Rais Putin wa Russia kaeleza masharti yake juu ya kuimaliza vita yake inayoendelea na Ukraine wakati alipozungumza kwa simu jana na rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron. Mazungumzo hayo ya simu yalifanyika baada ya kikao cha mazungumzo ya amani kilichofanyika kati ya wajumbe wa Ukraine na Russia...
Ukiona mtu katajiri jambo la kwanza utajiuliza mbona mimi nimeshindwa kuwa kama yeye.
Napo sema utajiri ni rahisi kuupata kwa sababu njia zake ni rahisi pale utakapo gundua unapatikanaje kama fursa,soko,bei na n.k
Matajiri wengi tunao waona na wengine wakubwa wamekuwa wakitupa njia za...
"GENTAMYCINE karibu sana Kwangu Kesho uje kula Krismasi ila ukija utalazimika kunawa sehemu Tatu zilizotengwa, na ikiwezekana utaenda katika Chumba Maalum ukaoge upya na Sabuni Maalum kisha utumie Sanitizer na mwisho kabla hujakaribia ndani itakupasa utuonyeshe Cheti cha Kuchanjwa UVIKO-19 na...
"Rais anatakiwa kusamehe waliopatikana na hatia tu. Hana mamlaka ya kusamehe watuhumiwa wa kesi za michongo kama hii. Tunataka afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote kwa sababu Mwenyekiti ni mtuhumiwa tu. Hatuombi asamehewe, hana hatia yoyote ya kusamehewa!"- TL
Katika harakati za kujenga uchumi wa kati (mapenzi) tunakutana na matatizo mengi kiasi kwamba hadi unaona huna nyota kabisa.
Binafsi niliwahi kuwa na pisi moja hivi ya kishua sana ....ilini save sana financially japo ilikuwa na masharti magumu sana lakini kwa kuwa nilikuwa napitia kwenye...
Wana Jamii From!
Bila yakupoteza muda naomba kufahamu jambo moja zito ambalo kwa uelewa wangu nimeshindwa lipatia majibu!
Hivi inawezekana vipi Mtumishi wa Mungu Padre awe mwanajeshi tena komandoo??
Picha hapo chini ni Padre Henry,ambaye ni mwanajeshi komandoo,ambaye katunukiwa PhD yake ya...
Zimbabwe imerejesha marufuku ya kutotoka nje na karantini za lazima kwa wasafiri wote huku kukiwa na ongezeko la visa vya Covid ili kuzuia kuenea kwa aina mpya ya kirusi cha Omicron.
Nchi hiyo imerekodi zaidi ya visa 130,000 vya Covid na takriban vifo 4,700 tangu janga hilo lianze mapema mwaka...
"Mgeni sio kwamba ananunua ardhi, na sio kwamba anapewa umiliki wa 100% hapana anapewa kibali cha kuwekeza kwa miaka kadhaa. Kwa mtu anayetoka Tanzania Bara ambaye anataka kufanya Uwekezaji Zanzibar anatumia utaratibu huo huo" Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ally Mwinyi.
====
Rais Mwinyi...
Wana Jf
Baada ya kusikiliza video inayotrend kwenye mitandao mbalimbali ikionyesha umahiri wa benk ya NMB kuwa mkombozi kwa wanyonge kufuatia benk hiyo iliyovyojipambanua kwa kugusa kila seksheni ili kuwapata walengwa sahihi,kuanzia mdogo hadi mkulima mkubwa.
Benki hii inaweza kuzua vichekesho...
16 September 2021
Dar es Salaam, Tanzania
Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi azungumzia utaratibu wa kuingia ndani ya Mahakama Kuu Maalum na kusikiliza kesi inayowakabilu Mbowe na wenzie 3.
Marufuku kurekodi kwa kutumia simu
Hakuna katazo...
Salaam Wakuu,
Leo nimepita maeneo ya Mahakama ya Kisutu, Nikakuta Mkurugenzi wa kampuni ya VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa IPTL, James Rugemalira anatabasamu akiwa na ndugu zake wakipeana hugs na kuchumiana. Inaashilia kuna dalili nzuri leo Mzee wa Henken akaliona jua. Langu Dua.
James...
Wataalamu wa Afya wa kituo cha kudhibiti na kupambana na Magonjwa cha Marekani (CDC) na wale wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wanahimiza umma kuzingatia na kufuata masharti ya matumizi ya chanjo kwa kuzingatia aina ya chanjo husika.
Unashuriwa kabla ya kuchukua aina fulani ya chanjo upitie...
Asikudanganye Mtu popote pale ulipo kuwa kauli za Watu waliokufa namaanisha Marehemu wakizisema huwa hazitimii. Ni kwamba huwa hawatanii kabisa na wayasemayo hutokea na hutimia.
Mwaka jana nilihudhuria Msiba Mmoja ambapo kumbe Marehemu wakati anakata Roho alisema akifa azikwe Dar es Salaam na...
ILI KUFIKIA MAENDELEO KITAIFA MASHARTI YA MIKOPO YAPUNGUZWE KATIKA TAASIS ZINAZO JIHUSISHA NA MIKOPO
Habari zenu ndugu na jamaa nikiwa kama kijana ninaye itakia mema nchi yangu napenda kutoa ushauri kwa taasis zinazo jihusisha na mikopo na serikali kwa ujumla. vijana wengi wanao toka katika...
Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka selo alikohifadhiwa , alikamatwa kwa maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga ambaye bado ana akili za Mwendazake za kuficha taarifa za CORONA , ilikuwa asafirishwe usiku huu kupelekwa Shinyanga kuhojiwa kwa andishi lake kuhusu corona Shinyanga.
Pia soma > Kiongozi...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuhusu Serikali ulimwenguni kote kulegeza masharti ya Ugonjwa wa COVID19 mapema ikisema wanaofanya hivyo wapo hatarini kulipa gharama kubwa kwa kutaka maisha kurejea kama awali.
Onyo hilo limekuja kufuatia hofu juu ya Kirusi aina ya Delta ambacho...
Salaam.
My first thread kipande hiki cha mahusiano which is my favourate in this platfom. Twende kwenye topic, tupeane experience kwa wanandoa wanaoishi mikoa tofauti kutokana na sababu za kikazi n.k.
Inakuwaje kuwaje hasa kwa mwanaume issues kama usafi wa ndani, kufua, mambo ya kutandika...
Chama cha ukombozi wa Tigray TPLF kimeitaka serikali kuu ya Ethiopia iwaondoe wanajeshi kutoka kwenye jimbo la Amhara pamoja na wanajeshi wa nchi jirani ya Eritrea ikiwa ni masharti kabla ya wao kushiriki kwenye mazungumzo yoyote na serikali kuu kuhusu kusitisha mapigano.
Chama cha (TPLF)...
Msije kusema hamkuambiwa maana baada ya mzee mpili kukutana na injinia hersi ofisini kwake na kupewa hela za kwenda kushughulikia majini ya huko ikwiriri mkadhani mmemaliza kumbe lile jamaa la kigoma nalo mlilipa kazi halfu mmelipotezea.
Hii ndo yanga tunayoijua sisi siyo kila siku mnajifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.