Kuna tetesi za kiintelijensia zisemazo kuwa utawala wa Kizayuni umepanga kufanya shambulio la makombora dhidi ya viongozi wa serikali ya Jamuuri ya Kiisalam wa Iran waoongozwa na Himam Ayatollah Khamenei leo ijumaa kwa kuwavizia wakiwa misikitini.
Mods msiunganishe huu Uzi tafadhali ili kuweka mizani sawa ya kile kilichojiri kwenye mashambulizi ya Iran ndani ya Israel, hii ni kuonyesha uhalisia baada ya Israel na vyombo vya habari vya magharibi kudai kua 90% ya makombora yalidunguliwa.
Tutazame dakika 5 za maeneo yaliyopigwa,yakijumuisha...
Baada ya Iran kutuma makombora ya Ballisctic jana kaskazini mwa Israeli na kuharibu baadhi ya miundombinu ikiwemo majengo ya idara ya ujasusi ya Mossad, Israeli imekuwa kimya ikifanya vikao vya kupanga namna ya kujibu mapigo.
Kwa mujibu wa wachambuzi kadhaa wa masuala ya vita, Iran ilifanikiwa...
Kwa mujibu wa msemaji wa jeshi letu, JWTZ inashika namba 6 kati ya majeshi bora duniani.
Swali langu, ikitokea tumerushiwamakombora angani tunao mfumo wa kuyazuia na kuyaharibu?
Nimeuliza hivi baada ya kuona jeshi la Israel ambalo ni namba 17 kwa ubora duniani linajitahidi sana kwenye upande...
CNN, wanarepoti kuwa Israel imeendelea kufanya mashambulizi makali ya anga usiku wa kuamkia Leo.
Haya yanajili baada ya jana Iran kufanya mashambulizi kama sehemu ya onyo kwa Israel kuacha kuendelea kushambulia Lebanon na Gaza na kuua viongozi wa ngazi za juu wa vikundi hivyo.
Source: CNN
Oct 1 (Reuters) - The Israeli military said on Tuesday that missiles had been launched from Iran towards Israel, and that Israel's home front command had provided life-saving guidelines to people in various parts of the country.
Televisheni ya taifa ya Iran imeangazia taarifa kutoka kwa...
1 hr 53 min ago
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
1 million people displaced in Lebanon, prime minister says
One million people in Lebanon have “moved from place to place in just a few days,” the country’s caretaker Prime Minister Najib Mikati said on Monday as...
Wadau hamjamboni nyote?
Myahudi hajapoa kama unadhani hivyo nikupe pole
Mara tu baada ya Sabato ya kiyahudi kuisha IDF wamefanya mashambulizi mapya makali usiku huu yakilenga shabaha maeneo takribani 180
Taarifa kamili hapo chini
New wave of strikes in Lebanon as Israel braces for potential...
Iran ambayo ni mfadhili mkubwa wa magaidi ya waislamu, bila aibu yaanza kulalamika kwa kichapo kilichotembezwa na Israel kwa magaidi ya hezbollah....
=============================
Iran, an ally and sponsor of Hezbollah, on Wednesday accused Israel of “mass murder” over the previous day’s attack...
Israel imeanzisha mashambulizi kadhaa kusini mwa Lebanon katika siku ya mwisho, likiwemo lililomuua kamanda mkuu wa Hezbollah.
Mohammed Qassem Al-Shaer, kamanda wa kikosi cha wasomi wa Hezbollah cha Radwan Force, aliuawa katika shambulio katika kijiji cha Qaraoun katika wilaya ya Beqaa...
Tamko la aina hiyo limeshatolewa huko nyuma na makamanda wa jeshi la Marekani na ikaonekana kama ni utani.Kwa mara nyengine limetolewa na kamanda mkuu wa vikosi vya wanamaji wa Marekani eneo la mashariki ya kati,vice admiral George Wikoff.
Katika hoja zake kamanda huyo amekumbusha kuwa vikosi...
Hakuna anayesazwa, wote lazima wakatafune mabikira kuleeee.
IDF and Shin Bet intelligence led to the elimination of Hamas terrorist Ahmed Hassan Salame Alsauarka in a targeted airstrike, with no civilian casualties.
Operating on intelligence provided by the IDF and Shin Bet (Israel Security...
Leo Israel imeshambulia kusini mwa Lebanon kwa ndege vita zake kama kitendo cha kulipiza tukio la Hezbollah kushambulia kaskazini mwa Israel kwa drone kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine 10 leo mapema.
Hezbollah walifanya shambulizi hilo kujibu kauli ya Netanyahu hapa juzi baada ya Netanyahu...
Wanaukumbi.
Kwa Upendeleo: 13
Dhidi ya: 2
Mahakama ya kimataifa ya uhalifu pia ilitoa kauli zifuatazo:
✅ Mahakama inabainisha kuwa hali ya kibinadamu huko Rafah ni janga baada ya wiki za mashambulizi ya mabomu.
✅ Mahakama inakumbuka kwamba hali ya maisha ya wakazi wa Ukanda wa Gaza imezorota...
Tofauti kabisa na kina Malisa GJ, Maria Sarungi au Martin Maranja ambao hawana kabisa uvumilivu kwa yeyote atakayekuwa kinyume na mawazo yao hawa wanaJF wanapaswa kutunukiwa tuzo za uvumilivu kwa kutojali mashambulizi ya watu pale wanapopost nyuzi.
1. ERYTHROCYTE
Huyu mfuasi kindakindaki wa...
Kwamba, mabomu yote yale aliyofyatua Irani, hayajafanya chochote? Israel kamfanyia dharau Irani
Siku zote Irani huamini kwamba, Israel ni mnyonge wake, hawezi na hatoweza kumpiga miaka milele
Iran ukimwangalia, ni kama amejiweka kwenye nafasi za USA huko na siyo nchi kama Israel na kwamba...
Duniani kote kila Bara kuna mapigano yanayoendelea huku kukiwa na ushawishi sifuri kwenye kusitisha hizo vita. Ninasema mapigano kwa sababu sehemu kubwa ya mapambano hayo yametokana na ushawishi wa makundi yanayolenga kufaidika na vita hizo. Kinachoendelea Ukraine na Urusi ni vita kamili kwa...
Israel imefanya mashambulizi makubwa huko Syria yakilenga wapiganaji, hifadhi za silaha na vituo vinavyotumiwa na wanajeshi wa Iran.
Idadi ya waliouawa ni zaidi ya 30 ikiwemo wanajeshi wa Iran, wapiganaji wa Hezbollah, nk.
Al Jazeera
Vyombo vya habari vya Kizayuni vimetangaza kuwa, wanajeshi 17 wa utawala wa haramu wa Israel wameangamizwa katika mashambulizi ya Harakati ya Hizbullah ya Lebanon.
Shirika la habari la Palestina la Sama limenukuu ripoti ya kanali ya Kan TV inayofadhiliwa na Tel Aviv inayosema kuwa, askari 17 wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.