Poleni sana ndugu zangu, naona maisha yamewapiga sana mpaka nafikiria kufungua miradi mingine niwaajiri wote.
Tuachane na hayo, leo nilikuwa kwenye bank moja nikashuhudia kitu cha kushtua kidogo, jamaa alikuwa anajaza form ya mkopo, yaani hasomi terms and conditions yeye anaoneshwa saini hapa...
Halafu GENTAMYCINE nawaomba mkiwa mnagombana huko Viwanjani na katika Magrupu yenu ya Wasapu hadi kutoa hizi Siri zenu za Kambi muwe mnajua nami huwa nakuwepo na hamna Uwezo wa kunijua hata mfanyeje sawa?
Kudadadeki......!!
Mwanzo Urusi ilipokua na mihemko ya kuivamia Ukraine ilitoa masharti mengi sana na vijisababu vya kila aina, ila mziki ulibadilishwa, msafara ukapigwa na wabeba javelin, leo hii Ukraine ndio wanafukuzia Warusi, sasa Urusi imeanza kupunguza na masharti na kubaki na moja tu, kwamba Ukraine...
Haya Watanzania Wote hasa hasa wale Mashabiki wa Makafara FC mlioko Jijini Kigali nchini Rwanda mmeombwa Kujitokeza ili Kuchangia Damu Jini letu lifurahi na baadae tutaenda kutoa Misaada kwa Watoto Yatima ( hasa Wadogo wasio na Dhambi zozote bado ) ili kupata Baraka zao ili Mwarabu Afe / Aumie...
Alisimamishwa uwakiishi na uchaguzi mdogo umitishwa.
Kosa lake ni kuhatarisha maisha ya watu kwa kwenda kwenye makundi ya watu akiwa na onfirmed covid-19 test.
Akiwa anasubiri matokeo ya kipimo, alikwenda Kanisani na kusoma somo. Baadaye alikwenda kwenye kilabu cha pombe. Siku iliyofuata...
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.
Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa tahadhari kwa wamiliki wa taasisi zisizo za kiserikali na asasi za kiraia zinazotoa misaada nchini kuhakikisha wanazingatia mila, tamaduni na maadili ya Watanzania.
Samia ameyasema hayo leo Jumapili Juni 25, 2023 katika kilele...
Utetezi umekua mwingi ambao unatafuta visingizio na si kujibu hoja, masharti ya mkataba ndiyo yanapingwa sasa serikali ikija na mkataba ambao haupo juu ya sheria za nchi tunaweza tukaelewana, alafu pia hii ngoma ndo kwanza mbichi msidhani tutasahau hata mkimwambia Diamond amlete fantana bongo.
Mkataba Kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni ya DPW ya Emirates Dubai umeacha maswali mengi na kuamsha hisia za kudai Katiba mpya kwa nguvu zote.
Ni mkataba ambao ulisainiwa kwa mwendokasi bila kuchukua tahadhari juu ya madhara yake yaliyo dhahiri. Mkataba huu haukubaliki kwa sababu nyingi...
Mkataba kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii kwa ajili ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Utendaji Kazi wa Bandari za Bahari na Maziwa Makuu ya Tanzania unaibua masuala kadhaa ambayo yanahitaji ufafanuzi kutoka kwa...
Serekali iruhusu uraia wa nchi mbili kwa sababu unafaida nyingi sana, ila usingatie vegezo vifuatavyo ambavyo vigeuzwe kuwa sheria
Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kugombea urais
Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kugombea ubunge, udiwani, na uenyekiti wa mtaa
Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi...
Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunganishi hiki; Register
Mshiriki anaweza kutumia jina la kubuni ‘pseudonym’.
Mshiriki atatakiwa kutaja jina halisi endapo ataibuka mshindi.
Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko ambalo linachochea mabadiliko kuhusu...
Chemsha bongo:
Ukipewa million 100 saa 6 usiku kwa masharti kuwa unatakiwa utumie hizo hela ndani ya usiku huo huo kutafuta nyumba na uhakikishe umehamia. Nyumba iwe kali na iwe na kila kitu ndani.
Kuanzia jikoni kuwe na kila kitu, sebuleni funiture zote, chumbani kuwe na mashuka mpaka ya...
Miezi michache iliyopita, nilitengana na mwenzi wangu wa muda mrefu baada ya kusitisha kuota mahari nyumbani kwao na kuamua kumsaidia rafiki yangu ambae alikuwa kwenye changamoto fulani za kimaisha.
Nilipomjulisha kwamba nitaahirisha kutoa mahari, hakukubali na aliniomba tuachane. Nilikubali...
1. Lema
2. Mbowe
3. Lissu huyu bado ana ukaidi anasema yeye hawataweza mzuia so atashiriki tu.
Ila Lema na Mbowe wao wameelewa somo kuwa sasa ni mwendo wa praise and worship tu kama ilivyokuwa kwa Sukuma Gang sasa ni M. Gang.
Kwenye majukwaa wanatakiwa wawe wanazungumzia tu awamu ya 5 basi...
Baada ya kutafutwa Sheikh Alhad na kumweleza tuhuma mbalimbali zilizoelekezwa kwake, ikiwemo kupendelewa na Mufti Zubeir kutokana na ukaribu wao wa kifamilia, kuingilia majukumu ya Baraza la Ulamaa ambapo alisema leo atalitolea ufafanuzi jambo lake.
“Leo nitazungumza pale Karimejee hall, karibu...
Naombeni msaada tafadhali.
Je nitapata seminari ya kiislamu inayo FANYA vizuri ambayo huyu mtoto ataenda kusoma bila kulazimika kuwa muislamu? Mfano kutakiwa kuswali, kujifunza koroani etc.
Mambo mengine yote atafuata kama mavazi na sheria nyinginezo za shule?.ushauri wenu tafadhali. Iwe dsm...
Kuna hili swali nimekuwa nikijiuliza kimya kimya moyoni..., kwamba huko Kusini kila mtu anajiita Sanga, lengo hasa ni nini? Hata kwenye vibao vya ujenzi wa maghorofa kila mtu anaandika Sanga tu.., hivi ndio masharti ya utajiri hayo au?
Nini kinaendelea? Kila mtu Sanga, Sanga..., Sangaa ...
Ndugu wakigombana shika jembe ukalime ili siku wakipatana urudi shamba ukavune!
Vyama vya siasa katika muktadha wa maridhiano vimeshinikiza baadhi ya viongozi kuhamishwa na kutenguliwa!
Si kwasababu hawafai Bali ni kwa maslahi ya maridhiano!
Maridhiano hayakumtaka afande Sirro ikabidi astaafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.