Jana pale uwanja wa Mkapa mmefanya Mambo ambayo ni dhahiri hata nafsi zenu zinawasuta. Nyie ni Watanzania na mna Uhuru wa kuamini au kuabudu chochote.
Mna dini zenu lakini pia mna itikadi zenu. Lakini kitendo cha kufuata itikadi mnayohusudu huku mkihusisha taasisi za soka ambazo nyie ni...
Mashabiki maarufu wa mpira Tanzania
10. GB 64
Huyu ni Shabiki maarufu wa Simba sc ambaye amekuwa gumzo sana siku za hivi karibuni hususan baada ya kupata mizengwe kutokana na kauli zake dhidi ya uongozi wa timu yake.
9.Aggy Simba
Huyu mwanadada jasiri na shabiki lialia wa Simba sc ambaye...
Kipindi hiki cha usajili ndio kipindi pekee ambacho wana Simba tunapataga furaha ya moyo.
Jamaa alituletea Manzoki, tukalipuka kwa furaha ukumbini, tukampa kura kwa kishindo, leo hatumtaki lakini bado amekalia kiti.
Ewe shabiki mwenzangu wa Simba unaisubiri Thank You ya Boss wetu Mangungu...
"Katika uongozi wangu hakuna shabiki aliyewahi kusema anahitaji katiba, kila shabiki alikuwa anahitaji furaha tu."
"Vivyo hivyo mpaka sasa mashabiki wa Simba wanahitaji furaha bila kuhimiza mchakato wa kuipata hiyo furaha (Katiba)"
"Rage alikuwa sahihi na namuunga mkono kwa kuwaita mashabiki...
Mashabiki wa Simba wajitafakari wasiwe mashabiki oya oya wanaodanganywa.
Leo wanamlaumu Mangungu, Siku ya mkutano mkuu wa uchaguzi aliwapa tu ubwabwa na akamleta Manzoki aongee, basi wenyewe wakampa kura zote za ndiyooo.
Na tuliwaasa kuhusu hili jambo na propaganda zote.
Leo wanasema Yanga...
UCHAMBUZI WA ALICHOKIONGEA MANGUNGU CLOUDS
Wana Simba Msidanganyike na kurudi nyuma kwa maneno ya Ngungu.Kwanini
1.Kuenndelea kwake ni Mwendelezonwa visasi kwa wanachama
Jana tumemsikia wazi wazi akikana Tawi hadharani kwa sababu ya tofauti zake na mtu Mmoja unadhani lile tawi la VIP A ambalo...
Aziz Ki amesema"Nawashukuru kwa sababu ni jambo dogo sana ninaloweza kufanya kuwashukuru nyinyi ambao mnanisaidia kila siku, SIO KWAHERI NIKO HAPA MSIJALI”
Haya ni maneno mazito ya Khalid Aucho, Mchezaji wa Yanga kwenda kwa mashabiki wa Soka Tanzania akiongea na Waandishi wa Habari baada ya kukabidhiwa Kombe la Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League. Aucho aliulizwa baadhi ya maswali ikiwemo ni nani anatamani kucheza naye na kumtaja kiungo...
Ipi ni nafuu kwa watu wa Simba kati ya possibilities hizi: Simba kushika nafasi ya tatu na Feisal kuwa mfungaji bora; au Simba kushika nafasi ya pili na Aziz Ki kuwa mfungaji bora
Nimepata kuwasikia baadhi wa mashabiki wengi wa timu tofauti tofauti wengine wakiwa miongoni mwa mashabiki wa Simba wengine nje ya Simba na baadhi ya wachambuzi wkisema TFF haopo sahihi kwenye uwamuzi wa kuipeleka mechi ya Simba na KMC kuchezwa Arusha kutokana na muda wa utoaji taarifa. Je, kuna...
Gamondi huu siyo muda tena wakumchezesha Pakome dakika za Majeruhi kwani Pakome ana combination nzuri sana na Azizi ki , endapo Pakome akianza naziona hat trick Kwa Azizi k hii ndiyo furaha yetu Wana Yanga SC.
Akichukua yule mtoto maneno yatakua mengi sana haswa wachambuzi was mchongo na baba...
Hawa watu kwao mpira ni kama Nini sijui maana Kila mechi viwanja vinafurika tena pomoni hata kama kombe halipatikani.
Nadhani mpira una tafsiri nyingine Ujerumani ,lazima siku Moja niwe pale Signal iduna kuangalia mechi Moja.
Jeshi la IDF linaendelea na Kazi ya kutafuta Mateka kila kona ya mji wa Rafah.. mwendo ni kata funua hadi kieleweke.
Masikitiko sana kupata Mateka wakiwa hai.. South Africa na Uturuki wanaona aibu tu na watakuja kujutia upumbavu wao. Aljazeera wagoma kuandika Habari. hahaha
Msemaji wa IDF...
Wacha niwaorodheshee Top 15 ya ngoma pendwa duniani
1. Despacito ya Luis Fonsi na Daddy Yankee yenye watazamaji 8,441,831,151846,384 YouTube
2. See You Again ya Wiz Khalifa na Charlie Puth yenye watazamaji 6,263,172,6341,058,775 YouTube
3. Shape of You ya Ed Sheeran yenye watazamaji...
Nikweli usiopingika kuwa Soka la tanzania limetawaliwa na mashabiki wanaoendeshwa na mihemko, hii hapa Orodha ya wachezaji wazuri waliokimbia Clabu zao na kutundika Daluga au kuhamia vilabu vingine
1. David Molinga , Yanga, huyu alikuwa mchezaji nzuri aliyeweza kufungua zaidi ya goli 7 kwa...
Nimezunguka kwenye mitandao mpaka mtaani mpaka kwa viongozi wa matawi wote wamejifichwa kwenye kivuli za Yanga sc inabebwa na ndiyo maana wamchukua kombe la Nbcpl.
kwani kilichowatoa kwenye kombe la FA kwa kipigo cha mkwaju ya penati huko kigoma napo Yanga walikuja kushiriki kuwatoa??
je...
Simba SC haishindi kwa Ubora wa Kocha wa muda Mgunda bali baada ya Viongozi baadhi wa Simba SC ambao wana DNA na Yanga SC pamoja na Matajiri wao wameshamaliza Jukumu lao walilopewa. Mpango ulikuwa ni Kwanza kuhakikisha Simba SC inadhoofishwa mbele ya Yanga SC ili iangushe Alama ( Points ) nyingi...
Hii tImu Nilianza Kuipenda mwaka 1998 nikiwa Shule ya vidudu,Bi mkubwa alinunua Jezi number 7 mgongoni Imeandikwa Cantona,Kaka zangu wakawa wananipa story za Cantona,Tangu hapo nikawa mpenzi wa Manchester united,
Wakati Nasoma secondary school,usiku tulikua tunatoroka shule tunatembea karibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.