Heroes' Day or National Heroes' Day may refer to a number of commemorations of national heroes in different countries. It is often held on the birthday of a national hero or heroine, or the anniversary of their great deeds that made them heroes.
Katika historia ya dunia tumekuwa tukipoteza wapendwa wetu siku hadi siku kwasababu nyingi. Takwimu za mwaka 2017, zinaonesha kulikuwa na vifo zaidi ya millioni 50 vya mwaka huo dunia nzima, 72.67% ya vifo vya dunia vimesababishwa na magonjwa yasivyoambukiza, na huku 19.49% ya vifo vikiletwa na...
Wanaopika vitumbua wako busy, machinga wapo busy, manesi na walimu wanajadili dakika moja na kuchapa shughuli zao.
Waliotiwa nguvuni wanajinasibu kuwa ni wapigania haki na wakombozi wa taifa hili dhidi ya udhalimu wa CCM.
Je ni kweli? Mbowe na Pambalu wamegeuka kuwa mashujaa wa kupigania haki...
Wanajamvi,
Kuna watu wanastahili nishani. Kukosa uoga kwao hakuelezeki. Wakati Mwendazake anafungwa watu, kuharibu biashara zao, kuwapakazia makosa yasiyokuwa na dhamana, na wengine kuuawa, hawa jamaa hawakunyaza kimya. Kilikuwa kipindi kigumu cha kuogopesha sana. Watu hawakuwa huru kuongelea...
Habari za usiku wanabodi,
Leo nimetafakari sana kuhusu Shujaa wa kizamani na jinsi legacy yake inavyozungumziwa kwa muktadha wa Uzalendo kwa taifa. Lekini kauli au neno la "Shujaa/Hero" maana yake ndogo ni "anaweza kukabili jambo lolote kwa ujasiri, bila kuzuiwa na woga. ".
Katika awamu ya...
Hii habari ya yule wakili maarufu kwenye kesi zenye uhusiano na sanaa kuitwa kujieleza na pengine kufikishwa ubaoni kwa Pilato linaweza kutengeneza shujaa asiyetegemewa akageuka kuwa cheche ya moto (spark of fire) inayo subiriwa na wabaya wa wenye dhamana.
Kuna washindani wenu au watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.