Mh Rais nianze Kwa kukupa pole Kwa uchovu wa majukumu, maana Jana nilikuona kwetu Zanzibari, Leo nmekuona bara pale Arusha na wazee wa kitu ya Arusha.
Mh Rais sijui kesho utakuwa wapi ila napatwa na hisia utakuwa Tabora hata usipo kuwepo stolalamika Mimi na wenzangu tupo hapa tunakula upepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.