masikini

Elisabeth Finant (9 November 1954 – 28 September 1994), known professionally as Abeti Masikini, was a singer from the Belgian Congo who was active in France from 1971 until her death in 1994 at the age of 39. Her music pulled from a variety of genres, including soukous, Congolese rumba, folk music, and the blues. She recorded 21 albums during her career for a variety of record labels including RCA Records and Polygram Records among others.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kijana tafuta hela mambo ya mke wa mtu ni nadharia za watu masikini na ambao hawajapevuka akili.

    Hapa duniani huwa hakuna mke wa mtu hilo jambo ni nadharia za binadamu wenye upeo mdogo wa akili. Maana kitaalamu sio rahisi mwanaume akae na mwanamke mmoja bila kuchipuka. Sex = energy ngono ni nishati au umeme hivyo ukimuona mke wako Ana umeme mdogo unashauriwa kwenda kutafuta umeme kwa...
  2. T

    Kwanini uswahilini ni masikini?

    Kwann uswahilini wengi ni masikini hata baadhi ya mitaa hata ukifungua biashara utoboi pana view nne tunaziita school of thought yaani dini, sayansi ya akili, uchawi, universe 1=. kwa majibu ya dini wao wanasema pana roho chafu ya umasikini, 2= majibu kwa elimu ya uchawi kila eneo...
  3. Kijana Masikini nimetoboa, kwa sasa ni Tajiri sinabaya

    Kwa sasa sio kijana masikini tena, ninafahamika kama Tajiri sinabaya. Japo hapo kwenye ID mwisho hakuna herufi 'a' ni changamoto tu ilitokea katika kubadilisha ID Moderator naomba unisaidie kwenye hili kiongozi wangu ili nisomeke 'Tajiri sinabaya' Wale wazee wenzangu wa simulizi ya My Family...
  4. Ninahuzunika sana tanzania yangu ni nchi tajiri lakini viongozi wa ccm bado wanahubiri sisi ni masikini lengo ni kutupumbaza

    Ni wakati wa kuwakataa viongozi wa ccm kwa miaka 63 ya uhuru watanzania wametufanya kuwa wajinga huku wao na familia zao wakiishi maisha mazuri na yenye amani. Viongozi wa ccm wamefikia hatua ya kuona bila kupigiwa kura wanaamini watakuwa viongozi Tanzania ina madini lukuki maziwa na mito lakini...
  5. Pre GE2025 Katibu mkuu BAVICHA: CCM inatufanya tuendelee kuwa masikini hali yakuwa wao wana maisha mazuri

    Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana CHADEMA Dua Lyamzito amesema uwepo wa Chama cha Mapinduzi madarakani unaendelea kuwafanya wantanzania kuwa maskini hali yakuwa wao(CCM) wanakua na maisha mazuri. Akizungumza akiwa Kibanga, Muleba mkoani Kagera Dua amesema “kwetu Karambi nikienda miaka mitano...
  6. Eric Shigongo: Watanzania tembeeni kifua mbele, sisi ni matajiri

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema Watanzania hawatakiwi kuwa wanyonge bali watembee vifua mbele kwa sababu nchi yao ni tajiri sana. Shigongo amesema anampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa mpango wake wa kuitaka Tanzania ijitegemee kwa kutumia rasilimali zake ilizojaliwa. Shigongo...
  7. Vijana masikini manaobiwa tafuta hela na wanawake jifunzeni kwa Diamond

    Kama diamond akiombwa hela anazima simu na kubadilisha namba , je wewe Kijana masikini kapuku ,kabwera kipi kinakufanya uchezee hela zako ambazo hata hauna na Una maisha magumu
  8. Sheria ya mafao kwa wastafu: Nchimbi naye anaingia kwenye Orodha ya Wanufaika wa maisha wa Kodi za watanzania masikini.

    Hii Sasa ni hatari, kuanzia Mke wa Nyerere, Mke wa Sokoine, Mke wa mpaka latest kwa Mpango, Kasimu Majaliwa, na Sasa Emanuel Nchimbi wataendelea kula pension ya Umma. Gari latest la Kijapani ama Surf la maana, walinzi wa maisha wa Familia za viongozi Hawa, Dobi, mtunza bustani na Mahouse maid...
  9. Mwanaume unakuwaje masikini wakati Mimi mtoto mdogo Nina pesa

    Mwanaume unakuwaje masikini yaani unalialia njaa kabisa na midevu Yako unataka sisi vidume wenye pesa tukuhurumie yaani dada yangu hawezi kuolewa na mwanaume lofa sababu ni mkosi kwenye familia yaani ukoo wetu atakua kaupaka Mavi
  10. Misri na Afrika Kusini zinakoromewa na Wazungu kama wafanyavyo kwa nchi masikini?

    Marekani na nchi nyingi za Ulaya zimejuwa kama viranja kwa nchi masikini, hasa za Kiafrika. Lakini alau Misri na Afrika Kusini zipo vizuri kiuchumi. Najua fedha huwa inaongeza heshima, na Misri & South Africa zinazo. Wazungu alau wanaziheshimu au wanaichukulia kama nchi zingine za Afrika...
  11. Tambua mifumo mikubwa inayofanya watanzania kuendelea kuwa masikini!

    Masikini wataendelea kuwepo lakini ujue masikini ni mtaji wa matajiri. Tajiri kamwe asingependa masikini ajikwamue atoke kwenye umasikini, hivyo mifumo imetengenezwa kuendelea kumfunga masikini ili asione wala kusikia ukweli kuhusu hali yake ya umasiki na akijaribu kujitambua na kupambana...
  12. Masikini Wenzangu - Ngwair

    MASIKINI WEZANGU - NGWEA. Wachache ndo wanaishi wengine maescorts/ Twiga wanapanda pipa hata bila ya passports / Mikoa mingi bado haina hata airports / Zaidi ya migodini madini kuyaexport / Bila ya wazawa kufaidika / Ndo mana Wanzanzibara wamechoka kutanga na nyika / Big up Mandela leo South...
  13. Makonda: Sitaki kumuona Diwani masikini, Tafuteni Hela acheni majungu

    Ujumbe wa Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda kwa Madiwani wa Mkoa wa Arusha. "Huwa na waambia viongozi wangu wa hapa, sitaki diwani masikini’ hatutaki diwani masikini tafuteni hela hata tukija kuwagongea kuomba nauli ya kwenda hospitali Mount Meru muwe na hela za kutupa, huwezi kutoa kitu...
  14. B

    Bill Gates alisema hawezi kuruhusu binti yake aolewe na masikini

    Bill Gates alisema hawezi kuruhusu binti yake aolewe na maskini, miaka ya nyuma iliyopita Bill Gates akiwa tajiri namba moja duniani alihudhuria kwenye Investment and Finance Conference akaulizwa "Wewe ni mtu tajiri zaidi duniani je unaweza kuruhusu binti yako aolewe na masikini?" Billy akajibu...
  15. B

    Kuna uhusiano gani? kati ya kuzaa watoto wachache na utajiri versus kuzaa watoto wengi na umasikini

    Kwenye kundi la kuzaa watoto wengi naomba tuwatoe wazee wetu waliozaliwa 1950's maana wao kulikuwa na mashamba ya kukidhi mahitaji Tujadili kuhusu kizazi cha 1960's-2024's 👉Aslimia kubwa ya wengi wanaomiliki mali wanaishia kuzaa watoto maximum watatu ni u-busy?, uoga wa kuwagombanisha watoto...
  16. G

    Kama kipindi cha Mzee Kikwete haujakamata pesa na awamu ya sasa bado unasota, hesabia utakufa masikini

    Nchi hii haijawahi kuwa nyepesi kwenye uchumi lakini kuna awamu kadhaa mambo yanakuwa nafuu Kipindi cha kikwete kulikuwa na kampuni kibao, ajira watu wanachagua, mzunguko mkubwa wa pesa, n.k. vijana wengi walishika pesa. Awamu ya Magufuli tunaijua kwamba vyuma vilikaza, ni special case. hii...
  17. Yupi CEO wako bora kuwahi kutokea Tanzania? Nchi masikini zinafeli wapi!?

    Hodi Jamvini, Nawasilisha mada hapo juu kuhusu dhana ya MaCEO's ambayo huku ipo lakini naona bado ipo duni sana. Kwenye suala la utendaji hatupimani kabisa kuhusu performances. Unakuta mtu ni mtendaji mkuu wa kuajiriwa iwe ni sekta binafsi au serikali yupo miaka mingi lakini bado Shirika au...
  18. Mwanaume kua na wanawake wengi ni mtego wa shetani kuhakikisha unakua masikini maisha yako yote

    Mwanaume kua na wanawake wengi ni mtego wa shetani kuhakikisha unakua masikini maisha yako yote maana ngono Ina gharama kubwa sana Kwa mwaname ila ni faida Kwa mwanamke chagua mwanamke wako mmoja anae tosheleza hisia zako najua sio lahisi kulizika na mwanamke mmoja ila unaweza kuamua kutulia na...
  19. Kero za nyumba za kupanga: Nawasha taa moja ila naambiwa nilipe bill ya umeme sawa na wanaotumia TV na Fridge

    Hii ilinitokea kipindi napanga , nilikuwa nawasha taa moja usiku wa Saa nne Ila nilikuwa nalazimishwa kulipa bill sawa na wanaotumia TV, feni, radio pasi ya umeme na fridge na wengine walikuwa wanatumia heater Hii ndo akili ya MTU mweusi huwa aangalii usawa Ila anaangalia mbele ya pua yake.
  20. Stori: Baba masikini hadi kuwa baba tajiri kwa kusomesha watoto wake

    Sikuwahi kuwambia watoto wangu kuwa nilikua nafanya kazi gani. Kamwe sikutaka wajihisi aibu kwasababu yangu, pindi binti yangu aliponiuliza nilikua naenda kufanya nini ninapotoka, nilitumia muda huo kumzuga na kumwambia kuwa mimi ni kibarua. Kila siku kabla sijarudi nyumbani nilitumia muda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…