mashariki

The Eastern Province (Swahili: Mashariki) of Kenya was one of 8 Provinces of Kenya. Its northern boundary ran along with that of Ethiopia; the North Eastern Province and Coast Province lay to the east and south; and the remainder of Kenya's provinces, including Central Province, ran along its western border. The provincial capital was Embu.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Marekani yashindwa kuzishawishi nchi za Mashariki ya Kati kuipinga China

    Tangu rais wa zamani wa Marekani Donald Trump aanzishe mvutano na China, wakati maafisa wa ngazi ya juu wa Marekani wanapofanya ziara katika nchi za nje, jambo ambalo wote hawaachi kulifanya ni kuzishawishi nchi hizo kushirikiana na Marekani kuipinga China. Katika ziara yake Mashariki ya Kati...
  2. shampondo shila

    Superbrand Afrika Mashariki mnakwama wapi?

    Kwanza kabisa kale kameza pale kuna siku mtu ataanguka mbele ya kamera namaanisha chumba cha kusomea habari ni kidogo geto langu kubwa Yaana hata kuna baadhi ya sebule za watu wa kawaida zinawazidi kwa ubora chumba cha kusomea habari sijui kina miaka mingapi hakibadilishwi muonekano. Cha...
  3. mtwa mkulu

    Yanayoendelea Jijini Mbeya uzinduzi wa Dayosisi ya Nyanda za Juu Kusini ya Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki

    Ikiwa ni Mwisho wa mgogoro kati ya pande mbili zinazohitalifiana. Leo Jijini Mbeya wafuasi wa Askofu Mwaikali wanafurahia kujiunga na mwamvuli wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki wakitokea K.K.K.T. Ni huzuni kubwa kujitenga na kanisa hilo kongwe lililoasisiwa mwaka 1963 baada ya kuunganisha...
  4. JanguKamaJangu

    Watu watano wauawa na wanamgambo Mashariki mwa DRC

    Watu watano wameuawa, wakiwemo watoto wanne ambao walichomwa moto hadi kufa, na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo, ambao pia waliteka nyara watu wengine kadhaa katika shambulio mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo Shambulio hilo la Waasi wa Alliance Democratic Forces (ADF) limetokea...
  5. EINSTEIN112

    15 wauawa kwa kufukiwa na vifusi vya ghorofa lililoshambuliwa na Urusi mashariki mwa Ukraine

    Takriban watu 15 wameuawa na wengine takriban 20 wanahofiwa kufukiwa na vifusi baada ya roketi za Urusi kushambulia jengo la ghorofa huko Chasiv Yar, mji ulioko mashariki mwa Ukraine, maafisa wanasema. Waathiriwa watano wamefanikiwa kuokolewa wakiwa hai. Idadi ya waliofariki ilitolewa na afisa...
  6. EINSTEIN112

    15 wauawa kwa kufukiwa na vifusi vya ghorofa lililoshambuliwa na Urusi mashariki mwa Ukraine

    Takriban watu 15 wameuawa na wengine takriban 20 wanahofiwa kufukiwa na vifusi baada ya roketi za Urusi kushambulia jengo la ghorofa huko Chasiv Yar, mji ulioko mashariki mwa Ukraine, maafisa wanasema. Waathiriwa watano wamefanikiwa kuokolewa wakiwa hai. Idadi ya waliofariki ilitolewa na afisa...
  7. Jidu La Mabambasi

    Hii jeuri ya Kagame huko Congo Mashariki inatoka wapi?

    Nimesikiliza interview ya General Kagame akiongelea jinsi anavyoliona tatizo la huko Congo Mashariki. Kiufupi anasema bila kumung'unya maneno kuwa wasipopatana anajitayarisha kwa vita na kwa lolote litakalojitokeza. Tunakumbuka aisema hivyo kuwa atamshughulikia Kikwete mnamo miaka ya nyuma...
  8. Lavan Island

    Kilwa Kivinje mji uliosahaulika Afrika Mashariki

    Mwenye kumbukumbu na historia ya huu mji aje mi nimeleta heading mengine muongezee nyie. Asanteni sana karibuni.
  9. Q

    Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki kutoa hukumu kupinga kuondolewa Wamasai Loliondo Juni 22, 2022

    Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki, Juni 22/06/2022inatarajia kutoa hukumu dhidi Mwanasheria Mkuu wa serikali ya Tanzania katika kesi ya mwaka 2017 iliyofunguliwa na vijiji vya Loliondo wakipinga kuondolewa katika maeneo yao. Hukumu hiyo itatolewa na jopo la majaji watatu wakiongozwa na...
  10. JanguKamaJangu

    Viongozi wa Afrika Mashariki kukutana leo kujadili mzozo wa DRC, Rwanda

    Viongozi 7 wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wanatarajiwa kukutana leo Juni 20, 2022 Jijini Nairobi, Kenya mada kuu ikiwa ni mgogoro unaoendelea kati ya DRC na Rwanda. Kumekuwa na mapigano makali yanayofufua uhasama wa miongo kadhaa kati ya mataifa hayo mawili, ambapo DRC inailaumu Rwanda...
  11. L

    Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika Mashariki lafunguliwa mjini Addis Ababa

    Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika Mashariki lilifunguliwa mjini Addis Ababa, nchini Ethiopia. Tamasha hilo litafanyika kwa siku kadhaa na kuonesha thamani ya sanaa na utamaduni ya watu wa Afrika Mashariki kwa kuonesha bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na watu wa Afrika, vyakula na dawa...
  12. Lycaon pictus

    Kabla haijaitwa Bahari ya Hindi, watu wa Afrika Mashariki waliitaje?

    Eti wakuu Kabla ya kuitwa bahari ya Hindi, wakazi wa asili wa pwani kama Wazaramo na Wakwere waliita jina gani?
  13. mtwa mkulu

    Naomba kufahamu kuhusu uchaguzi Bunge la Afrika Mashariki

    Wakuu heshima kwenu. Naomba kufahamu kuhusiana na uchaguzi bunge la Afrika Mashariki, mwaka wa uchaguzi ni lini? Je, kuna utaratibu gani kuchukua fomu mpaka kugombea? Natanguliza shukrani.
  14. Lady Whistledown

    Ripoti: Mtu mmoja hupoteza maisha kila baada ya sekunde 48 kwa njaa Afrika Mashariki

    Mashirika ya kibinadamu yameonya kuwa nchini Ethiopia, Kenya na Somalia, mtu mmoja hupoteza maisha kila baada ya sekunde 48 kutokana na njaa kali inayohusishwa na migogoro, mabadiliko ya hali ya hewa na kupanda kwa gharama ya chakula. Kwa mujibu wa ripoti ya #Oxfam na #SavetheChildren...
  15. ESCORT 1

    Sare za traffic wa Uganda ni za ovyo Ukanda huu wa Afrika Mashariki

    Kwenye pita pita zangu hapa Entebbe ninekuwa nikichoshwa na hizi sare za askari wa usalama barabarani hapa Uganda hasa kwa upande wa wanawake. Hazivutii, ni mbaya kwelikweli, kuna namna wanatakiwa waje wajifunze huko nyumbani jinsi askari wetu wanavyovaa na kuvutia.
  16. Webabu

    Mashariki ya kati yasema hawataiokoa Ulaya pindi wakijizuia kununua gesi ya Urusi

    Mtaalamu wa uzalishaji na biashara za mafuta na gesi wa Abudhabi bw Said Albakr amebainisha kuwa iwapo nchi za Ulaya zitaendelea kujizuia kununua gesi ya Urusi basi wasitarajie kupata mbadala kutoka nchi za mashariki ya kati na kokote kwengine duniani katika kipindi cha miaka ya karibuni ijayo...
  17. aka2030

    Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

    Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
  18. luangalila

    Mliowahi ku-date na wadada wa Kiganda njooni hapa

    Kupitia dating site moja popualr sana hapa Afrika mashariki imenikutanisha na mdada mmoja toka kaskazin mwa Uganda toka, mji unaitwa LIRA ila anaishi Kampala coz anafanya kazi hapo Kampala. Dada huyu yupo serious sanaa, ktk mipango yetu ya kuonana face to face ndipo nikaropoka mm ntakuwa wa...
  19. Jumannnne

    Jose Chameleon ndiye msanii bora wa muda wote wa Afrika Mashariki

    Habari zenu wana na wanawake, kwa upande wangu namuona Dr Jose kama msanii bora wa muda wote kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki, wewe unadhani ni nani anastahili kuwa katika pendekezo lako
  20. dubu

    Jumuiya ya Afrika Mashariki inakadiliwa kufikia mwaka 2050, itakuwa na jumla ya watu milioni 583

    Rasmi Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Jumanne ya Machi 25, 2022 waliidhinisha na kuikaribisha rasmi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenye uanachama mpya wa jumuiya hiyo inayokuwa na wanachama saba sasa. Hii ni kufuatia mapendekezo ya kikao cha baraza la mawaziri cha Machi 25...
Back
Top Bottom