Kipa wa Mamelod Sundowns Rollen William aongoza kwenye kura za mashabiki tuzo za Ballon D'or mwaka 2024 Upande wa Makipa akiwa na asilimia 55.9% akifatiwa na kipa wa Madrid A.Lounine akiwa na asilimia 21.9% hapo awali ziliongozwa na kipa was Real Madrid Lounine. kwa asilimia 59% kabla ya kipa...
Mwekezaji wa Simba SC Mohammed Dewji (MO), amewaonesha Wapenzi na Mashabiki wa Simba ramani mpya ya Mo Simba Arena akisema huo ni mradi mkubwa ambao utaweka msingi wa mafanikio ya Club hiyo baadaye.
Akiongea leo October 06,2024 kwenye Mkutano Mkuu wa Club hiyo, Mo Dewji amesema "Hii ni ramani...
Hawa ni changamoto sana.
Timu ikishinda goli chache inatupiwa lawama kuwa kiwango kimeshuka.
Timu ikishinda goli nyingi wale wa upinzani wanasema timu iliyoshinda imenunua mechi na wachezaji.
Timu zao zikishindwa wanatokwa maneno hatari. Wiki nzima mtu atalaumu hatari. Kila mtu anajifanya...
Hawa BASATA mbona hawaeleweki? Naona wamelaani mashabiki na wamesahau kumfungia Zuchu kwa kutukana hadharani. Je ishara ile kwao sio tusi?
Au kwakuwa amesema mitano tena basi sheria za BASATA hazimhusu?
BASATA waache kupendelea.
Kama ulikuwa unawaza nahodha wa Simba, Mohamed Hussein 'Tshabalala' anaweza akatundiga daruga hivi karibuni, basi sikia majibu yake.
Tshabalala amejibu swali aliloulizwa na Mwananchi kutokana na kucheza kwa kiwango bora ndani ya misimu 10 katika kikosi cha Simba hawazi kustaafu?
Na haya ndiyo...
Kila ukiangalia mechi wanazocheza prison huoni mashabiki zaidi ya askari wachache sana wanaoimba na kucheza muda wote wa mechi
Hata ken gold wajuzi wanamashabiki kuliko prison
Tatizo ni Nini!? Na kwa Nini wasihame mkoa angalau waende hata shinyanga wapate mashabiki kuliko mbeya walikompiga...
Nimefuatilia reactions za mashabiki wengi duniani juu ya matokeo ya mechi baina ya Man city vs Arsenal kupitia media mbalimbali, nimegundua kuwa wengi wamefurahi sana Man city kusawazisha bao na hivyo kutoka sare ya 2-2.
Inafahamika kuwa Man city hawana fan base kubwa ukilinganisha na timu kama...
Habari wadau.
Nimekuwa nikifuatilia mada za Wanayanga tangu game ya simba huko Libya. Wamekuwa wakija na hoja vunjifu hoja katishi mmoja kasema kuhusu simba hajapiga shuti la kulenga goli mara mwingine kaja na hoja za kuja kufungwa huku Dar.
Hapo awali stori ilikuwa ni Mabululu na habari za...
Baada ya Jana Timu yetu Kujitahidi na kutoa Sare ya Suluhu (siyo Samia) na Wachezaji wetu kufanyiwa Fujo pale Uwanjani (nchini Libya) nina uhakika wa 100% ili Kuingiza Timu yetu matatizoni (kama sehemu ya Kulipiza Kisasi) kuna Timu moja yenye Utoto, Roho Mbaya, Ushamba, Chuki iliyopitiliza dhidi...
Baada ya dakika 90 kumalizika kwa mechi kati ya Simba na Ahly Tripol,Mashabiki walianza fujo kwa kurusha makopo na vitu vizito uwanjani huku wakiwalenga wachezaji wa Simba na marefaree na huku Aishi Manula akijeruhiwa na polisi na kuanza kupewa matibabu na madaktari wa timu ya Simba SC.
Soma...
Baada ya saga lake la usajili kutikisa hatmaye mshambuliaji wa the Super Eagles, Victor Osimhen amekubali kujiunga na klabu ya Galatasaray kwa mkopo kwa msimu ujao.
Mashabiki wa Galatasaray wameonyesha shangwe na furaha kubwa baada ya kuwasili kwa Osimhen, mshambuliaji mahiri anayetarajiwa...
Nimeona post moja huko mitandaoni nikabaki kushika tama....
Wenzetu wameona Simba walizindua AFL, na wao wakaona wasipitwe, ngoja wajizindulie CAFCL na kuna wanachama wao hai wanatembea vifua mbere.
Embu vyura kujeni mjieleze jinsi mlivyoaminiwa na CAF kuzindua mashindano.
Sasa kama mnajua kuwa GSM ambao ndiyo Wadhamini Wakuu wa Yanga SC na kwamba itasababisha Fikra zenu za Kipumbavu kuwa kutakuwa na Upangaji wa Matokeo (Match Fixing) pale Yanga SC ikicheza na hivyo Vilabu Saba ( 7 ) sasa kwanini nanyi / nasi pia tusimwambie Tajiri yetu Tapeli na Muongo nae...
Sijawahi kusikia iwe ni Arsenal au Manchester United au Liverpool FC yangu au PSG au Real Madrid na FC Barcelona au Bayern Munich au AC Milan ao hata Mamelodi Sundowns FC wakisema kuwa Timu yao ipewe muda au Mashabiki wao wawe Wavumilivu kwani Vikosi vyao Vinajengwa na miaka mingi ijayo.
Mpira...
Jana nilicheki mechi baina ya Real Mallorca vs Real Madrid, gemu iliisha kwa sare ya bao 1 -1, mpira mwingi ulipigwa na Real Mallorca jana na almanusura Madrid walie dakika za mwisho, Real Madrid ndio mabingwa wa soka duniani, ndio timu yenye mafanikio makubwa namba duniani, timu yenye makombe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.