"Maisha Bila unafiki hayaendi ,wakati nazungumza wakati wa AFL kuwa Al Ahly wako unga mashabiki wa Simba SC walinishambulia Kwa kuwa nilisema Ahly alikuwa anacheza tu dhidi ya Simba SC ,lakini baada ya kutolewa kwa aggregate wengi wanaamini kuwa walikuwa na nafasi ya kupita"
"lakini Jana baada...
MAMELODI "TULIITAKA SIMBA SIO YANGA"
Mashabiki wa Mamelodi huko SOUTH AFRICA wamesema waliomba sana wakutane na SIMBA sio YANGA
Baadhi ya mashabiki wamesema hawana furaha kupangiwa Yanga.
Mamelodi watakula mnara ✋
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Ndumbaro amesema Serikali itakutana na Shirikisho la Soka nchini na klabu za Simba na Yanga ili kuona inatoa mchango gani kuhakikisha timu hizo zinafanya vizuri robo fainali na kusonga mbele.
Waziri Ndumbaro amesema pamoja na mambo mengine, amewataka...
Mashabiki wa timu ya Kaizer Chiefs imetangaza kuisapoti timu ya Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns katika mechi zote mbili
Mashabiki hao wamesema wanataka kuona soka safi la Yanga linalovutia likiwafundisha adabu Masandawana
Wametangaza kuwa wapo tayari kutoa msaada wa Hali na Mali,wa kamati za...
Naona mashabiki wa simba wengi wana matokeo mfukoni kwamba leo wanaenda mpiga jwaneng galaxy nyingi
nawaonya tu, mpira ni mchezo wenye matokeo ya kushangaza na ya kikatili mno
msije mkavunja viti tu uwanja wa taifa na kutupia bus la wachezaji wenu mawe. maana mna matokeo mfukoni tayari...
Mwandishi wa huu Uzi Tukuka GENTAMYCINE ni mwana Yanga SC lia lia hata Wenzake akina Dada Nifah, Bishoo adriz, Rafiki yangu Bila bila na Popoma Takatifu Tate Mkuu wanajua hilo hadi na wana JamiiForums wote.
Ni imani yangu wana Yanga SC Wenzangu mtanijibu nwana Yanga SC Mwenzenu GENTAMYCINE...
Nimesikitika sana kuona pamoja na adha ya mwendokasi na mateso wanayopitia abiria, serikali kuondoa/kupunguza mabasi na kuruhusu baadhi kutumika kwa watu wachache na kuwaacha maelfu wamekwama vituoni wakisubiri usafiri.
Hata kama kuna abiria ndani, Je vipi kuhusu usumbufu wanaopata abiria...
Ewe Mwana lunyasi, Tuendelee kuhamasishana ili Jumamosi tukamkande Galaxy pale kwa Mkapa.
Katika kuelekea mchezo huo, Afisa habari wetu ametupa hamasa wana lunyasi kwa kuuita Inonga Day au ukipenda Inonga Mgeni Rasmi. Nasi kama wana Simba, tunatakiwa tutokelezee kama Inonga.
Hizi ni baadhi...
Viongozi wa Simba hua hawawheshimu Mashabiki zao..Ndio maana kila wakiona Yanga wana trend wao wanawaza kuzima trend yao kwa kitu cha Mda mfupi.
Si mnakumbuka Msimu uliopita aimba ilikosa FA ikatolewa CAF kama siku zote Robo na Ligi wakakosa pia walichokifanya wakaanza kununua games na SAIDOO...
Nilitaka niwaite wapumbavu lakini naona litakuwa neno kali sana.
Hivi mtu anapokea mshahara kuhamasisha watu waingie kwa wingi uwanjani anakushawishi ukunje kaptura eti kumuenzi mchezaji mpira (mwajiriwa) na wewe na uzuzu wako unakunja, Jumamosi wameambiwa wapake bleach kichwani, watafanya...
Kumbe bado wapo mashabiki wenye uelewa .
Nenda Instagram kwa maelezo zaidi .
Nafikiri pamoja na kuto perform pyramid mayele Ana frustration na ile mechi ya Tanzania v DRC alikamatwa vizuri na beki ya stars ya kina mwamnyeto na bacca vijana wa yanga haku score.
Klabu yoyote Bora kokote pale duniani ni ile ambayo pia hata Mchezaji wake Mmoja anayechezea Timu ya Taifa anaipeleka hiyo Timu yake katika hatua muhimu za Mashindano makubwa yanayotambulika na yenye Heshima kama ya AFCON kuanzia hatua za Nusu Fainali.
Hongereni sana Simba Sports Club na hakika...
Nilishatabiri mwamba wa hii Afcon ni Cape Verde.
Sasa mtaniamini mtapoona South Africa yule kenge msupport magaidi wakipalestina anakalishwa mpaka anaomba poo pale mtondogoo...
Mimi ni Octopus Paul nimemtabiri Cape Verse mechi zote na sijakosea hata moja.
Hili kombe linaenda kwa underdog
Achana na Orodha ya Wasanii wenye mkwanja mrefu Afrika, leo Mjanja M1 nakuletea Orodha ya Wasanii wa Kiafrika walioingiza mashabiki wengi hadi kufikia mwaka 2023 kwenye matamasha yao.
HII NDIO ORODHA YENYEWE!
1. Ferre Gola Aliingiza Watu 150,000 Show yake ilifanyika DRC Congo Mwaka 2023.
2...
Hakuna mtu asiyejua kama hatuna mafanikio, lakini sio kutufanya mazuzu kutuletea mafanikio ya kuungaunga.
Mtu anapimwa kwa kufanikisha objectives, sasa mtueleze hizo ndio zilikuwa objectives zenu?
Wanachama ili tuheshimiane kuna kila sababu za kufanya kitu kwa hawa viongozi
Nashindwa kuelewa kwanini TFF na Serikali wameshindwa kupeleka hata mashabiki 50 katika hii michuano hii ya AFCON.
Nchi yetu Tanzania tumezidi sana siasa na ufisadi. Katika pesa ambazo CAF wametoa TSH 2.5 Billion kwa kila nchi, tumekosa hata fungu la mashabiki?
Ukiangalia kuna vinchi vidogo...
Inasikitisha sana Kwa kweli Kwa mashabiki wengi wa timu kubwa nchini,hususan mashabiki wa Simba na Yanga.
Mashabiki Hawa wamekua hawana shukurani kabisa kwa wa chezaji waliopungua uwezowao,Mfano wachezaji wa Simba ambao ama Kwa umri wao ama Kwa nyakati Tu au sababu nyingine inapopelekea viwango...