The Eastern Province (Swahili: Mashariki) of Kenya was one of 8 Provinces of Kenya. Its northern boundary ran along with that of Ethiopia; the North Eastern Province and Coast Province lay to the east and south; and the remainder of Kenya's provinces, including Central Province, ran along its western border. The provincial capital was Embu.
Wachambuzi wa masuala ya Uchumi wamesema viwango vya juu vya ada za kubadilisha fedha wakati wa malipo ya miamala ya kuvuka mipaka inaathiri sana biashara ya kikanda.
Kutokuwepo kwa sarafu moja ya Jumuiya ya Nchi 7 za Afrika Mashariki na kushindwa kuoanisha mfumo wa malipo ni miongoni mwa mambo...
Kwa Maslahi ya Taifa,
Jumapili 18/09/2022
Kazi inaendelea
Kwa Maslahi ya Taifa, inaendelea kuhusu Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki, leo nikijikita kwenye Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, nikiwapeleka sura kwa sura. Sura ya kwanza ni tafsiri tuu maneno, hii nimeiruka na kuanza na sura ya...
Mgombea Mwenza wa Raila Odinga, Martha Karua amegusia uamuzi wa kuhamishia Pingamizi la Urais nchini Tanzania ili kupinga uamuzi wa Mahakama ya Juu ulioidhinisha ushindi wa Rais Mteule William Ruto.
"Nafikiria kusafiri kwenda Mahakama ya Afrika Mashariki ili tukajadili hukumu hiyo. Nina muda...
Nchi wanachama wa Afrika mashariki zikiwa ni tatu Kenya, Uganda na Tanzania zimekuwa zikijikongoja kuuganya muungano kuwa mwepesi kwa raia wake hata kwa muingiliano siyo issue ya kazi but mpaka leo tukiwa na utitiri wa nchi ndiyo balaa linaongezeka.
Seŕikali za Namibia na Botswana zimekubali...
Russia na China wameendelea na mazoezi ya pamoja yanoitwa Vostok 2022 ambayo yajumuisha nchi zingine zipatazo 12.
Mazoezi hayo yaendelea huku bado kukiwa na vita ya Russia na Ukraine pamoja na mgogoro wa China na Marekani kuhusu kisiwa cha Taiwan.
Mazoezi hayo yaloanza Alhamisi ilopita...
Mjaluo lupita amechukua tuzo Kubwa has filamu OSCAR, Mjaluo Obama Ana Nobel mjaluo Divork origi Alichukua uefa akiwa no Liverpool pia alichezea Belgium world cup 2014
HUU NDIO MJI WA TEKNOLOJIA, VIWANGO VYA GOOGLE NA AMAZON VINAKUJA ZANZIBAR
Zanzibar kuwa kitovu cha tekinolojia za mawasiluano na habari - TEHAMA ukanda wa Afrika ya Mashariki kwa kutumia mifumo hiyo kuinua shughuli za kiuchumi, uzalishaji na usambazaji bidhaa pamoja na huduma.
Video:source...
Hiyo ni kwa mujibu wa Kenyans.co.ke walioweka swali kupitia ukurasa wao wa Twitter kwamba "Je, iwapo Afrika Mashariki ingeongozwa na mmoja wa marais wanne walio madarakani, nani angefaa?"
Mpaka sasa kura zilizopigwa ni 25,000 na matokeo ni kama yafuatayo:
1. Paul Kagame - 59%
2. Uhuru Kenyatta...
Machafuko mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo yamesababisha vifo vya zaidi ya watu kumi katika siku tatu, vyanzo vya kijeshi na vya eneo hilo vimesema Jumapili.
Zaidi ya makundi ya wanamgambo 120 yamesambaa mashariki mwa DRC, na kuna mashambulizi ya mara kwa mara dhidi ya raia...
Hivi kuna mtu wa Nchi hii anafuatilia na kuanzisha Mada JF ya nayoendelea Afrika Mashariki yanayohisiana na vita au heka heka ya kuagiza Yesu Africa?
Au nikiumbelel na kumuhemuhe au ubwege wa kuwazu yanayotuhusu mfano rushwa, mahari kwa watoto wetu na kabira zetu na mila zetu, tozo za vocha...
Takariban watu Milioni 22 kutoka Pembe ya Afrika Mashariki wapo hatarini kukumbwa na baa la njaa ikiwa ni ongezeko la watu Milioni 9 tangu mwanzoni mwa mwaka 2022
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesema uhaba wa mvua kwa misimu minne mfululizo umesababisha idadi kubwa ya wananchi wa...
Tume ya uchaguzi nchini Kenya 16-08-2022 ilitangaza matokeo ya Urais ambapo Wiliam Ruto aliteuliwa kuwa Rais mteule wa awamu ya Tano wa taifa la Kenya , kutokana na kuteuliwa kwake kuwa Rais, nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki tunamategemeo mengi juu
Kenya ni nchi muhimu panapohusika...
Kwa zile sherehe zilizofanyika kiukweli ziliwastusha mpaka Caf, Tofauti na manyonyo waliozoea kutembeza kombe kwenye fusa huku wakiwa na mashabiki wachache, Yanga ilionyesha ni namna gani kombe inabidi lisherekewe huku kukiwa na mashabiki wengi sana ....
Hali hii machoni mwa caf tayari ni...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Uganda ambaye pia ni waziri wa EAC Bi. Rebecca Kadaga apinga wazo hilo kwani Tanzania tayari ni makao makuu ya taasisi kadhaa za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Uganda ina Taasisi 3 za Jumuiya ya Afrika Mashariki zenye makao yake makuu Uganda. Jumuiya ya Afrika...
Leo, Agosti 7, 2022 ni miaka 24 tangu balozi za Marekani Dar es Salaam na Nairobi ziliposhambuliwa na magaidi. Mastermind wengi wa matukio haya wameshapotezwa including Osama bin Laden (2011) na Ayman al-Zawahir (Julai 31, 2022). Tuwaswalie ndugu zetu waliopotezwa roho zao kwenye matukio haya ya...
Habari wana Jamvi? Naomba kuleta kwenu mada hii tuijadili kwa kina na weledi. Nafikiri tunaofatilia mgogoro wa Mashariki ya congo tunalikujifunza na ikiwezekana kuliangalia kwa jicho tatau.
1. Mgogoro wa DRC unachochewa na Watusi walioenda Mashariki ya Congo kama wakimbizi lakini leo wanadai...
Milton Obote, Mzee Jomo Kenyatta na Mwalimu Julius Nyerere, Mwenyezi Mungu awapae pumziko lenye Kheri
Kabla ya Uhuru nchi zao zote zolikua chini ya Jumuia ya Madola, na shughuli nyingi / kiuchumi ziliingiliana. Baada ya Uhuru wazee hawa waloamia kuendeleza uhusiano ule chini ya shirika jipya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua barabara ya Afrika Mashariki (Arusha Bypass) km 42.4 Ngaramtoni Arusha, leo Tarehe 22 Julai, 2022
=======
Hotuba ya Rais Samia, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa Mungu na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (AICC) Arusha, leo tarehe 21 Julai, 2022
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.