Huu mwezi kumetokea matukio mengi kwa Walimu na wanafunzi, Walimu wakitoa vipigo vikali sana kwa wanafunzi, wanafunzi wakipokea ngumi chembe kidevu, ngumi za macho, fimbo 50.
Sikatai wanafunzi wasipigwe lakini, piga fimbo zako tatu au nne then pita kushoto, sasahivi mitandao imeleta mapinduzi...