mashamba ya bangi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mashamba ekari 614 ya bangi zateketezwa na watu 9 kukamatwa, Morogoro

    Ekari 614 za mashamba ya bangi, kilogramu 3,741.9 za bangi kavu na kilogramu 1,706 za mbegu za bangi zimeteketezwa katika ushoroba ulio kati ya Hifadhi za Taifa za Mikumi na Nyerere. Kuteketezwa kwa mashamba hayo, bangi na mbegu hizo ni matokeo ya operesheni iliyofanyika kwa siku tisa mkoani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…