Heroes' Day or National Heroes' Day may refer to a number of commemorations of national heroes in different countries. It is often held on the birthday of a national hero or heroine, or the anniversary of their great deeds that made them heroes.
Kauli Mbiu ya Mashujaa FC kutoka Mkoani Kigoma ( kwa Watani zangu Washamba ) inayomilikiwa na JWTZ na inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania inasema MAPIGO NA MWENDO hivyo mtakavaana nao Kikitokea cha Kuwatokea tusije Kulaumiana.
Na kuna Wachezaji kama Watatu humo ni wale Wazee wa Morogoro sasa...
(2 Wafalme 7:1-20).
Nasummarize Kwa uchache,
Washami wakaizingira Nchi nzima ya Israel, Israeli ikapata habari na kufunga malango yote ya nchi!!
WAKOMA 4 nao wakafungiwa nje ya mji. Kufungwa malango ya mji kukazuia supply yote ya vyakula, bidhaa nk.
Njaa ikawa kuu sana nchini, waisraeli...
Kwa mara nyingine tena mkoa wa Kagera unaachwa mpweke.
Kwa kujenga mnara wa mashujaa mkoa tofauti na Kagera ambapo ndo mkoa unaobeba historia ya vita na Uganda ni kuunyima mkoa huu fursa. Pale Bunazi kuna uwanja wa mashujaa unaitwa Chakaza, kwa nini hiyo miradi ya mnara wa mita 100 na kadhaa...
LEO SIKU YA MASHUJAA
Mwaka jana nilipokea picha hiyo hapo chini ya kwanza kutoka Maktaba ya Ally Sykes.
Picha hii nilikuwanayo kwa miaka mingi lakini ubora wake ulikuwa hafifu.
Nilipoipata picha hii yenye ubora wa kuridhisha nikaiweka hapa.
Leo tunaadhimisha Sikukuu ya Mashujaa na nimeona...
Rais Dkt Samis Suluhu kuwa mgeni rasmi katika Kilele cha Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa Julai 25, 2023.
Maadhimisho hayo yatafanyika katika uwanja mpya wa kudumu wa Mashujaa uliopo katika eneo la Mji wa Serikali, Mtumba, mkoani Dodoma. Mkuu wa Mkoa huo, Rosemary Senyamule...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama, amekabidhiwa kipande cha sehemu ya ujenzi wa uwanja wa mashujaa, katika Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma mapema Julai 2, 2023.
Ujenzi huo unaotekelezwa na kampuni ya SUMA...
Nimeona taarifa ya TFF kuwa Kocha wa Makipa wa Timu ya Mashujaa aliyempiga ngumi ya usoni Kocha wa Mbeya City kuwa amefungiwa mwaka Mmoja na Faini ya Milioni 2.
Niseme tu kuwa, natamani siku karia au kiongozi yeyote wa TFF apigwe ngumi ya pua na mchezaji au kiongozi wa timu.
Kama tu Haji...
Nilitegemea atahukumiwa ama Kifungo cha Miaka 15 au hata Maisha na Faini ya Shilingi Milioni Kumi ( 10 ) ili iwe Fundisho kwa Wapuuzi Wenzake wengine cha Kushangaza kafungiwa Mwaka Mmoja tu na Faini isiyouma.
Huenda ndiyo maana GENTAMYCINE sijawa na kamwe sitokuja kuwa Hakimu ila kwa...
Mama wa Taifa Samia, Hongera kwa wazo Mulua la kujenga sehemu ya mashujaa makao makuu Dodoma, nikuombe, naamini unao uwezo wa kuliomba Taifa lione umuhimu wa jambo hili, ujenzi huo ujumuishe sehemu muhimu ya kuwahifadhi mashujaa wetu ambao kwa kuwa Dodoma sasa ni makao makuu yetu rasmi, viongozi...
Kwa Ujumla jibu ni HAPANA.
Namna ya ushangiliaji wa Mashujaa FC umekua ukihusishwa na imani za uchawi jambo ambalo kiuhalisia siyo kweli bali ni namna ya kujitofautisha na ushangiliaji wa Mashabiki wa timu nyingine.
Tuanzie kwenye logo ya Mashujaa FC ukiiangalia ni logo inayotambulisha...
Tayari baada tu ya Kumaliza Mechi yenu huko Mkoani Mbeya nimemsikia Mmoja wa Kiongozi wenu Said Swedi 'Scud' akifurahia na kutamba kuwa Msimu ujao wa Ligi Kuu Timu zitawakoma.
Said Swedi Scud ni mwana Yanga SC lialia tena ni Mwanachama kabisa na alishawahi pia kuwa Mchezaji ( hasa Mshambuliaji...
Haiwezekani Mbeya City kila wanachokifanya mipira inapaa kama sio kugonga miamba.
Kwa aina hii ya ukamiaji jumlisha na sayansi ya jadi kuna timu kubwa zita-struggle msimu ujao pale katika dimba la Lake Tanganyika.
My take:
Punguzeni usela mavi wenu huku ligi kuu kuna kamera za AzamTv mtapoteana
Waarabu walicheza mbele ya mashabiki wao full house, viongozi wote wa CAF wakiwa uwanjani kushuhudia fainali Yanga imemkanda Mwarabu kwao na aggregate ni 2-2, Waarabu wananufaika na kanuni za mashindano, Ulaya hakuna upumbavu huu kwa level ya fainali.
Sisi wananchi hatuna la kuwadai mashujaa...
Hapo jana jioni makachero wa Mashujaa FC wamebaini mauzauza waliyofanya timu ya Pamba FC kwenye uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza kwa kuchimba sehemu za uwanja na kufukia Ndumba.
Maeneo ambayo wamechimba ni kwenye sehemu za kupigia penat kwa magoli yote mawili na upande mmoja ndani ya 18 na...
PAMBA WALALAMIKA KUFANYIWA FIGISU
Uongozi wa klabu ya Pamba ya Jijini Mwanza umeomba uongozi wa TFF kuchunguza Upangaji wa matokeo kwenye Mchezo wao wa jana 1st leg play off dhidi ya Mashujaa FC mchezo uliofanyika Mkoani Kigoma ambao Pamba kupoteza (4 - 0).
Wadai wamefanyiwa uhuni, Wachezaji...
Wako wapi waliofurahia kifo cha Samora Machel akina Peter W Botha? Walikufa kwa fedheha.
Waliomuua Patrice Lumumba na wakafurahi akina Mobutu Sese Seko
Waliomuua Thomas Sankara na kufurahia walishakufa kwa fedheha.
Na hata waliofurahia kifo cha shujaa wa Tanzania watakufa kwa fedheha
MHE. MARY MASANJA - WATANZANIA WATAKIWA KUENZI MASHUJAA WA VITA VYA MAJIMAJI KWA KUHIFADHI MILA NA TAMADUNI
Watanzania wametakiwa kuendelea kuwaenzi Mashujaa wa Vita vya Majimaji kwa kuhifadhi mila na tamaduni zao kwa kufanya kazi kwa bidii, kulinda rasilimali za Taifa, kupambana na kuzuia...
Ilikuwa siku ya Ijumaa, tarehe 01, desemba 2001, katika uwanja wa mashujaa mjini Moshi tulipokutanika wanafunzi wa kidato cha pili katika kilele cha siku ya ukimwi duniani. Shughuli zilikuwa nyingi pale lakini mojawapo ya mambo yaliyoweka alama mpaka kesho katika waliokuwepo ni kile kiapo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.