Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amesema takwimu zinaonesha kuwa kiwango cha umaskini wa mahitaji ya msingi Nchini Tanzania Bara kimeendelea kupungua kwa miaka ya hivi karibuni kutoka asilimia 34.4 (mwaka 2007) hadi asilimia 25.1 (mwaka 2025).
Akiwasilisha Bungeni taarifa...
Tanzania umaskini umepungua sana. Ukichekesha watu kupitia comedy tayari wewe ni star na siku kadhaa mbele tunakuona airport na begi lako unaenda mkoa.
Ukiuuza mazao kijijini lazima uende MKoa kwa ndege au SGR. Ukipiga pesa kwenye kamari huyoooo airport na mabegi yako.
Inshort maskini wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.