mashabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vincenzo Jr

    Mashabiki wa Simba SC mnakumbuka hii

    Usione aibu na tuambie ukweli mara ya mwisho timu yako kubeba ubingwa wa Ligi ilikuwa ni mwaka gani? Mimi mwaka 2023.
  2. THE FIRST BORN

    Kwanini Mashabiki na Wachambuzi wote wanaamini kua hizi team haziwez kua bora kwa wakati mmoja?

    Habari mwanajukwaa la michezo, Leo katika tafakuri zangu nimewaza kitu ambacho kwa asilimia kubwa ukikifatilia kinaongelewa sana kama sio sasa basi hata hapo nyuma kilikua kinasemwa sana. Kwa saiv No ubishi Yanga ana enjoy sana yupo kwatika Level ya peke ake kabisa, ambayo wamekua wakiitamani...
  3. GENTAMYCINE

    Mbona sasa hivi Mashabiki wa Simba SC 'tumedoda' sana hapa JamiiForums Kulikoni?

    Si tulishakubaliana mapema tu lakini tokea Ligi inaanza kuwa Simba SC itakuwa Bingwa wa NBC na tumeshakuwa?
  4. TUKANA UONE

    Kwenu Mashabiki wa Simba na Yanga wenye Viherehere

    Tukiwa tunaelekea mwishoni kabisa kukamilisha duru ya mzunguko wa pili wa ligi kuu ya Tanzania,almaarufu kama NBC PREMIER LEAGUE,naomba niwakumbushe mashabiki wa Simba na Yanga ili ikiwezekana waondoe tongo tongo za ujinga ndani ya bongo zao! Klabu za Simba na Yanga ili zijiendeshe zinahitaji...
  5. S

    Mbali na uongozi, mashabiki wa Simba nao ni wa kulamiwa kwani walikuwa hawataki kukubali timu yao ni mbovu na hoja yao ikawa ni Yanga wananunu mechi

    Mashabiki wasimba wakubali kuwa nao ni tatizo tena kubwa sana kuliko hata mabenchi ya ufundi yote yaliyopita kwani tangu msimu uliopita tulikuwa tunawaambia hii Simba ni mbovu wakawa wabishi huku hoja zikiwa ni Yanga kupitia GSM wananua hizi mechi, wanahonga waamuzi, wanacheza kombe la loser...
  6. Mkalukungone mwamba

    Viongozi wa Simba wanajiroga wenyewe na kujiweka kwenye mtego mbaya kwa mashabiki wao

    Viongozi wa Simba wanajiroga wenyewe na kujitega kwenye mtego mbaya kwa mashabiki wao. Simba wameendele kuachana na makocha wao kwa kipindi cha miaka 3 mfululizo Novemba 2021 - Mei 2022 Pablo Franco Juni 2022 - Septemba 2022 Zoran Mac Septemba 2022 - Januari 2023 Juma Mgunda Januari 2023 -...
  7. NALIA NGWENA

    Viongozi wa Yanga SC ni muda wenu sasa kutoa ufafanuzi kwa mashabiki kwa nini Pacoume hachezi na wakati alishapona majeraha

    Pacoume ni moja kati ya mchezaji pendwa katika kikosi cha Yanga SC, siyo pendwa kwa kocha bali hata kwa mashabiki kutokana na kipaji chake cha kusakata kabumbu . Cha kushangaza kumetokea sintofahau kila kukicha msemaji wa yanga Ally kamwe ansema kuwa Pakome yupo tayali na ni mzima wa afya...
  8. mdukuzi

    Jana usiku Mashabiki mbumbumbu wa Tanzania ndio wamejua Al Ahly ni bora kuliko Mamelodi!

    Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde. Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na wachambuzi ni vilaza. Kwaaliyefuatiliamechi zote za CAFCL atakubali kuwa Al Ahly bado ni timu kubwa na...
  9. Fundi kipara

    Nahisi GSM na Hersi wana nia mbaya kwa mashabiki wa Simba. Ukweli wote huu hapa

    As-Salaam Alaykum (Peace Be Unto You) Natumai Hamjambo Na Mko Vyema Karibuni Sana Katika Uzi Huu. Ukituskiza Vizuri Mashabiki wa Yanga Tukiwa Tunaongelea Mpira, Hasa Timu Yetu Wallah Nakuapia Tunakeraaa Sie na Ujichanganye Kusikiliza interview za Coach GAMONDI ambaye ungependa kusikia...
  10. P

    Ni muda muafaka sasa Viongozi wa Simba kuwasikiliza mashabiki

    Kwanza niwapongeze kwa kipindi chote hicho cha uwongozi wenu enyi viongozi wa Simba.Mliitoa Simba Shimoni(kutokuwa maarufu na tishio) hadi kuifanya timu maarufu Afrika kwa hatua mbalimbali ilizopitia chini ya uwongozi wenu. Mmefanya mengi mazuri ambayo yanatakiwa kubaki kama kumbukumbu nzuri na...
  11. Msanii

    Vikwazo dhidi ya Israel vinavyowekwa na Marekani vinatuma ujumbe gani kwa mashabiki wa vita ya Gaza?

    Kwa mara ya kwanza tangu kuundwa kwa Taifa la Israel mnamo 1948, serikali ya Marekani ambayo imekuwa mshirika mkuu wa siasa na harakati za Israel pale Mashariki ya Kati, imeeleza kusudio lake la kuweka vikwazo kwa kikosi maalumu cha Jeshi la IDF kilichofanya oparesheni zake upande wa ukingo wa...
  12. Chizi Maarifa

    Ni ngumu sana kukuta wenye akili au uwezo mzuri ni mashabiki wa Simba na Yanga

    Nilipogundua hili nikawa sasa naangalia faida zaidi katika kuzishabikia hizi teams. Hakuna mwenye akili anashabikia hizi teams. Au mwenye uwezo mzuri kiuchumi Ukiona hawa wenyewe uwezo wapo hizi teams ujue wapo kimaslah either kiuchumi au kisiasa. Sasa wewe bwege unaweza kaa hapo unakazana na...
  13. THE FIRST BORN

    Huo sio Mpira, Kuna namna naona kuna Kundi Limeibuliwa la kuwalazimisha Mashabiki wa Yanga wakae Kimya,Yani Linalazimisha.

    Ila Mpira bhana yan kuna watu wameibuliwa huko wameona mashabiki wa Yanga wanajiamini sana kua Simba lazima afe Jumamosi wao kuona vile na kwa kuangalia jinsi mashabiki wa Simba vile hawana usemi katika Derby ya awamu hii wamepewa jukumu la kuwatia uoga Mashabiki wa Yanga. Kuna kauli Nyingi...
  14. Kasiano Muyenzi

    Mashabiki wote wa Yanga mnaoamini kuwa April 20 Simba Watapigwa tumieni hii fursa ya kutajirika

    Ni muda wa kuweka kando tambo za Kimaskini , ni muda wa kuachana na ufukara. Tukutane kwa khanjbay tupige hela, sio hela ya kitoto, tutapiga hela ndefu huku tukishangilia kono la nyani lililotutoa kwenye ufukara. Enyi madogo, Frank Wanjiru, Labani og, Half american na wengineo tumieni fursa...
  15. Frank Wanjiru

    Mashabiki na wanachama wa Yanga mnaalikwa Soup Day Jumapili hii saa3 asubuhi

    Wapenzi wote na wanachama wa Yanga,soup day jangwani.
  16. S

    Utabiri: Mechi ya Yanga na Simba ya tarehe 20/04/24 inaweza isifanyike kwasababu ambazo hazitaeleweka kwa mashabiki wa soka au mchezo kuvunjika

    Katika mechi iyayo ya Simba na Yanga, yoyote anaweza kupoteza au wakatoa sare japo wengi wanaona Simba ana nafasi kubwa ya kupoteza huo mchezo. Kwenye soka, lolote linaweza kutokea na ndio maana Simba hii dhaifu bado naipa nafasi ya kuweza kushinda au hata kutoa sare japo hata mashabiki wenyewe...
  17. Majok majok

    Kwanini Mashabiki wa Simba nguvu zao na mijadala wameielekeza yanga na kuisahau timu yao?

    Nimeshangaa sana awa wafuasi wa mangungu kutoijadili timu yao iliyopigwa nje ndani na Aly ahly na badala yake wamekuwa makini kujadili mechi za Yanga dhidi ya Mamelod kuanzia mechi ya kwanza mpaka ya mwisho Pretoria? Najiuliza timu yao walishaikatia tamaa siku nyingi na imepoteza mvuto mbele ya...
  18. REJESHO HURU

    Hivi mashabiki wa Yanga hatuwezi kufanya mandamano ili CAF wapate ujumbe kuwa tumeonewa

    Nimewaza sana uhuni uliofanyika South Africa je mashabiki hatuwezi fanya mandamano ili dunia ya soka ikajua uhuni tuliofanyiwa yani kwa idadi ile ya parade ya ubigwa tunavyokuwa wengi sasa hii iwe ya kupinga maamuzi ya refa South na mabango yetu kabisa uliwengu wa soka ujue ili next time uhuni...
  19. M

    Aziz Ki kawavutia sana mashabiki wa mpira huko South Africa

    Kwenye media za michezo huko South Africa kuhusu game ya jana naona mashabiki wa Mamelod na Kaiser chiefs wamepagawa na kiwango cha Aziz Ki. Kila shabiki anashauri klabu chake kimsajili. Kuna mmoja akaenda mbali zaidi kwa kusema sio tu lile goli lililokataliwa bali jinsi alivyo na nguvu za...
  20. S

    Produza wa Afrika Kusini Ameomba Msamaha Wa Tanzania Hasa Mashabiki wa Yanga

    Tumepokea japo hatuwezi kusahau
Back
Top Bottom