

    Kinachowauma mashabiki wa Ronaldo hadi sasa ni Kwamba CR7 ana mchango mdogo sana kwenye timu ya Ureno. Ureno inasonga mbele zaidi na inaonekana ni wazi bila hata Ronaldo timu inaweza kufanya vizuri tu,
  11. Mashabiki lia lia wa Tanzania ndo wanaharibu mpira

    Mfano mdogo tu, mashabiki wa Yanga wiki tatu zilizopita kabla ya kufuzu confederation cup walikuwa tayari wameshamkataa Nabi, na wengi wao walikuwa tayari Nabi angefukuzwa just kama angeshindwa kufuzi. Leo hii Yanga imefuzi wametulia kabisa wanafurahia pia na matokeo wanayopata sasa, hawana...
  12. Kijana Mkenya anayevutia mashabiki Qatar FIFA World Cup

    Abubakr Abbass, a 23-year-old from Kenya, has emerged as a firm fan favourite – and accidental social media sensation – during the football World Cup in Qatar. Sat on a tennis-umpire chair and wearing a large foam finger, he guides the hundreds of fans visiting the historic market – called Souq...
  13. Viongozi wa Simba acheni kuwadharau mashabiki wa mikoani

    Nimetafakari kwa uwezo wangu na kutazama kinachoendelea kwa timu yetu ya Simba katika michezo yake mikoani na nimejiridhisha bila shaka kuwa dharau za viongozi wetu zinatugharimu. Kila sehemu ina mila na tamaduni zake. Ni kwa kuwashirikisha na kuwathamini tu wenyeji wa eneo husika ndiko huleta...
  14. Mashabiki wa mpira hoyee, naona sasa hivi mnapumulia juu juu

    Poleni na majukumu ndugu zangu. Mpira una mashabiki maelfu kwa kwa mamia, miongoni mwao mimi sijabahatika kuwemo. Dah alieniroga, hakika sijuwi nimwambieje! ~ Ukiwa na mimi ukaleta habari za mpira kwakweli naona kama vile umekosa la kuzungumza. ~ Kikifika kipindi cha michezo/uchambuzi sijui...
  15. M

    Hii tunaiitaje timu kushinda lakini mashabiki wanakosa furaha na kuwa kama wamefiwa hivi

    Hii kitu sijaielewa Wazee wa pira linatembea wameshinda leo lakini mashabiki wake uku wamekuwa kama wamemwagiwa maji ya baridi sijui hii ganzi ya ghafra waliyonayo kuna nini nyuma ya pazia.
  16. Nani anabisha kuwa kupambana hadi ushindi wa Yanga SC jana kulichangiwa na kubezwa mno na mashabiki wa Simba SC?

    Kwa lugha nyingine ni kwamba badala ya kutushangaa na kututukana hadi kutudhihaki watu wa Simba SC GENTAMYCINE nikiwa kinara wao hapa JamiiForums, basi mngetupongeza! Kwani kwa 60% tumechangia kuwajaza ndimu (upepo) wachezaji wenu na wao kuamua kujitoa vile mpaka kushinda na kutinga makundi...
  17. Lengo la rais wa yanga kuwaita mashabiki wa timu yake wala mihogo

    Kitendo alichokifanya rais wa yanga ni udhalilishaji wa hali ya juu. Ameonesha namna gani alivyo na dharau na kuwapuuzia mashabiki wa timu ya yanga. Yanga ilikuwepo tangu miaka ya 1935. Viongozi walimtangulia walikuwa wakiheshimu mashabiki. Ni kweli mihogo ni chakula mambacho watu wengi...
  18. Yamebaki masaa 24 Mashabiki wa Simba tuwe na furaha

    Mungu ni mkubwa najua anaenda kujibu maombi yetu mashabiki wa SIMBA pale tutakapo shuhudia marefa makini wakichezesha mechi ya UTOPOLO na Club Africans,tunajua haki itandeka kwenye hiyo mechi ni suala la muda tu..
  19. Hii ni kwajili ya mashabiki wa Fid Q na muziki wa Hip Hop tu

    Habari wakuu, Naomba kunanza na Track hii ya Fid Q ft Juma nature, SIRI YA MTUNGI. Naandika mistari ya hii ngoma nitakapoishia atendelea mwingine hadi track kuisha, kisha mkuu mwingine anaweka track tunapita nayo. Song: Siri ya mtungi Fid Q ft Juma Nature Verse no: 1 Nilipotoka...
  20. Ukweli mchungu ambao mashabiki wa Simba hawataki kuukubali

    Kwa sasa mna timu ya kawaida sana, Tshabalala, Kapombe, Bocco, Nyoni na Mkude siyo wa miaka minne nyuma, Chama aliyerudi kutoka Morocco siyo yule alieondoka, pengo la Muqquison bado halijazibwa, wachezaji wenu wa kigeni ukiwatoa Innonga karibia wengine wote ni overrated. Usajili wenu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…