Warusi wana hasira kwa kutamaushwa na vita ambavyo vinawagharimu sana, mpaka wanapiga mabomu kwenye mashamba sasa.....
Nearly 600 hectares of various sorts of grain have burned down as a result of Russian attacks in the Zaporizhzhia region on Tuesday.
"During yesterday’s Russian missile...
RIDHIWANI AKABIDHI MASHAMBA 11 YALIYOSHINDWA ENDELEZWA KWA WANANCHI KILOSA KWA NIABA YA RAIS SAMIA ,ASISITIZA YATUMIKE KWA AJILI YA KILIMO.
Na Mwandishi wetu...
Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Ridhiwani Kikwete amewahimiza viongozi wa Wilaya ya Kilosa kusimamia...
Akizungumza katika maadhimisho ya siku ya Wakulima (Nanenane) yaliyofanyika Jijini Mbeya, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan amewataka vijana kujishughulisha na kilimo kwani Serikali imetenga mashamba na imeshatafuta masoko kwa ajili ya mazao yatakayozalishwa...
Wilaya ya Kiteto ipo Kusini mwa mkoa wa Manyara. Kiteto ina kilomita za mraba 16,685 na jumla ya wakazi 244,669 kwa mujibu wa Senasa ya mwaka 2012.
Upande wa Mashariki Kiteto imepakana na mkoa wa Tanga , Kusini mkoa wa Dodoma, Kusini Mashariki Mkoa wa Morogoro upande wa Kaskazini...
Hello wanajukwaa,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Naomba tupeane connection za maeneo ambayo kuna viwanja au mashamba makubwa kwa bei nafuu kwaajili ya uwekezaji au ujenzi.
Mimi binafsi niko Dar, natamani sana kupata eneo au shamba lenye rutuba nzuri angalau ekari 10 pembezoni...
Masama Kilimanjaro inasemekana kuna shule za kiislam mbili zimeuziwa maji ya wananchi yote jambo ambalo limesabibisha wananchi kukosa maji tokea 2014 na kwasasa ni mwezi maji hayatoki
Katika tarafa ya masama kuna kijiji kinaitwa Kijiji cha Mudio ambapo eneo lijulikanalo kama kijiji cha Kimira...
Kumekuwa na utamaduni wa kale wa wakulima kuchoma mabaki ya mazao kwa kigezo Cha kujiandaa na msimu mpya wa kilimo.
Mabaki hayo ni pamoja na mabua, magunzi na hata nyasi kavu. Hii ni MBOLEA YA MBOJI au composit Manure. Inarutubisha udongo hapo baadae na kupunguza umri wa aridhi yako kuchoka au...
Ni miaka mitatu sasa tangu kuwepo kwa vuguvugu la Makampuni ya kutoa huduma za Urasimishaji Viwanja na mashamba kwa gharama ya 250,000 (baadaye gharama ikashuka kuwa 150,000). Lengo likiwa mwenye shamba /viwanja kupewa hati ya umiliki.
Kwa maeneo ya Tegeta Madale, Mivumoni, Goba, Msigani jijini...
Eneo la lolkisali monduli awali lilitengwa kwa matumizi ya jeshi enzi hizo waziri mkuu akiwa edward sokoine. Baada ya miaka kadha ikaonekana na serikali wananchi wanaweza kupewa eneo hilo kwa kilimo. Wapo wananchi walipewa rasmi na kupewa hati za umiliki ili kufanya kilimo kikubwa kwenye eneo...
Clean title deed
150 acres
400 millions TSH
Well developed area
7 kilometres from Morogoro Town
Few minutes from Morogoro Dodoma road
Ideal for Agriculture or any investment
Mkundi/Makunganya/Nguru Ranch
Morogoro Town Tanzania
+255714908121
Mashamba Yanauzwa Mkoani Njombe zaidi ya ekari 5000 kwa wale wanaopenda kulima Parachichi basi mashamba haya yanafaa sana Barabara ipo mpaka shambani maji yapo mpaka shambani wahi sasa msimu umeanza.
Mawasiliano 0766480491.
Hiwezi kuanzisha kiwanda kinachotegemea wakulima wanaolima kwa kutumia jembe la mkono.
Kama kuna yaliyokuwa mashamba makubwa, plantations ya wanyama, nafaka, kahawa, zabibu, machungwa, mkonge au mpira ambayo yalikuwa yanamilikiwa na serikali au wafanyabishara ni makosa makubwa kuyafuta na...
Habarini za leo wana Jamii Forums
Nilikuwa napenda kuuliza mashamba ya korosho kwa mkoa wa Lindi upatikanaji wake umekaaje na vipi gharama za kununua eneo la hekari moja.
Msaada tafadhali kwa mwenye ufahamu juu ya hili.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ameagiza kufanyika upekuzi wa mashamba 86 yasiyoendelezwa katika wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro ili yatakayobainika kutoendelezwa, mapendekezo ya kufutwa yapelekwe kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani.
Waziri Lukuvi alitoa agizo hilo leo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameshusha neema kwa wananchi wa Kilosa kwa uamuzi wa kufuta jumla ya mashamba 11 yenye ukubwa wa ekari 24,119 katika wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro na kugawiwa kwa wananchi kwa ajili ya shughuli za kilimo, ufugaji na uwekezaji...
Mwaka 2004 Manispaa ya Sumbawanga ilichukua mashamba ya wananchi huko kizwite na kufanya uthamini na kuwalipa fidia wahusika.
Baadae ikapima viwanja na kuviuza kisha kuvimilikisha kwa walionunua na kuwapatia hati milki za miaka 66. Ghafla kumeibuka wimbi la watu wanavamia hivyo viwanja na kudai...
Wadau fursa hii tushikirikiane.
Kama una shamba na lipo eneo kidogo eneo zuri basi tunapima viwanja na kusimamia uuzaji wote kwa gharama zetu kwa mkataba maalum baina yetu
Wewe uwe na shamba tuite tukae chini tufanye kazi pamoja
Karibu
Jina langu naitwa #####, ni mkazi Wa Mbeya, kwasasa naishi mkoani Njombe taaluma yangu ni mwalimu.
ELIMU:
Nimesomea bachelor of arts with education Chuo kikuu cha Dodoma, na kuhitimu mwaka 2017. Literature in English na history kama masomo ya kufundishia.
UZOEFU;
nimefundisha kama mwalimu Wa...
Habari wakuu?
Kwa atakayekua amesoma uzi wangu wa unaouliza sehemu nzuri ya kuishi kati ya Tukuyu na Kyela atakua anajua.
Kikubwa ni kwamba sehemu niliyochagua kuishi ni Tukuyu eneo la Mwakaleli kijiji cha Kandete. Ninataka nikifika ninunue shamba dogo kwaajili ya chakula (ndizi, viazi Ulaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.