Ekari 614 za mashamba ya bangi, kilogramu 3,741.9 za bangi kavu na kilogramu 1,706 za mbegu za bangi zimeteketezwa katika ushoroba ulio kati ya Hifadhi za Taifa za Mikumi na Nyerere.
Kuteketezwa kwa mashamba hayo, bangi na mbegu hizo ni matokeo ya operesheni iliyofanyika kwa siku tisa mkoani Morogoro kwa ushirikiano kati ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (Tanapa).
Kwa mujibu wa taarifa kwa umma ambayo imetolewa leo Julai 16, 2025 na DCEA imesema operesheni hiyo iliyowahusisha pia wananchi, imewezesha kuvunjwa kwa kambi 72 za wakulima wa bangi na kukamatwa kwa watuhumiwa tisa wanaohusishwa na zao hilo haramu.
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Aretas Lyimo amesema kuwa operesheni hiyo ni sehemu ya mapambano endelevu dhidi ya dawa za kulevya nchini, hususan katika maeneo yanayozunguka hifadhi za taifa.
Amesema maeneo hayo yameanza kuwa maficho ya wahalifu wakiyatumia kulima zao hilo haramu ambalo huishia kuleta athari kubwa kwenye jamii.
Kufuatia hilo kamishna Lyimo amesema mamlaka hiyo itaendelea kushirikiana na taasisi mbalimbali za Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama kudhibiti maeneo yote yanayotumika kwa kilimo cha bangi.
, kilogramu 3,741.9 za bangi kavu na kilogramu 1,706 za mbegu za bangi zimeteketezwa katika ushoroba ulio kati ya Hifadhi za Taifa za Mikumi na Nyerere.

Kwa mujibu wa taarifa kwa umma ambayo imetolewa leo Julai 16, 2025 na DCEA imesema operesheni hiyo iliyowahusisha pia wananchi, imewezesha kuvunjwa kwa kambi 72 za wakulima wa bangi na kukamatwa kwa watuhumiwa tisa wanaohusishwa na zao hilo haramu
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Aretas Lyimo amesema kuwa operesheni hiyo ni sehemu ya mapambano endelevu dhidi ya dawa za kulevya nchini, hususan katika maeneo yanayozunguka hifadhi za taifa
Amesema maeneo hayo yameanza kuwa maficho ya wahalifu wakiyatumia kulima zao hilo haramu ambalo huishia kuleta athari kubwa kwenye jamii
Kufuatia hilo kamishna Lyimo amesema mamlaka hiyo itaendelea kushirikiana na taasisi mbalimbali za Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama kudhibiti maeneo yote yanayotumika kwa kilimo cha bangi
Chanzo: Mwananchi_official