KIFO ni fumbo. Hutamsoma tena Mwalimu Alex Kashasha kwenye kolamu yake aliyokuwa akiandika kwenye ukurasa wa 12 wa Mwanaspoti kila Jumamosi. Kifo kimemchukua, atazikwa Dar es Salaam Jumatatu.
SOMA ZAIDI: Kilichomuua Mwalimu Kashasha hiki hapa
Hutasikia tena ile misemo, mbwembwe zake akitangaza...
Mashabiki wa Simba ndio sisi hatukuwahi kulalamika popote kwamba kwa nini hamrushi habari za Simba Sc ikiwa kambini.
Kwanza tunapongeza uongozi kwa kutoruhusu waandishi kambini. Huu ni utaratibu mzuri. Kambini timu inaweka mikakati,mbinu za kutoboa. Simba Sc ilikuwa inaendelea na zoezi la...
Siku zingine Wadukuzi na Wanyetishaji wa Taarifa za ndani ( za Siri ) akina GENTAMYCINE tunawaambieni Mambo hapa kwa 99.9% muwe mnatuelewa tafadhali.
Ni kwamba Uongozi wa Klabu ya Yanga na Wadhamini wao Samjo Samjo ( Matapeli Matapeli ) akina GSM wanasema kuwa Wachezaji wao akina Tuisila...
Nadhani title inajieleza hapo juu, hakuna shabiki halisi wa Simba anaweza kukushambulia kwa mafanikio yako ktk SSC kuipelekea kuwapiku yeboyebo kwa rekodi ya ubingwa miaka 4 mfululizo hasa ukifikiria Simba ilivyokuwa taaban kwa Yanga huko nyuma.
Na huyo Manara kawekeza sh ngapi SSC, atokomee...
Press yake ya leo ni ya "Kimkakati' ya Kuichafua Klabu ya Simba baada ya Kutumwa na Maadui zetu wakubwa wa Jangwani na Chamanzi.
Nimemsikiliza Hoja zake zote na hakuna jipya sana sana ameshatuhakikishia ni kwanini ana udhaifu mkubwa wa Wanaume wengi wa Pemba, Lamu na Mombasa.
Kayakanyaga hivyo...
Rejea kichwa cha Habari hapo juu
Ni mechi ya kirafiki iliyochezwa tarehe 2/8/2014 mjini Michigan kwenye dimba la Ann Arbor Stadium, Nchini Marekani, ilihudhuriwa na watazamaji 109,318 na kuweka historia ya aina yake kwenye ulimwengu wa kandanda kwa vilabu.
Mechi hiyo ya kirafiki Manchester...
Hans Pope ameeleza sababu za Manara kukataa kusaini mkataba na Simba ambao ni mil 4 akiogopa kujifunga kwani unamkataza kufanya kazi na kampuni zingine nje ya Simba.
barbara gonzales
haji manara
hataki
klabu
kuondoka
kwanza
lazima
likizo
mashabiki
mawazo
mbali
mgando
milioni
mkataba
mshahara
muda
sahihi
siku
siku 7
simba
wachezaji
Wakati mashabiki wakiwatuliza wachezaji chipukizi waliopoteza penati zao na kusababisha England ishindwe kuondoa nuksi ya miaka 55 ya ukame wa vikombe, Gary Naville amemtaka winga wa Arsenal, Bukayo Saka kutembea kichwa juu licha ya kushindwa kufunga penati muhimu ya tano dhidi ya Italia.
Saka...
Mzee wangu najua unasoma uzi huu sasa hivi nakuomba kwa niaba ya mashabiki wa Simba SC utusamehe kama tulikukwaza kwasababu umetuandamana sana.
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Kama uzi unavyojieleza.
Huwezi zungumzia soka la Africa kwa sasa bila kuzitaja club za Simba na Yanga. Kama unamjua kiongozi au celebrity yeyote shabiki wa Simba au Yanga mposti hapa.
Itapendeza zaidi akiwa ndani ya uzi wa club husika. Pia, Kama wewe ni shabiki wa Yanga weka like 👍 yako kama...
Watu wengi huku kwetu kusini mwa jangwa la sahara wanapotosha maana halisi ya "uzalendo" maana wanaligeuza neno kama kibwagizo cha kutafutia fulsa na kushibisha matumbo yao.
Uzalendo sio kelele za kasuku bali uzalendo ni vitendo vya utu, upendo, na kuwa na matarajio mema kwa taifa husika...
a ) Rafu mbaya sana na ya Kikatili mno aliyochezewa Luis Miquissone wa Simba SC na Beki Mpuuzi Mghana wa Azam FC ambayo si tu ingemjeruhi vibaya bali ingeweza hata Kuhatarisha Uhai wake na cha Kushangaza Mwamuzi hakumpa upesi Kadi Nyekundu na akaishia tu kumpa ya Njano huku Mchezaji Mcheza Rafu...
" Kinachoendelea Yanga SC na huu mkanganyiko kuhusu wao kucheza au kutocheza Mechi yao na Simba SC tarehe 3 July, 2021 ni Uthibitisho rasmi kuwa Yanga SC sasa imejaa Wahuni na inaongozwa Kihuni. Na katika hili Yanga SC wasitake Kuwaficha Mashabiki wao bali waseme tu kuwa wanaiogopa hii Mechi...
Hii timu inaendeshwa kwa imani za kishirikina sana, kama ndondo tu. Sasa unajiuliza hii ndio timu iliyosimamia kanuni mpaka ikagoma kuingiza timu dhidi ya Simba kikanuni. Uko wapi msimamo wa kuzingatia kanuni.
Wachambuzi takataka nao wako kimya kuikemea hii timu ambayo ni kioo chakavu kwa timu...
Kaizer Chiefs vs Simba match on TV but NOT every fan will get to watch it!
Kaizer Chiefs fans will get to watch their team live on the South African Television for the first time in the CAF Champions League this season.
Amakhosi take on Simba SC of Tanzania in the first leg of Africa’s premier...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kutoa taarifa haraka sana kwa Watanzania juu ya tarehe ya kuchezwa kwa mchezo huo na pia ieleze utaratibu kuhusu hatima ya waliolipa viingilio ili kushuhudia mchezo huo.
Pia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasihi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.