mashine

Rage Against the Machine (also referred to as RATM or simply Rage) is an American rock band from Los Angeles, California. Formed in 1991, the group consists of vocalist Zack de la Rocha, bassist and backing vocalist Tim Commerford, guitarist Tom Morello, and drummer Brad Wilk. Their songs express revolutionary political views. As of 2010, they had sold over 16 million records worldwide. The band was nominated for induction into the Rock & Roll Hall of Fame in their first year of eligibility in 2017 and 2018, although both bids failed.Rage Against the Machine released its eponymous debut album in 1992 to commercial and critical success, leading to a slot in the 1993 Lollapalooza festival; in 2003, the album was ranked number 368 on Rolling Stone's list of the 500 greatest albums of all time. The band's second album, Evil Empire, was released in 1996, followed three years later by The Battle of Los Angeles (1999). During their initial nine-year run, Rage Against the Machine became one of the most popular and influential bands in music history, and had a large influence on the nu metal genre which came to prominence during the second half of the 1990s. They were also ranked No. 33 on VH1's 100 Greatest Artists of Hard Rock.
In 2000, Rage Against the Machine released the cover album Renegades and disbanded after growing creative differences led to de la Rocha's departure. De la Rocha started a low-key solo career, while the rest of the band formed the rock supergroup Audioslave with Chris Cornell, the former frontman of Soundgarden; Audioslave recorded three albums before disbanding in 2007. The same year, Rage Against the Machine announced a reunion and performed together for the first time in seven years at the Coachella Valley Music and Arts Festival in April 2007. Within the next four years, minus a sabbatical in 2009, the band continued to perform at more live venues and festivals around the world before going on hiatus once again. In 2016, Morello, Commerford and Wilk formed a new band, Prophets of Rage, with B-Real, Chuck D, and DJ Lord; that band managed to release one EP and one full-length studio album before calling it quits in 2019.After an eight-year hiatus, Rage Against the Machine announced in November 2019 that they were reuniting for a tour in 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. tutafikatu

    Walinzi ndani ya vyumba vya mashine za ATM

    Hivi ni kwa nini haya mabenki Tanzania yanaruhusu walinzi wa vyumba vyenye ATM machine wajilaze ndani ya vyumba hivi vidogo? Ukiingia kunakuwa na hewa nzito na jamaa wanakukodolea macho kwa huruma. Hivi hawawezi wajengea vibanda vidogo pembeni?
  2. Saad30

    Bei ya mshine ya kuchanganya rangi za nyumba

    Amani iwe juu yenu wakuu.. Kwanza natoa shukrani kwenye hili jukwaa maana limenipa faida katika kufikiri mambo. Tuje kwenye mada sasa... Mimi naomba kupewa bei ya mshine za kuchanganya rangi za nyumba mana nimeuliza huko mitaani sipati jibu la uhakika ila naamini humu siwezi kukosa jibu...
  3. Balozi Mzalendo

    INAUZWA Tunauza mashine za ice cream (icecream makers machines)

    Habari wana-jamiiforums, Tunauza mashine za kutengeneza Icecream (Icecream Makers Machines). Mashine zetu ni mpya kabisa. Pia endapo utanunua kwetu, tutakuelekeza jinsi ya kutengeneza icecream sambamba na kukuagizia spares moja kwa moja kutoka kiwandani endapo utahitaji. Sifa za mashine zetu ni...
  4. Theb

    Simba sport club. Tuleteeni wafungaji mashine kisawa sawa

    Nimeangalia mechi ya leo ya simba akiwa ugenini pale ushirika moshi akicheza na mwenyeji wake polisi katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara. Kiuhalisia na ukweli usiofichika simba tuna tatzo la wafungaji/wamaliziaji. Mfungaji anakimbia kabla mpira haujapigwa au anashindwa kusoma position...
  5. Faana

    Uzalishaji na Exportation ya hizi mashine uliishia wapi?

    Ujio wa Tanzania ya viwanda ulitajwa kuwepo na vifaa hivi kwaajili ya soko la ndani na nje pia Where are we now?
  6. BintiTee

    Natafuta Mashine za kufulia Nguo

    Salamu Jf family Natafuta mashine za kufulia nguo na kukausha kwaajili ya biashara,kuanzia 12kg na ziwe zile za kufungukia pembeni na zenye sehemu ya kuweka sarafu.Kwa yeyote mwenye taarifa sahihi tafadhali ni PM Shukrani.
  7. Mparee2

    Mashine ya kuchimba visima Morogoro!

    Nilipokuwa ziarani Morogoro nilijulishwa kuwa, hakuna mashine/gari au niseme kampuni hata moja iliyopo mjini Morogoro yenye gari la kuchimba visima Nilichokikuta pale ni madalali ambao hupatana na mteja halafu wao huenda kukodisha mashine/gari la kuchimba huko DAR na hivyo kufanya bei ya...
  8. K

    Car4Sale Mashine za press zinauzwa

    Tunauza mashine za press kwa ajili ya bush za magari. Tuna stock ya kutosha. Karibu. Piga simu 0713276892 0786786520 Karibu kwa Hussein, brb ya 20, Tanga.
  9. Kamanda Asiyechoka

    Kuweka mashine ya kutolea pesa jirani na baa ni kusabaishia matatizo watu

    Mtu anajikuta anatengua bajeti na kwenda kunyogoa mzigo. Hii inasababisha watu kutungua mzigo ambao haukupangwa kutumika siku hiyo. Watu wengine wana mauzi na dharau husababisha kulazimika mtu kwenda kutoa mzigo ili ule masanga kwa hasira.
  10. OKW BOBAN SUNZU

    Ndugu wakulima ninapata wapi mashine ya kukatia mpunga?!

    Kama mnavyojua mashamba yetu ni ya kienyeji yanahitaji machine all weather badala ya zile kubwa za Kubota kama hiyo hapo juu. Nipeni connection chap nikimbizane na msimu wa mavuno
  11. John Haramba

    RC Ally Hapi aliagiza Jeshi la Polisi kuwasaka waliopoteza mamilioni ya Serikali

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi ameliagiza Jeshi la Polisi mkoani humo kuwasaka na kuwakamata watu zaidi ya 100 ambao wanadaiwa kupotea na kutowasilisha fedha benki zilizokusanywa kupitia Mashine za Kukusanyia Mapato (POS) kwa Halmashauri ya Bunda, Tarime Mji pamoja na Butiama. Source: Dar Mpya
  12. Faana

    Ukiona Mnanda unakumbuka nini au wapi?

    Binafsi inanikumbusha mwaka 1979 mjini Njombe alikuwepo Afisa Utamaduni mmoja aliitwa Sapali aliitumia kuburudisha kwenye sherehe mbalimbali za kiserikali na chama tawala, vilevile mjini Iringa alikuwepo mwanafunzi mmoja wa shule ya msingi Igangilonga kama sikosei sana alikuwa anaipiga kwa...
  13. Manchid

    Ni mashine ipi nzuri kwa kutotoleshea vifaranga?

    Kama ambavyo kichwa Cha habari kinaeleza, Mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji toka singida singidani Nina deal na Hawa kuku na hakika nmeona ni wastahimilivu sana wa magonjwa endapo wataanza kupewa chanjo na mazingatio mengine toka wakiwa wadogo. Sasa nataka kununua mashine kwaajili ya...
  14. geofreyngaga

    Nahitaji mashine ya kukandia ngano

    Habari wana nzengo. Nahitaji mashine used ya kukandia ngano (dough mixer) kilo 25, 3phase ISIWE kutoka China. Tuwasiliane hapa 0765390255. Karibuni
  15. K

    Ushauri kuhusu mashine za EFD; Gharama za kununua mpya na matengenezo ni ghali sana, mamlaka zifuatilie

    Kulipa kodi ni jambo la muhimu kwa maendeleo ya nchi yeyote. Mfano barabara, vituo vya afya, miradi ya maji, madarasa, mishahara n.k. yote haya yanalipwa na kodi za Serikali na hivyo lazima tulipe kodi. Kinachonishangaza ni Makampuni yaliyopewa ruhusa na Serikali kuwauzia wafanyabiashara...
  16. M

    Serikali ifanye operesheni ya mashine bubu za kamari mitaani, Wachina wanahujumu uchumi

    Jana nilipita maeneo ya Kigamboni, nikaingia uchochoroni sehemu moja karibu na msikiti wa Feri upande wa Kigamboni nikaona mashine moja ya Kamari uchochoroni kabisa, katika kibanda kisicho na hadhi hata kidogo, kimefichwa ndanindani. Mchina mmoja akaifungua, akatoa machenji kibao ya shilingi...
  17. Zero IQ

    Ni muda mrefu sijamnyoa, leo anataka niende na mashine nikamnyolee kwake

    Hizi kazi za ukinyozi zina tabu sana, Nilikuwa nishamzoesha kumnyoa kila anapoitaji huduma ya kunyolewa. Ni muda nilikuwa sijamtekelezea huduma yake baada ya kubanwa na majukumu mengine ya uchakaji wa viazi kuwa chipsi. Leo Asubuhi mapema, sana amenitafuta na kuniambia Nywele zake zimeshakuwa...
  18. polokwane

    Rais Samia, baada ya madarasa kituo kinachofuata kiwe vifaa tiba vya msingi kama mashine za Ultrasound, Haematology, Analyserachine na X-ray

    Kukosekana kwa vifaa hivi kwenye vituo vya afya vingi imekuwa changamoto kubwa kwa matibabu Ushauri baada ya kufanya vizur kwenye madarasa sasa nguvu ihamishie huko pia kuna vituo vingi vikubwa vya afya vyenye hadhi ya kuwa na vipimo hivyo lakini havina hali inayo pelekea wangonjwa kusafiri 20...
  19. amu

    INAUZWA Nauza mashine ya kutengeneza lambalamba

    Habari nauza mashine hiyo hapo. Kwa ajili ya kutengeneza lambalamba ni ya kubeba na kuanza kazi inauwezo wa kubeba tray moja ya pieces 40 na mzigo unaganda baada ya dakika 15. Uzuri wa hii mashine haichukui nafasi kubwaunaiweka sehemu yoyote. Inapatikana DSM Pugu Zinauzwa sh 850,000 zote mbili...
  20. Kafiti

    Natafuta Mashine ya kupandia nafaka

    Habari wanajukwaa, Naomba kufahamishwa ninapoweza kupata hii mashine ya kupandia mbegu kama alizeti, ufuta, mahindi nk. Seed Planter Video Eneo nilipo ni Dar es salaam. Ni vyema zaidi tukafahamishana na gharama iwapo inajulikana.
Back
Top Bottom