Naleta uzi huu baada ya kuona mwelekeo wa kuvipa majina kiholela vitu muhimu, mali ya Watanzania wote. Aghalabu majina ya wanasiasa ndiyo tu yanayotumika. Tena wanasiasa wawili au watatu tu. Aidha, mtoaji wa jina huwa hakushauriana na yeyote, licha ya kuwa hana utaalamu mkubwa katika historia ya...