Jeshi la Anga la Israel, Israel Air Force(IAF) linafanya mashambulizi ya anga mbalimbali nchini Syria,hii ni baada ya Serikali ya rais Bashar Al Assad wa Syria kuangushwa na Waasi wa Hayat Tahirir Al-Sham(HTS) ambao wanaungwa mkono na nchi ya Uturuki.
Israel inasema kwamba,mashambulizi hayo...