Serikali wilayani Lushoto imeanzisha oparesheni kabambe ya nyumba kwa nyumba inayolenga kuwasaka baadhi ya watu wanaoshiriki vitendo vya kuwatorosha watoto hususani wanafunzi ili kwenda kufanya kazi za ndani nchini Kenya.
Baadhi ya watoto hao ni wale walio katika shule za msingi na sekondari...
Nimeona nilete hii hoja hapa jukwaani ili wahusika waweze kuipata na ikiwezekana kuitolea ufafanuzi.
Huko mashuleni sasa hivi kuna Michango ya hapa na pale. Je, bila malipo imeisha?
Nimeipata hii picha ktk mjadala wa baadhi ya nchi za Africa wakishangaa hawa wadada wanafunzi pichani. (Nimeambatanisha picha)
Wachangiaji wengi walionesha kushangaa hao wadada, kusoma huku wakiwa wajawazito.
Katika mjadala wengi wao walisema "It's only South Africa" Japo kuna nchi kama Kenya...
Nimeona kwenye taarifa ya habari ya ITV Leo tarehe 30.11.2021 sh. Mil. 20 zimetengwa kwa ajili ya kuninulia vifaa vya Michezo ya wabunge ili Hali shule nyingi asa za msingi watoto hawana madawati wanakaa chini. Huo ndo uzalendo wa viongozi wetu au wanafanya hivyo kisa watoto wao hawasomi...
Wazazi tuungane kukemea hili.
Tunazalisha kizazi cha watoto wajinga in the name of performance.
Sisi tulienjoy shule ya msingi. Saa nane kamili unarudi nyumbani.
Siku za michezo ni michezo kwelikweli
Na baadhi yetu tumesoma shule zina mchaka chaka asubuhNa
Na bado tulifaulu vizuri msingi...
Mkuu wa wilaya Songwe alianza kazi yake vizuri pindi alipofika wilaya ya Songwe ya kuwarudisha watoro sugu mashuleni. Jamii inayoishi katika wilaya ya Songwe wengi ni wachimbaji madini na wafugaji. Kwahiyo jamii hii watoto wa huko hawapendi shule. Mkuu wa wilaya akaja na mkakati kabambe wa...
Kiswahili kiwe lugha ya kufundishia Shuleni .
Mfumo wa utoaji elimu ndio kitu pekee kitachopelekea elimu kupokelewa vizuri na wahusika katika mahala sahihi .
Jamii yetu ya Tanzania imetawaliwa na lugha ya Kiswahili na kwa upande wa pili ni kwamba Kiswahili kimeidhinishwa kuwa ni lugha ya taifa...
Nawasalimu wote mliopo kwenye Mtandao huu wenye Uhuru wa kujieleza.
Nimechukua fursa hii kuja na Mada ya kuomba sayansi ya kilimo kurudishwa Mashuleni kuanzia elimu ya msingi Hadi Sekondari.
Somo la Sayansi KILIMO ninaamini Wengi wetu haswa kaka na dada zetu walilisoma ingawa kwa uchache ila...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kumekuwa na wimbi kubwa la kuongezeka michango ya lazima katika shule za serikali, baadhi ya michango hiyo ni majengo, taaluma, madawati lakini watu wameenda deep zaidi hadi pesa za mitihani ya shule.
Hizi ni dalili tosha kabisa kwamba...
Kutokana na kuporomoka kwa MAADILI na utovu wa nidhamu ulio kithiri mashuleni,vyuoni na jamii kwa ujumla ni wazi sasa serikali inalazimika kuliweka Somo la ELIMU YA DINI mashuleni na vyuoni kuwa ni LAZIMA kama njia ya kupambana na CHANGAMOTO hizi
ELIMU YA DINI
hili ni Somo ambalo litakuwa...
Sasa ni taharuki kwa wanafunzi wa shule za msingi wakiwa shule waonapo wageni au magari yakiingia shuleni basi huanza taharuki na kukimbia ovyo.
Taharuki hiyo imesababishwa na wazazi wanaowambia watoto wao kuwa serikali inataka kuwachoma chanjo ya Corona kitu ambacho si sahihi.
Wazazi hao...
Makala hii ikufikie wewe Mzazi, Mlezi, Kaka, Dada na Ndugu wote ambao mnao wadogo zenu au watoto wenu ambao wapo mashuleni au Vyuoni. Na bado hujui kuhusiana na jambo kubwa na la hatari linalowasibu ambalo ni tishio kwa maadili yao, utu wao na maisha yao kwa ujumla.
Nianze kwa kunukuu ya kuwa...
Ujasiriamali ni jinsi ya kubaini matatizo au changamoto zilizopo kwenye jamii husika na kuzitatua changamoto hizo kwa kubuni mbinu ama vitu ambavyo vitapunguza ama kumaliza kabisa changamoto hizo kwenye jamii mfano kuchimba visima kuanzisha kilimo cha umwagiliaji, ufugaji wa kuku, mbuzi , n.k...
Habari za uzima wapendwa poleni na majukumu ya wiki nzima.
Turudi kwenye mada yetu, hivi sasa ukiangalia kumekuwa na wimbi kubwa sana la wahitimu wanaomaliza masomo yao ya elimu ya juu lakini ufinyu wa ajira umekuwa mkubwa sana na kusababisha watu wengi kuwapo mtaani bila ya kuwa na shughuli...
Nimeona video mtandaoni ya DC Morogoro akiwa kalewa chakari huku anashikashika sehemu za siri za binti/mwanamke.
Inafahamika kwamba huyu DC ameoa, na aliyekuwa naye akimpapasa uchi sio mkewe.
Huyu ndio anatakiwa kusimamia kampeni dhidi ya ukimwi, mimba mashuleni,maadili katika jamii ya...
Sisi tuliosoma enzi za awamu ya kwanza, enzi za Chama kushika hatamu, tunakumbuka elimu ya sanaa na ufundi. Hili lilikua somo kamili, kulikua na walimu waliohitimu mafunzo hayo.
Shule zilikua na karakana, wavulana walifundishwa useremala (labda nimekosea) na uwashi. Hata ujenzi wa madarasa na...
Naombeni ukweli kutoka kwenu. Leo wanafunzi wameambiwa kwenda na chakula shuleni ili wakapewe dawa za minyoo na kichocho. Katika mijadala mingi Jana, watu wengi hawtaki watoto wao wapatiwe dawa hizi.
Zaidi hata madaktari wamezuia watoto wao kwenda shuleni kupewa hizo dawa.
Nipeni ukweli juu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.