mashamba

Mashamba East is an open pit copper mine near to Kolwezi in Katanga Province, Democratic Republic of the Congo, currently not being actively worked.

View More On Wikipedia.org
  1. Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi aagiza kufuta umilikishaji wa mashamba yanayokodishwa kwa wafugaji kutoka nje ya nchi

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Alexander Mnyeti ameiagiza Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) Kufanya tathmini ya mashamba ya Serikali ya mifugo yaliyokodishwa kwa wawekezaji na wakiwabaini waliokodisha mashamba hayo kwa wafugaji kutoka nje ya nchi wavunje Mikataba na kufuta umilikishaji wa...
  2. Usalama wa Viwanja na Mashamba Pingo Chalinze upoje?

    Great thinkers. Mwenyeji au anaeyelewa usalama na hatari zilizopo hapo atujuze. Bongo hii pamejaa makanjanja wengi sana. Ili kuepuka kupigwa kwenye ununuzi wa aridhi tufumbueni macho kidogo.sisi wageni maana hata watendaji wa serikali hawaaminiki kwa sasa lao ni moja na madalali.. Karibuni
  3. Dodoma: DCEA kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi

    DODOMA: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi yaliyokuwa ndani ya hifadhi ya Ikome wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma yakiwa yamechanganywa na mazao mengine halali ili kuficha shughuli...
  4. " Wazazi hiyo pesa ya karo bora umnunulie mwanao mashamba" ... Joseph Mrindoko wa Wachokonozi

    Kwenye video jamaa kafunguka vitu vingi Sana muhimu. Mwenye kusikia na asikie na mwenye kujifanya kipofu aendelee kujifanya kipofu hivyo. Video Yake inapatikana You Tube. Kwenye video jamaa katema madini mengi Sana. Baadhi ya madini aliyo Tema ni pamoja na : ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ 1. Masikini hutengeneza...
  5. Mohammed 'Mo' Dewji ametelekeza mashamba ya chai Rungwe, ajira zatoweka

    Kama ilivyo ada, nimetembelea kwetu Xmas hii ili kuona mandhari na uzuri wa Rungwe, kwetu. Kilichonisikitisha ni Chivanjee Tea Estate kuanza kufa kwa kukosa matunzo. Waziri wa Kilimo ndg Bashe aingilie kati haraka, MO aachilie mashamba ya chai kule Jivanjee Chivanjee Tea Estate, Tukuyu...
  6. Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

    Great thinkers. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu in case unafahamu kijiji chochote ambapo mashamba yanapatikana Kwa bei tajwa tujuzane. Ukitaka mali utaipata shambami. arifhi ni.mtaji. zingatia kutaja sehemu husika Vizuri na namna ya kufika huko.. Kuna mtu alinitajia kuna kibindu njรญa ya...
  7. Wapi kuna mashamba ya sh 150,000/= mkoani Njombe

    Habarini watu wa Njombe, nchi iliyosheheni "asali" na "maziwa"! Mwanzoni mwa mwaka huu nilifanya ziara mkoani Njombe, ziara ambayo ilinifungua macho kuhusu "utajiri" uliopo Njombe. Katika hiyo ziara, nilibaini kuwa mashamba si ghali kwenye hiyo "nchi". Maeneo jirani na mijini ekari moja ni...
  8. Jifunze nguvu ya Sera ya Serikali inavyopaisha bei ya viwanja na mashamba hapa Tanzania

    Tofauti Kati ya Mji Mdogo (Township Authority) na Mji Kamili (Town Council) Mji mdogo (Township Authority) na mji kamili (Town Council) ni ngazi mbili tofauti za utawala wa miji, zenye mamlaka na majukumu tofauti. Tofauti kati yao inahusiana zaidi na ukubwa wa mji, uwezo wa kifedha, na huduma...
  9. Mashamba ya kukodi Sumbawanga

    Kuna mashamba yanakodishwa Sumbawanga vijijini yanafaa kwa kilimo hasa cha mahindi. Mvua ni za uhakika . Matayarisho ndio yanaanza sasahivi mwezi wa kumi. Garama ni laki moja kwa ekari moja. 071654 8250
  10. Jinsi Kutengeneza Kipato Endelevu Kwa Ukodishaji Wa Mashamba Kwa Wakulima Hapa Tanzania

    Jinsi Kutengeneza Kipato Endelevu Kwa Ukodishaji Wa Mashamba Kwa Wakulima Hapa Tanzania Kutengeneza kipato endelevu kwa kuwakodishia mashamba kwa wakulima ni fursa nzuri ya biashara kwa wale wanaomiliki ardhi ya kutosha hapa Tanzania. Katika mazingira ambapo kilimo ni sekta muhimu kwa uchumi...
  11. Matumizi Ya Google Earth App Kwenye Biashara ya Viwanja na Mashamba Tanzania na hatua za kuitumia

    Matumizi ya Google Earth App kwenye biashara ya viwanja Tanzania yanaweza kusaidia sana kuharakisha na kurahisisha mchakato wa kutafuta, kuchunguza, na kupanga mipango ya biashara ya ardhi. Google Earth inatoa zana za kuona maeneo kwa undani, kuchunguza mipaka ya viwanja, na kupanga maendeleo...
  12. A

    MASHAMBA /VIWANJA VYA MAKAZI NA UFUGAJI VINAUZWA MAENEO YA YOMBO MPERA, UMEME UPO.

    Habari wakuu,Kwa mtu anayehitaji huduma ya mashamba ya kununua,viwanja kwa ajili ya makazi,ufugaji,kilimo, unapata maeneo,umeme upo.hekari moja inaanzia milioni 15 na viwanja kuanzia laki 8 mpaka milioni 3.maeneo yapo YOMBO MPERA WILAYA YA MKURANGA.KARIBUNI SANA.
  13. B

    Viwanja na mashamba

    Nauza Mashamba - Dodoma kwa bei nafuu, heka kwa Tsh.300,000/-yapo wilaya ya chamwino vijijin kwa maelezo zaidi piga simu no.0694 662625, Karibuni na pianauza mashamba na viwanja Dodoma Veyula vimepimwa million 2.
  14. E

    Plot4Sale Viwanja na Mashamba vinauzwa sehemu mbalimbali Dar na Pwani

    Kazi kazi Nina nyumba Kali inauzwa iko Tabata Kisukuru Ina hati Tsh250ML Nina kiwanja kinauzwa Tabata Kisukuru ukubwa ni mita 20x30 ila nafasi ya kuongeza kubwa wa eneo ipo, kina faa kujenga Sheli sababu barabara kubwa ya lami itapita hapo siku sio nyingi, bei Tsh 50ML. Nina kiwanja maeneo...
  15. PITIA HAPA:Mliowahi kununua viwanja au mashamba kutoka Kwa Hawa wamiliki wa Real estate agents

    Habar zenu wapendwa Kuna kiela changu nimekipata Mahali nataka kununua ka plot Kwa ajili ya investment for my kids for their feture Sasa kwenye mitandao naona Kuna Hawa real estate agents wengi Sana nashidwa kuelewa jinsi wanavyo fanya kazi na usahihi wao jinsi ya Kupata hati baada ya...
  16. R

    Ndugu Bashe, ulimaanisha nini uliposema Mashamba ya kulima miwa yabadilishwe yawe ya mpunga?

    Salaam, Shalom!! Ulipokuwa mbunge kabla ya kupewa Uwaziri ulionekana kama mzalendo wa Kweli Kwa HOJA ulizojenga!! Ulimaanisha nini? 1. Kwamba, mpunga unaweza kuwa mbadala wa sukari? 2. Kwamba Ajira ambazo zinatolewa na viwanda vya sukari, zikipotea, Watanzania hao waende wapi? 3. Hiyo...
  17. Mashamba kuuzwa morogoro

    Wana jamii forum Kuna watu wanauza mashamba morogoro eneo linaitwa bwanani karibu na bar inaitwa MV mapenzi.. Ukifika mkundi mwisho unaelekea mashariki. Je maeneo hayo ni salama kwa kununua. Au mwenye mawasiliano na mwenyeji wa maeneo hayo naomba anisaidie kunijulisha
  18. Sio kila hela kubwa unayopata ujengee au ufanyie biashara nyingine kula Bata ila kumbuka kununua mashamba bado utaonekana mjanja tu

    Kama unajijua huna madeal ya million 50 huko na unajinyima kisa tu ujenge nyumba kali kama unazoziona za wengine za million 200 eti udundulize kila hela unayopata unakuwa Mpaka mchoyo kila pesa unaielekeza kwenye mjumba. Huku bado unaishi maisha ya shida ukiendelea kujisifu nyumba imekukula...
  19. N

    Mashamba ya miti ya mbao yanauzwa

    Kwa wale waliotayari kuwekeza kwenye uwekezaji usio na hasara mnakaribishwa sana. Mashamba ya miti ya mbao aina ya MIKARIBEA pamoja na ardhi yake yanauzwa. La kwanza lina ukubwa wa ekari tatu na nusu na miti yake ni umri wa miaka 7 bei ni milioni 10. La pili lina ukubwa wa ekari 30 ivi kwa...
  20. Nafasi za kazi shambani Mufindi iringa. Mashamba ya Chai

    Njoo Iringa kwenye machai. Tunza tiketi YA BASI nauli unarudishiwa ukifika. 1.nyumba bure 2.maji ya uhakika Vigezo 1. Miaka 18+ 2. Uwe na NIDA namba au cheti cha kuzaliwa au kadi ya mpiga kura au namba ya NSSF AU leseni ya udereva Kazi ni kuchuma kipato ni kutokana na juhudi ya uvunaji lakni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ