Habari wana JF,
Nahitaji kujua kama kuna mtu ana kiwanja anataka kuniuzia natakiwa nifuate taratibu gani kisheria ili nisije kugubudhiwa baadae, kwa vijijini taratibu zikoje na kwa mijin taratibu zikoje pia nikitaka kununua shamba nifuate taratibu zipi ili hilo shamba liwe mali yangu halali...
Tembo 30 wakiwa katika makundi mawili wamevamia makazi na mashamba ya wananchi na kuharibu ekari zaidi ya 20 za mazao mbalimbali na kuzusha taharuki kubwa kwa wananchi katika kijiji cha Mbimbi wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma.
ITV imetembelea mashamba yaliyoharibiwa kijijinii hapo katika kata ya...
Habari za mchana ndugu wana JF
Nilikuwa napenda kuuliza kuhusiana na gharama za mashamba ya miti ya mbao kwa mikoa ya Iringa na Njomba hekari moja yenye miti yenye umri wa miaka mitatu mpaka minne kwa hivi sasa inaweza ikawa imefikia shilingi ngapi?
Property investors company inautangazia umma juu ya uuzaji wa viwanja kwa bei ya offa maeneo ya
1. Madale - 28,000/= kwa sqm
2. Bunju - 20,000/= kwa sqm
3. Vikawe - 8000/= kwa sqm
4. Mwasonga - 8000/= kwa sqm
5. Vigwaza (mashamba) - 2.5M/= kwa sqm
>Viwanja vinaanzia 500sqm na kuendelea
>Maeneo...
Kutokana na ugumu wa ajira kwenye nchi hii naomba Mh Rais urahisishe mchakato wa watu kwenda nje ya nchi kutafuta ajira na kazi.
Kikwazo kikubwa cha watu kwenda nje ya nchi ni passport na masharti yake. Hili limepelekea watanzania walio nje ya nchi wawe wachache sana.
Nchi kama US kuna...
Binadamu ana tabia yakuona kitu flani kikamkumbusha Jambo fUlani la aina hiyo lililowahi kutokea miaka ya nyuma.
Leo hii nikawaida kuona wanasiasa na baadhi ya viongozi wakisiasa wakipiga picha na kuposti wakiwa kwenye mashamba yao.
Picha hizi unanifanya nijiulize hivi akienda mtu akaondoa...
Mbwewe barabara ya Tanga kabla ya kufika mkata
Mashamba kilomita
Kilomita 1 Kutoka barabara kuu ya lami : 250,000 kwa heka
Kilomita 3 Kutoka barabara kuu ya lami : 200,000 kwa heka
Kilomita 10 Kutoka barabara kuu ya lami : 100,000 kwa heka
MUHIMU : Unaweza kupata Kuanzia acre 10
Mpaka acre 500...
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya; nimeona bora nianze kujikita kwenye swala la kilimo kabla ubongo wangu hujagundua suala la ajira sio kitu cha kukitegemea.
Hivyo napata shida kidogo kupata au kujua wapi naweza pata mashamba ya kununua kwa bei ya chini kutokana...
Hiki ni Kijiji cha Mbigiri kata ya Mbigiri wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro ambacho kinaoongozwa na diwani anayefahamika kwa jina la Watende Rashidi na mw/kiti wa kijiji anaitwa Jalala.
Viongozi hawa kwa pamoja wanashirikiana KUPORA na KUUZA mashamba ya wananchi katika kata hiyo...
Waziri wa maliasili na utalii Dkt. Damas Ndumbaro leo January 12 akizindua jengo la utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato ameiagiza bodi ya utalii nchini kuhaakikisha kuwa inapeleka watalii wa kutosha kwenda kujionea maajabu ya msitu mnene wa Biharamulo-Chato hivyo kuongeza mapato ya...
Habari wanaJF,
Huyu anafahamika kwa jina la Ameir. Ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Wilaya ya Kilosa.
Kama mnakumbuka huyu alishawai kutajwa na waziri wa ardhi mh Lukuvi mbele ya Rais Magufuli kuwa anamiliki mashamba makubwa kinyume na utaratibu.
Kwa sasa amevamia kata inaitwa Mbigiri na...
Asee Christmas kwangu imekuwa ya hovyo balaa, naona kama imekuja niumbua.
Kwanza kabisa mimi ni kijana wa miaka 33 ni degree holder lakini mpaka sasa sina kazi ya kueleweka, jambo ambalo limefanya nishindwe kuwa na familia.
Maisha Dar yalinitandika haswa ikabidi nirudi kwa mama ndio mpaka sasa...
Wanabodi,
Hili bandiko la ulizo kuhusu usalama wa maisha ya wakazi wa manispaa ya Morogoro kwa kuwepo mashamba makubwa ya mkonge mali ya magereza huku idadi ya wakazi wake kuzidi kuongezeka na mahitaji ya ardhi kuwa makubwa.
Eneo kuanzia Mkambarani hadi Kingolwira kuna mashamaba makubwa kando...
Katika hali ya mstuko, wadudu jamii ya nzige wamevamia mazao eneo la Sukita huko Tabata. Wameleta uharibifu kama wa kutafuna miti, mahindi na mboga za majani.
Wakazi wa eneo hilo wamesema kwamba nzige hao wamevamia eneo lenye kijani kibichi usiku wa kuamkia leo na muda unavyozidi kusogea eneo...
Kijana, Isaack Kawogo(24) aliyempora Askari magereza silaha aina ya SMG Usigani mkoani Iringa ameuawa kwa kupigwa risasi na Polisi baada ya kumjeruhi kaka yake, Andres Kawogo(61) akimtuhumu kuuza mashamba na kushindwa kumtoa gerezani.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Hamis Issah amesema tukio...
Ni Viwanja 'pacha' kwa Matumizi za Shughuli za makazi.
Vinauzwa vyote kwa pamoja au kimojakimoja.
Eneo: MBWENI-Maputo,
Maarufu kama Kwamasista.
Ukubwa:
Kimoja ni SQM 1227,
Kingine ni SQM 1234.
Jumla Viwanja vyote vina eneo la ukubwa wa SQM.2451.
Umiliki ni HATI MILIKI ya Wizara ya...
Wanajamvi,
Naombeni msaada kama kuna mkazi wa Mbeya Uyole au Mbulu, nahitaji kukodi shamba heka kuanzia 2 ili nikalime huko maisha magumu huku mjini.
Kama yupo tafadhali naomba umsaada wa kupata shamba Mbeya Uyole au Mbulu kama inawezekana nipate mawasiliano yako tujadili kuhusu upatikanaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.