Nashauri kuwe na masomo ya vitendo maalumu kwa jamii pia kwaajili ya kujiandaa na kukabiliana na majanga mbalimbali kama vile moto, mafuriko, matetemeko ya ardhi n.k
kwa mara nyingi masomo ya vitendo vya kukabiliana na majanga pamoja na vifaa vya uokozi huwa vinatolewa kwa asilimia kubwa...
Mara kadhaa Serikali imesisitiza kuwa suala la malipo ya michango ya ziada ni suala la makubaliano kati ya Shule na Wazazi au Walezi wa Watoto, hilo linaangukia pia kwenye suala la chakula kwa Wanafunzi, ambapo utaratibu ulivyo umekuwa kero kwa wengi wetu.
Utaratibu ulivyo kwa sasa kila shule...
Wadau hamjamboni nyote?
Wahamiaji haramu hawana kinga tena wakijificha maeneo hayo kama ilivyokuwa zamani
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Guardian staff and agencies
Wed 22 Jan 2025 00.51 GMT
Share
US immigration authorities will be able to arrest migrants at schools, churches and...
Africa nchi nyingi zimekuwa zikiamini fimbo katika suala la kifundisha watoto/ wanafunzi kwa miaka kadhaa sasa,
Tangu mkoloni aondoke Africa miaka inakaribia 100 sasa bado viboko vimekuwa vikiaminiwa kuwa ni adhabu kwa wanafunzi.
ifiike wakati sasa viboko vifutwe kwa kuwa jamii imebadilika...
Zilipita wiki 2 Hadi 3 ndipo yakatangazwa mafunzo ya walimu kwa ajili ya kuuanza mtaala mpya!
Walimu wengi hawakuhudhuria sababu walikuwa likizo (waliyoipata kisheria kabisa kwenye ess). Waliohudhuria, walilazimika kugharamika kidogo kinauli pamoja na muda wao wa kupumzika.
Mafunzo yalikuwa...
Wadau wengi niliokuwa nafahamiana nao waliokuwa katika tasnia ya mazingaombwe wakifanya maonyesho mashuleni na mitaani wamefanikiwa sana katika makanisa waliyofungua.
Enzi hizo walikuwa wanafanya mambo mbalimbali ya kiini macho na kujipatia kipato. Sasa sijui kama wanatumia mbinu hizo hizo...
Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari
Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka
Kabudi amesema hayo kwenye...
CHADEMA na ACT WAZALENDO mko wapi nyie? Msije mkasema hatukuwaambia...
Watoto wangu wawili (kidato cha 1 & 2) wanaosoma shule moja ya kutwa hapa Shinyanga Manispaa wamefika nyumbani jana na kuniambia kuwa CCM walifika shuleni na pikipiki zao za kijani na kumtumia mwalimu mkuu wao awalazimishe...
Madeni ya jumla ya Sh21.7 bilioni ya wazabuni wa vyakula katika shule za msingi na sekondari kwa mwaka 2023/24 yamewasilishwa hazina kwa ajili kuhakikiwa na kulipwa.
Hayo yamesemwa leo Alhamisi, Agosti 29, 2024 na Naibu Waziri wa Nchi-Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
Siku kama ya Leo Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka Ronaldo de assis Moreirra aliezaliwa Port Aregre Nchini Brazil alikubali kujiunga na klabu ya AC Milan ya Nchini Italia.
Kuanzia Siku hio Mpaka tarehe alioshuka kwa Ndege Binafsi katika Uwanja wa Ndege wa Malpensa umati mkubwa wa Watu ulikuwa...
Upatikanaji wa Taulo za kike (ped) bule Kwa mabinti kuanzia shule za msingi Hadi kidato cha Sita
Serikali haijaingiza swala la upatikanaji wa Taulo za kike Kwa wanafunzi kama kipaumbele kimojawapo cha Afya kwenda sambamba na Elimu inayotolewa bule
UTANGULIZI
Swala la hedhi nila kibiolojia ni...
UTANGULIZI:
Elimu-Ni chanzo Cha Cha kuondoa ujinga, na kufanya jamii na mtu mmoja mmoja kuwa na uelewa wa mambo mbalimbali, yakiwemo ya Kisiasa, Kiuchumi na Kiafya.
UMUHIMU WA ELIMU
I.Elimu inasaidia kuondoa ujinga
II.Inasaidia Kujitambua kama binadamu
iii. Inasaidia kuchochea maendeleo Kwa...
Habari wakuu.
Tunapozungumzia kufundisha Literature tunazungumzia walimu wabobevu wa lugha ya kiingereza kwasababu hakuna fasihi bila lugha.
Kwa muda mrefu nimekua nikitatizwa na upungufu wa walimu wa somo la English literature mashuleni. Hivyo nimesukumwa kufuatilia suala hili kwa undani na...
Nashauri serikali iweke mifumo IMARA ili fedha za elimu bure zitumike Kama malengo yalivyo na siyo kuachia wakuu wa shule wazitumie tofauti na matakwa ya serikali.
Baadhi ya shule zimekuwa tegemezi, fedha zikitoka hazijulikani zinatumika wapi, watoto karibia shule nzima wanakaa chini, ukarabati...
Anonymous
Thread
awali
bure
duni
elimu
elimu bure
elimu ya awali
kina
kuanzia
mashuleni
matumizi
pesa
serikali
suala
tofauti
ufuatiliaji
UTANGULIZI
Wizara ya elimu imezindua mtaala mpya wa elimu karibuni wenye maboresho mbalimbali ambayo binafsi naona bado hayakidhi matakwa ya kasi ya sasa ya ulimwengu kisayansi na kiteknolojia. Bado tumelenga kuzalisha kundi kubwa la wasomi wasio na uwezo wa kuendana na maendeleo ya sayansi na...
Habari wajf Leo nimeshangaa kuona eti Bado watoto wanafundishwa kuandika barua ya kirafiki mashuleni zama hizi za sayansi na Teknolojia?
Kwa maono yangu wafundishwe kutumia simu nanna ya kutuma sms.
Leo hii wadau wewe ulimwandikia lini ndugu au rafiki barua ya kirafiki?