mashuleni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pac the Don

    Hii hoja ya mimba shuleni imekaaje?

    Maana hapa Soudy katupa kombora katikati ya watunga sheria na wale waliopinga watoto kurudi shulen!!!👇👇👇👇
  2. T

    Tuwatumie wafungwa kutekeleza mpango wa lishe mashuleni wenye matokeo makubwa

    Rais wa JMT, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan Waziri wa kilimo, Mhe. Hussein Bashe na wengine wanaohusika Ninawapongeza sana viongozi wangu kwa kuwekea mkazo kilimo kiasi cha kilimo kuonekana ni ajira kwa vijana. Mipango na mikakati ya wizara ya kilimo inayobuniwa chini ya waziri Bashe inatoa...
  3. M

    Sumbawanga: Disko zipigwe Marufuku mashuleni

    Katika pitapita zangu basi nikakutana na wanafunzi (KE na ME) wakicheza Disko huku mwanaume akiwa amemkumbatia mwanafunzi mwenzake wa kike. Nimejifikiria sana manufaa ya huu uchafu mashuleni nikaona kwanini serikali isiharamishe huu upumbavu huko mashuleni? Angalia hii video chini harafu utoe...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    Unyama wa Walimu, Serikali imulike ukatili wa walimu dhidi ya wanafunzi mashuleni

    Walimu hawana utu wala huruma, sasa wameamua liwalo na liwe. Piga, uwa, garagaza. Hawajali tena namna ya upigaji, mtoto wa kike apigwe mkononi, wa kiume matakoni. Walimu wanapiga ngumi wanafunzi utadhani wako kwenye tamasha la Karate. Wanawazaba watoto vibao vya uso, ukatili mbalimbali...
  5. M

    Tatizo la uchache wa madawati mashuleni limekithiri litatuliwe hivi...

    Ni jambo la kusikitisha kuona hadi sasa idadi kubwa ya wanafunzi wa shule ya msingi na hata sekondari wakiwa wanakaa chini katika shule zetu si mjini wala vijijini. Japo tunapongeza jitihada za kuongeza madarasa bado inashangaza Sana kuona hao wataalam wa mipango wanashindwa kuona ukakasi wa...
  6. The Sunk Cost Fallacy 2

    Hofu yatanda kwa wazazi, watoto kufundishwa kulawitiana mashuleni. Tufanye nini kuokoa watoto wetu?

    Hello! Hofu imewakumba Wazazi kufuatia kuripotiwa Kwa taarifa kwamba Watoto wamekuwa Wakifundishwa kulawitiana wakiwa Mashuleni. Shule ndio zilikuwa kimbilio la Wazazi lakini nako sio salama tena, kama jamii tunaelekea wapi? Yale maadili ya Watznzania Yako wapi? Kila siku tunaingia makanisani...
  7. Barackobama

    Serikali itoe tamko kuhusu kugharamia Fedha za Elimu Bure shuleni

    Tangu 01/11/2022 hadi sasa (28/12/2022) takribani miezi miwili serikali imeshindwa kupeleka fedha mashuleni kwa ajili ya ruzuku, na hakuna tamko lolote kutoka katika mamlaka husika. Kushindwa kupeleka fedha hizo kwa wakati mashuleni kuna sababisha walimu kushindwa kupatiwa vifaa vya maandalizi...
  8. 666 chata

    Enzi hizo kwenye mitihani ilikuwa akili kidogo, ujanja mwingi

    Unakumbuka enzi izo za vibomu? wengine wakiita nondo, uangaliziaji na makamati ya kimkakati wakati wa mitihani mashuleni? ujanja ujanja wa kila namna ilimradi tu watu wafaulu mitihani. Baadhi ya matukio Tuko necta ya fomu 6 kuna demu mmoja aka kamatwa na ki karatasi kimekunjwa kwa ustadi mkubwa...
  9. Tengeneza Njia

    Uzalendo ni Ushujaa - ongezeni hili huko kwenye mitaala mashuleni

    Enzi za shule za msingi miaka mingi iliyopita tulikuwa tunafundishwa nyimbo za taifa, historia na hata ukubwani kuaminishwa kuwa kuonyesha uzalendo wa taifa mtu anaweza kuvaa mavazi fulani yenye bendera ya nchi n.k. Kitendo kilichofanywa na kijana Majaliwa katika ajali ya ndege ni kitendo cha...
  10. JanguKamaJangu

    Serikali kugawa vishikwambi kwa walimu Nchini

    Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omary Kipanga amesema serikali ina mpango wa kugawa Vishikwambi vilivyotumika katika zoezi la sensa kwa walimu wote kwa lengo la kuimarisha matumizi ya TEHAMA katika ufundishaji na ujifunzaji. Akijibu maswali ya Wabunge, leo Septemba 15, 2022 Jijini...
  11. Mtambo 1272019

    SoC02 Matumizi sahihi ya simu janja na intaneti mashuleni hayaepukiki, yaruhusiwe

    WENU MTAMBO1272019 Maana ya simu janja. Ni aina ya rununu ambayo inafanya mambo mengi kuliko simu nyingine ya kawaida,zinzfanya kazi kama tarakililishi,lakini hiki ni chombo kinachobebeka na kidogo cha kutosha katika mkono wa mtumiaji(Andrew Nusca;20 AUGUST,2009). Matumizi ya simu janja...
  12. 0

    SoC02 Elimu ya vitendo ipewe kipaumbele sana kuliko elimu ya nadharia

    UTANGULIZI Mfumo wa elimu ya Tanzania ni mfumo unaomuweza mwanafunzi kuelewa mambo mengi sana lakin asijue namna ya kuyafanyia kazi. ELIMU YA NADHARIA. Elimu ya nadharia ni elimu ambayo hutolewa kwa njia ya maandishi vitabu na maelekezo ya mdomo kutoka kwa mtoaji wa elimu husika(mwalimu),mfumo...
  13. vannie12

    SoC02 Elimu ya uraia wa kidijitali mashuleni

    Tunaishi katika ulimwengu unaounganishwa na teknolojia, ambapo teknolojia imewezesha shughuli nyingi za kielimu, kiafya, kibiashara n.k. Teknolojia ina athari kubwa kwa jinsi wanafunzi wanavyojifunza na jinsi wanavyojihusisha na elimu yao. Kwa kusudi hili, uraia wa kidijitali ni muhimu uhusishwe...
  14. Green Thoughts

    SoC02 Sintofahamu juu ya hedhi na mahudhurio ya wasichana mashuleni

    Takwimu kutoka Shirika la Mfuko wa Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) zinaonyesha kuwa, kila mwezi, takribani wanawake bilioni 1.8 ulimwenguni kote hupata hedhi. Mwanzo wa hedhi kibaiolojia inamaanisha kuwa kuna awamu mpya katika uwezekano wa ongezeko la mwanadamu duniani, yaani upatikanaji wa...
  15. A

    SoC02 Uonevu na Unyanyasaji Shuleni

    Mbinu bora za kuzuia unyanyasaji. ADAM SAMY| 29.07.2022 Uonevu ni aina iliyoenea ya unyanyasaji wa vijana, haswa katika mazingira ya shule. Inafafanuliwa kama tabia ya uchokozi ambayo hutokea mara kwa mara. zote mbili ni hatari kwa vijana. Ikiwa kuna migogoro ya mara kwa mara au mapigano kati...
  16. ReTHMI

    SoC02 Elimu ya Mahusiano ianze kutolewa shuleni

    Wengi watapigwa na butwaa kwanini natamani elimu ya mahusiano itolewe mashuleni tena mahusiano ya kimapenzi. Nitabaki kusimamia kwamba elimu ya mahusiano ya kimapenzi itolewe mashuleni, ikiwezekana kama somo la lazima kuanzia ngazi ya elimu ya msingi mpaka elimu ya sekondari. Elimu inatakiwa...
  17. N

    Juu wanazidi kukipromoti kiswahili, huku chini walimu sasa wanapewa barua za vitisho za kuhakikisha kiingereza kinazungumzwa mashuleni; imekuwa shida!

    Ilianza rasmi kipindi cha mh. jpm (r.i.p) ambapo kiswahili kilitamalaki kufikia kutumika kisawasawa afrika. Juzi hapa tena mh. Mwigulu alipokuwa anasoma bajeti, alikipromoti tena kwa kusema usaili fulani (nimesahau eneo rasmi alilolitaja) utakuwa unafanyika kwa kiswahili sasa na si kiingereza...
  18. Superbug

    Eco school ni nini huko mashuleni?

    Miaka ya karibuni nimesikia hii kitu inaitwa eco school naomba kufahamishwa kwa undani juu ya hiki kitu. @ walimu wote mliomo humu.
  19. Action and Reaction

    Wanafunzi wa Sekondari waruhusiwe kutumia simu Mashuleni?

    Haka kamjadala kamenifikirisha sana, Je! waruhusiwe kutumia simu mashuleni? Naskia mashule ya mafeza boys, mshuke ya st. nani huko wanaruhusiwa kutumia simu ndomana wanafaulu sana ni kweli? Akili ya wanafunzi wetu + smatphone what the output, sindo diamond atakuwa anaimba darasani Unaruhu simu...
  20. Wordsworth

    Mashuleni na Vyuoni ni Kuchafu

    Hivi chuoni kunakuwaje na kunguni? Wanashindwaje kupiga dawa kila baada ya muda fulani? Kuna chuo cha afya hapa Nala Dodoma wanafunzi wanataka kuhama kwasababu kunguni wamezidi. Wakaguzi, wenye mamlaka, mpo wapi? Mnaacha hizi taasisi zijiendeshe na kufuga uchafu? Au mmeshiba rushwa mpaka...
Back
Top Bottom