Tunaishi katika ulimwengu unaounganishwa na teknolojia, ambapo teknolojia imewezesha shughuli nyingi za kielimu, kiafya, kibiashara n.k. Teknolojia ina athari kubwa kwa jinsi wanafunzi wanavyojifunza na jinsi wanavyojihusisha na elimu yao. Kwa kusudi hili, uraia wa kidijitali ni muhimu uhusishwe...