masharti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lupweko

    Basi la Yanga kwenda Bunju ni masharti ya mganga wao - Mchungaji

  2. Dhul Qarnainn

    "Wake Wengi Katika Uislamu: Hekima, Masharti na Ukweli Usiojulikana!"

    Katika mjadala wa ndoa ya wake wengi, Waislamu mara nyingi hujadili aya ya Qur’an: "Na mkikhofu kuwa hamtoweza kufanya uadilifu kwa mayatima; basi oeni waliokupendezeni katika wanawake wengine; wawili au watatu au wanne. Lakini mkikhofu kuwa hamtoweza kufanya uadilifu, basi mmoja tu."...
  3. Braza Kede

    Mnadeal vipi na hawa wenza wenye masharti kibao wakati wa tendo?

    Unakuta mtu ana masharti kama IMF hadi unakereka. Ukiingiza yote anakwambia so hivyo. Toa nikuelekeze unatoa anakuambia haya weka hapo juujuu tu. Ukienda kasi kidogo tu anakwambia aah so hivyo bwana. Mwingine unamkuta mbonge la mshepu tacotaco unamwambia akae doggy style anakugomea kabisa...
  4. M

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Wabunge 19 wakitaka kurudi waje wakieleze chama waliingiaje Bungeni

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ameweka wazi kuwa kama wabunge 19 waliofukuzwa chama wanataka kurejea waje wakieleze chama waliingiaje bungeni. Lissu ametoa kauli hiyo wakati wa mahojiano na kituo cha habari cha Bongo FM siku ya Ijumaa, Januari 24, 2025, ambapo ameonesha mashaka juu...
  5. Mateso chakubanga

    Umoja wa Ulaya yaiamuru vikosi vya Rwanda na M23 kuondoka DRC Haraka bila masharti yoyote.

    Katika kikao kilichokaa jana tarehe 21.2.2025 na kilichojadili madhira na matatizo ya vita nchini DRC, umoja wa Ulaya umethibitisha rasmi kwamba vikosi vya Jeshi la Rwanda vinawasaidia wanamgambo wa M23 kufanya utekaji na mauaji nchi DRC hali inayopelekea kukosa utulivu katika eneo zima la...
  6. M24 Headquarters-Kigali

    Aziz Ki apewe Uraia wa Tanzania ili aitumikie Taifa Stars

    Mchezaji nguli mwenye asili ya Bukinabe, mume halali wa ex wa Chibu apewe Uraia ili Taifa stars utumie bila nawaza. Asanteni
  7. Mr Why

    Trump amekuwa akituonea sana Waafrika akidhani hatuwezi kumpangia masharti, tuna uwezo wa kumnyima malighafi tuamue kuwapa Japan, China au Germany

    Trump amekuwa akituonea sana Waafrika akidhani hatuwezi kumpangia masharti, tunauwezo wa kumnyima malighafi tuamue kuwapa Japan, China au Germany Trump amekuwa akituchukulia Waafrika kama wajinga flani hivi akidhani sisi ni dhaifu sana anaweza kutunyanyasa anavyotaka yeye na tusiweze kufurukuta...
  8. Carlos The Jackal

    Luhaga Mpina: Waziri wa Fedha amekopa na kutumia Zaidi ya Tsh. Trilioni 7 Bila kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali

    Mambo yanazidi kua ya moto. Watu wanajiuliza jamaa anapata wapi Hela namna hiii za kumwaga pale Klabuni?.
  9. Waufukweni

    LGE2024 Jaji Warioba: Tusidanganyike kuamini walioenguliwa hawakufuata masharti

    Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Jaji Joseph Sinde Warioba akizungumza na wanahabari leo Jumatano Disemba 04, 2024, mkoani Dar es Salaam kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024 amesema: "Haiwezekani kwamba wananchi waamini kwamba walioenguliwa (Kwenye uchaguzi wa...
  10. Zakaria Maseke

    Kanuni (principles) na masharti (conditions) ya kutumia ushahidi wa mazingira (circumstantial evidence) Mahakamani

    Ushahidi wa mazingira (circumstantial evidence) - huu ni ushahidi ambao hautoi uthibitisho wa moja kwa moja wa ukweli wa jambo fulani, bali unategemea mazingira yanayozunguka tukio husika ili kutoa hitimisho. Ushahidi wa kimazingira mara nyingi hutegemea matendo ya mtuhumiwa na mazingira ya...
  11. W

    Una Mpango wa kwenda Dubai hivi karibuni? Haya ndo masharti unatakiwa kufahamu ili uweze kufurahia safari iliyo salama

    Fahamu mambo ambayo huruhusiwi kuyafanya unapotembelea Dubai 1. Ingawa Dubai ni kitovu cha mitindo, hauruhusiwi kuvaa Nguo fupi, zinazobana sana, au zenye kufichua Mwili kwa kiasi kikubwa katika maeneo ya Umma. Hakikisha unavaa Mavazi yanayofunika Mabega na Magoti unapokuwa hadharani 2. Pia...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Black Magic: Siri ya Kwanini Watu hupelekwa Makaburini na Waganga

    BLACK MAGIC: SIRI YA KWA NINI WATU HUPELEKWA MAKABURINI NA WAGANGA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Makaburini ni Makazi ya Wafu àmbapo ulimwengu waô huitwa kuzimu. Kaburi ni mlango wa kuzimu. Yaani pale utakapozikwa ñdipo lango Lako la kuzimu lilipo. Kaburi ni kama...
  13. G

    "Kumradhi! Kuna changamoto kidogo" zimekuwa nyingi sana

    Oops !!
  14. G

    Matajiri ambao vyanzo vyao vya pesa havijulikani, huku ndiko baadhi wameanza kuokota magunia ya pesa, si pesa za masharti ila Jela inakuchungulia

    Kumekuwa na baadhi ya vijana mjini wenye jeuri ya kuonyesha nguvu ya pesa lakini imebaki kuwa siri yao namna wanavyozipata pesa. Kuna matajiri wanaoingiza pesa kihalali lakini wapo pia matajiri wanaoingiza pesa kwa kuvunja sheria na kukiuka maadili, si kila tajiri wa kutamani mali zake bila...
  15. Aliko Musa

    Masharti 20 Yanayotakiwa Kuwa Kwenye Mkataba Wa Upangishaji Kwa Lengo La Kulinda Kipato Endelevu

    Hapa kuna masharti 20 ya kulinda kipato endelevu kutoka majengo ya kupangisha ambayo yanaweza kuwekwa kwenye mkataba wa upangishaji. Kila sharti linatoa mfano halisi ili kusaidia kuelewa jinsi linavyoweza kutekelezwa na umuhimu wake kwa mwenye nyumba. (1) Kodi Lipewe Kwa Wakati Mpangaji...
  16. uhurumoja

    Mo apewe Simba sports club bila masharti

    Kwa hili vibe na shangwe kubwa analopewa hapa muwekezaji wa Simba ndugu Mo basi wanasimba naamini wako tayari kumpa hii team mazima Sasa Mangungu anamtambulisha mkuu wa wilaya ya ilala anaemuwakilisha mkuu wa mkoa
  17. Waufukweni

    Tetesi: Fei Toto aweka Masharti magumu kwa Azam, anataka Tsh Milioni 70 kila Mwezi ili asaini Mkataba Mpya

    Fei Toto, mchezaji maarufu wa Azam na Taifa Stars, amewaambia baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwamba atasaini mkataba mpya endapo wataweza kumlipa Tsh 70 milioni kwa mwezi. Hata hivyo, kiasi hicho kinaonekana kuwa kigumu kwa klabu ya Azam. Iwapo klabu hiyo itakubali kulipa kiasi hicho, Feisal...
  18. Ritz

    Israel itawapa makaazi takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza

    Wanaukumbi. Israel itawapa makaazi ya kudumu takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza. Haya nafasi ndiyo hiyo Waisrael weusi wa; Tunduma INYALA YAWAYA MAKWENJE DARAJANI SHAMWENNGO IMEZU MWASHOMA ITEWE NYASHISHI NGUDU kIBOSHO Na maneo...
  19. fakhbros

    Tamani ina masharti

    Thamani Inamasharti Watu huonyesha kupendezwa na wewe unapokuwa tajiri, unapokuwa unawavutia katika kitu furani au haupo tena duniani. Madhara ya Hasira Maamuzi yanayofanywa kwa hasira hayawezi kubadilishika baada ya matokeo nyakati zako za ghadhabu sio nyakati bora za kuamua chochote...
  20. Vichekesho

    Mkataba wa Muungano una kipengele cha ‘Masharti ya Kuuvunja’?

    Wataalamu wa mambo ya sheria mtakubaliana na mimi kuwa mkataba wowote halali lazima uwe na kipengele cha kuvunja ambacho kinaeleza ni mambo gani yanaweza kupelekea mkataba husika kuvunjika. Kwa walio na mkataba wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar je kuna kipengele hicho na endapo kipo kina...
Back
Top Bottom