Thamani Inamasharti
Watu huonyesha kupendezwa na wewe unapokuwa tajiri, unapokuwa unawavutia katika kitu furani au haupo tena duniani.
Madhara ya Hasira
Maamuzi yanayofanywa kwa hasira hayawezi kubadilishika baada ya matokeo nyakati zako za ghadhabu sio nyakati bora za kuamua chochote...