mashabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkaruka

    Cult following au tatizo la afya ya akili: Jinsi Biashara wanavyoshambuliwa na mashabiki wa Simba na Yanga

    Inashangaza kwa kweli. Yaani sasa hivi watu wamejaa mihemko tu na kuabudu watu fulani tu. Yaani wanatamani kama team ya mpira inayofanya vizuri iwe Simba au Yanga. Kama ni msanii, wanataka awe msanii wao tu Alikiba, Harmonize, au Diamond Kama ni siasa wanaamini mtu wao yeye ni malaika...
  2. avogadro

    Wizara ya Michezo ipige marufuku mashabiki maarufu wa Simba na Yanga kushangilia Taifa Stars

    Imeibuka tabia ya watu kujifanya wao wanaujua zidi mpira ama kwa kutoa kauli tata za kukatisha tamaa timu yetu ya Taifa, wachezaji na makocha pale kwa bahati mbaya inapokosa matokeo mazuri Kuna watu ambao huonekana kwenye michezo ya Simba na Yanga wakiongea hovyo huku ama wamejipaka mdude gani...
  3. Greatest Of All Time

    RC Adam Malima: Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Kighoma Malima, amefunguka ya moyoni kuhusu timu mbili kongwe hapa nchini. RC Malima amesema " Mtu yoyote anayejua mpira anajua wazi Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba" Je Mkuu wa Mkoa huyu wa Tanga, takwimu hizo amezitoa wapi? ili nasisi mashabiki tuweze...
  4. demigod

    Kuna Mpango Unaandaliwa Kutumia Vilabu vya Ligi kuu ili Kuchanja Mashabiki Chanjo ya Corona-19

    Kuna mpango mkakati uko juu unaandaliwa. Mpango huo unahusisha kuvitumia vikamilifu vyama vya michezo mbalimbai nchini hasa Mpira wa miguu ili ku-push idadi ya watu ambao hawaja chanjwa ili wachanjwe. Kutatokea na kikao cha siri baadhi ya watu wale walio simamisha mechi ya simba na yanga na...
  5. Ramon Abbas

    Wastara bana, Aitwa Matonya wa Bongo na Mashabiki zake Huko Instagram

    Huyu dada bwana sijui ni kweli anapitia shida ama ni uigizaji? Kwenye interview moja na Diva clouds alionekana akilia maisha magumu na kutaka kujiua. Leo hii anaibuka insta akiwa kang'aa Cheki alichoambiwa
  6. Greatest Of All Time

    Askari Polisi wa Mpwapwa, Rashid Mohamed Juma ambaye afariki akiangalia Mchezo wa Simba na Yanga

    Afande Rashid wa kituo cha polisi Mpwapwa, amepoteza maisha baada ya timu yake ya Yanga kuifunga Simba jana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii. Afande alishikwa na furaha iliyopitiliza hali iliyosababisha kukutwa na mauti huko Mpwapwa, Dodoma! Poleni sana wafiwa, kwa kupoteza mpendwa wenu, hizi...
  7. sky soldier

    Msemaji wa simba akiri mashabiki wa simba huchangia kujaza viwanja mechi za yanga, Je simba haiwaridhishi??

    Ezekiel Kamwaga - Kaimu Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano - Simba SC HITIMISHO 1. Ukisema unaenda kuangalia timu ya mwenzako maana yake kuna kitu bora unakwenda kukiona ambacho timu yako haina 😀😀 2. Mashabiki wa Simba walikuwa wanaacha kuangalia mechi zao na wanakwenda kuangalia Game...
  8. Bayga

    SoC01 Kwanini mashabiki wa mpira wanakufa kwa matatizo ya moyo?

    Mashabiki wengi kipenzi wa mpira wapo hatarini kufa au kuathiri afya zao kutokana na magonjwa ya moyo, Kiharusi na matatizo ya kisaikolojia kwa mjibu wa utafiti uliochapishwa katika jarida la Current problem in cardiology na katika jarida la Stress and Health mwaka 2020.  #Picha | Mwanaspoti...
  9. M

    Simba SC kuelekea Derby na Yanga SC naona mnalirudia tena Kosa lile lile ambalo niliwaonya huko nyuma, tukifungwa mtatukoma Mashabiki

    Magori, Salim, Kocha Matola, Somo na Mkuu wa Itifaki Makoye ni mara ngapi mnataka niwe nawakumbusha hili ambalo huwa mnalipuuza kama siyo Kulisahau kila tukicheza na Yanga SC na Wanatufunga? Nilishawaambia kuwa hata kama Timu yetu sasa inaendeshwa Kisasa (Professionally) ila kwa Utamaduni wa...
  10. tpaul

    Simba kwa huyu mgeni rasmi wa Simba Day leo, mmetuangusha sana mashabiki

    Naingia kwenye hoja moja kwa moja lakini awali ya yote naomba ku declare intest kwamba mimi ni mwanaSimba kindakindaki. Nina imani Simba Day ya leo tarehe 19/9/2021 imeandaliwa vizuri kimkakati na kimipango lakini kuna jambo moja ambalo klabu imetukusea sisi mashabiki wa ukweli wa Simba. Tangu...
  11. NITAKUKAMATA TU

    Sijapenda upotoshaji wa mwandishi uyu dhidi ya timu ya hii,upingwe huu ni uchonganishi wa wazi kwa mashabiki

    Wa jamii jana tuliomsikia mmoja wa watu wa biashara united ,ndg wabare,lakin cha ajabu uyu mwandish alibadilisha maneno ambayo ndg wabare alisemea wapinzani wake ,kuwa alisemea timu yake.huu ni uchonganishi wa wazi kwa mashabiki, na haukubaliki
  12. Deejay nasmile

    Tujuane mashabiki wa Simba na Yanga wa humu Jamiiforums

    Najua jukwaa lenu lina mashabiki kindaki ndaki wa either simba au yanga. Yaani yeye na simba au yeye na Yanga. Haya hebu tutajane hapa ili tujuane. kuna watu wanaojulikana kabisa na wengine hawajulikani ila wanaweza kujitaja tu wenyewe NAANZA MIMI 1:YANGA
  13. OKW BOBAN SUNZU

    Tofauti ya wasanii wa Tanzania na Kenya au Naijeria katika kuwasemea mashabiki wao

    Tazama nchi inaenda ikiwa imepoteza uelekeo kabisa. Tazama dreva ameendelea kubaki kwenye usukani wakati gari imekata sukani na shokapu. Tazama raia na upinzani wamedhurumiwa huku wasanii wetu wakiwa kimya kwamba hayawahusu. Lakini ukimya huu umeshawishi watesi wanafikiria ukusanyaji wa kodi na...
  14. LIKUD

    Wachezaji wazamani wa Simba ambao walikuwa mashabiki wa Yanga na wachezaji wa zamani wa Yanga walio kuwa mashabiki wa Simba

    MUOGOPE MUNGU: USIMTAJE MCHEZAJI AMBAE BADO ANACHEZA ILI USIMSABABISHIE MAZINGIRA MAGUMU KWENYE AJIRA YAKE. Wachezaji wa zamani walikuwa weledi Sana. Mchezaji wa simba hata Kama alikuwa shabiki wa Yanga Lia Lia lakini linapo kuja suala la kazi yake mchezaji huyo alipiga kazi kweli kweli ...
  15. OKW BOBAN SUNZU

    Yanga waombeni msamaha mashabiki

    Ukiachana na kujaza uwanja mengine yote na kila kitu kilidoda. Kwenye pitch walicheza mechi 3,mbili wakachezea kichapo na moja ndoo Kwenye burudani kulikuwa na Koffi mambo aliyofanya ni aibu ya mwaka. Baadae alikuja msaani mwingine anaitwa Kabwili nadhani ni kipa yule. Msikilize alichoimba
  16. Mamserenger

    Mama J, shabiki wa Yanga

    Ila wazeiaa dah mama J mkali wa kuchezea mike. Dah sio poaa Inabidi hawa madem zetu wakapewe somo na Mama J Jinsi ya kushika Koni na kuinyonyaa vile inavyo takiwaa. Asantee Mama J, leo ume Jua kunipa rahaa. Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  17. M

    Yanga msitolewe kwenye njia na mashabiki oyaoya, timu mnayo

    Kuna baadhi ya mashabiki oya oya na wale wa makoro koro FC wanataka kutumia mechi ya yanga ya jana kufungwa Kama kichaka cha kueneza propaganda ya kuwa yanga imesajili vibaya. Watu hao nafikiri hawako timamu kwenye masuala ya kuangalia timu kiufundi bali wanasukumwa na mihemuko aidha ya chuki...
  18. MabatiBeiNafuu

    VIDEO : Manara azomewa na mashabiki baada ya Yanga kula Kichapo

    Baada ya timu ya wananchi kuchezea kichapo katika siku ya tamasha lao pendwa. Msemaji wa mpya Haji Manara aka Bugatti amerekodiwa akizomewa na mashbiki wenye hasira kali. #PoleSanaManara
  19. Mtafiti77

    Mashabiki wa makala za wanyama mpo kwenye uzi upi jamani?

    Habari nyote Ninaomba kufahamishwa uzi makini unaojadili tabia za wanyama na maumbile ya dunia na vilivyomo hapa JF. Mimi ninapenda hizi mambo. Hunitoi National Geographic TV, Discovery channel... Siku hizi nimenogewa na WildEarth Tv, hawa wanarusha video live toka mbugani kule South Africa...
  20. beth

    #COVID19 Marekani: Mashabiki wa Tennis watakiwa kuonesha ushahidi wa kupata chanjo dhidi ya COVID-19

    Mashabiki wa Tennis wenye umri kuanzia miaka 12 na kuendelea Nchini Marekani watatakiwa kuonesha ushahidi kuwa wamepata Chanjo dhidi ya COVID19 ili kuhudhuria U.S. Open Wametakiwa kuonesha ushahidi wa kupata angalau dozi moja ya chanjo. Michuano hiyo ilifanyika bila Mashabiki mwaka 2020 ======...
Back
Top Bottom