Ekari 614 za mashamba ya bangi, kilogramu 3,741.9 za bangi kavu na kilogramu 1,706 za mbegu za bangi zimeteketezwa katika ushoroba ulio kati ya Hifadhi za Taifa za Mikumi na Nyerere.
Kuteketezwa kwa mashamba hayo, bangi na mbegu hizo ni matokeo ya operesheni iliyofanyika kwa siku tisa mkoani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.