Rais Roch Marc Christian Kaboré amechukua jukumu la Waziri wa Ulinzi kufuatia mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yenye lengo la kudhibiti mashambulizi ambayo yamelikumba Taifa hilo.
Makundi ambayo awali yalikuwepo Nchi jirani ya Mali yameingia Kaskazini na Mashariki mwa Burkina Faso na kufanya...
Israel imeanzisha mashambulizi ya anga dhidi ya maeneo lengwa ya Hamas katika ukanda wa Gaza. Taifa hilo limefanya hivyo baada ya maputo ya moto kurushwa kuelekea upande wake.
Kwa mujibu wa huduma ya zimamoto ya Israel, maputo kadhaa ya moto yalirushwa kutoka upande wa Gaza na kusababisha...
Jeshi na kundi la haki za kiraia katika eneo, liliwalaumu Allied Democratic Forces (ADF), kundi la kiislam lenye silaha, kwa kuvamia Kijiji cha Tchabi na kambi moja ya watu waliokoseshwa makazi karibu na kijiji kingine cha Boga. Vyote vipo karibu na mpaka wa Uganda.
Watu angalau 55 waliuawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.