maslahi ya wananchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa ACT Wazalendo baada ya kupitishwa bajeti na sheria ya fedha, 2026 katika kulinda katiba, fedha za umma na maslahi ya wananchi

    Salaam Wakuu Hapa Chini nimewawekea Msimamo wa ACT-WAZALENDO kuhusu Sheria ya fefha 2026. Nimeweka Utangulizi na Hitimisho ili kukurahisishia kujua yaliyomo. Hotuba yote nimemekuwekea hapa(bonyeza) ==== UTANGULIZI Wiki moja imepita tangu Chama cha ACT Wazalendo kilipowasilisha hadharani...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tanzania na USA: Maslahi ya Wananchi Kwanza

    Mahusiano ya kimataifa hujengwa kwa maslahi ya wananchi, si kwa kelele za mitandao. Tanzania na USA zimeendelea kuweka mbele biashara, uwekezaji na maendeleo.
  3. JF Analyst

    JamiiForums Tanzania Wasanii na watu maarufu wasiopigania maslahi ya wananchi ni wasaliti kwa raia au wabinafsi?

    Ipo kauli inayosema msanii ni kioo cha jamii, kwa sababu wanapaswa kuakisi na kuifunda jamii yao katika mstari ulionyooka katika nyanja zote. Kupitia sanaa yao wanalo jukumu la kuielimisha jamii, kukosoa na kukemea maovu, kuburudisha na kadhalika, yote ni katika kujenga jamii yenye haki, amani...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mayeye: Kigoma Kaskazini imekuwa shamba la bibi la wachache wanaojinufaisha huku wakisahau maslahi ya wananchi wengi

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini kupitia chama cha ACT Wazalendo, Kiza Mayeye, ameeleza kuwa jimbo hilo limegeuzwa kuwa “shamba la bibi” la wachache wanaojinufaisha huku wakisahau maslahi ya wananchi wengi. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu ya kugombea ubunge, Mayeye amesema...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kuwa na wabunge wasomi wasiojali wananchi au kuwa na wabunge wasiosoma wanaojali maslahi ya wananchi wa Tanzania kipi bora??

    Hivi kwa akili ya haraka haraka jamii kubwa ya waTz katika familia zao wanaongozwa na watu waliosoma au wasiosoma hasa ukizingatia 75% ya waTz ni wakulima na wafanya biashara na siyo wasomi? Hao wasomi wamewezaje kuinua uchumi na kuleta maendeleo ya waTz kwa ujumla? Iwapo mnamchagua mbunge...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Bunge lijalo kuwa na Wabunge kama Makonda ni wazi kuwa litakuwa sio bunge la kutetea maslahi ya Wananchi

    Hawa ni wale watia nia ambao wameacha nafasi zao ili wapate nafasi za ubunge ili kulinda maslahi ya chama chao. Hawatakuwa kwa ajili ya maslahi ya umma na wananchi kama Luhaga Mpina
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Siasa bora ni zile zinazolenga maslahi ya wananchi na maendeleo ya taifa kwa ujumla. Sio za kuleta taharuki na migogoro

    Siasa bora ni zile zinazolenga maslahi ya wananchi na maendeleo ya taifa kwa ujumla. Zinahakikisha utawala bora, uwazi, na uwajibikaji. Baadhi ya sifa za siasa bora ni: Utawala Bora: Serikali inayoheshimu sheria, haki za binadamu, na demokrasia. Hii inajumuisha kuhakikisha mgawanyo wa madaraka...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Aisha Madoga: Mchague viongozi wanaojali maslahi ya wananchi

    Wakati kmpeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zikiwa zinaendelea kurindima nchini na vyama vilivyosimamisha wagombea vikiendelea kuomba ridhaa kwa wananchi. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Dodoma kupitia kwa Mwenyekiti wake, Aisha Madoga kimeendelea kunadi wagombea katika...
  9. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Kutokufanikiwa kwa maandamano ya CHADEMA: Uhalisia wa maandamano yasiyo na nguvu kwa maslahi ya wananchi

    Maandamano yaliyofanyika jana, yaliyoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yameonyesha wazi changamoto kubwa ambazo chama hicho kinakabiliana nazo katika kuhamasisha wananchi na kuonekana kama nguvu halisi ya upinzani. Hii ni mara nyingine ambapo CHADEMA imeshindwa kufanikisha...
  10. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Je, chama unachokiunga mkono kinawakilisha maslahi ya wananchi wengi, au kinazingatia maslahi ya kikundi fulani tu?

    Uwakilishi wa kisiasa ni nguzo muhimu katika demokrasia, ambapo vyama vya siasa vinapaswa kuwakilisha mahitaji na maslahi ya idadi kubwa ya wananchi. Hata hivyo, katika mazingira mengi, kuna utata kuhusu ikiwa vyama hivi kweli vinawakilisha kikamilifu maslahi ya umma au vinazingatia tu maslahi...
  11. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Je, maridhiano ya CHADEMA ni kwa maslahi binafsi au kwa maslahi ya Wananchi?

    Chadema wana furaha, wana tabasamu usoni mwao, je nini wanafurahia!? Kula asali ni kuongea maneno ya busara, sasa Chadema wanaongea mambo ya busara na kutenda kwa busara, je wanakosea? Amani ndiyo msingi. Je, Chadema wameacha harakati zao kutaka kushika dola, ndio hawana dhamira ya kushika dola...
  12. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Nchi ambayo Wafanyabishara wanaweza kugharamia safari za Rais za Kitaifa na Kimataifa haiwezi kujali maslahi ya wananchi wa kawaida

    Juzi tuliambiwa gharama za safari za rais za kitaifa na kimataifa zinagharamiwa na wafanyabishara ambao hawatajwi majina. Katika akili ya kawaida, kama wafanyabishara wanagharamia safari za mkuu wa nchi nje ya nchi na ndani ya nchi maana yake tayari rais ameshakuwa compromised na...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania UVCCM wangekuwa wanajali maslahi ya wananchi wangemshinikiza Rais Samia amfute kazi January Makamba na Mwigulu Nchemba

    UvCCM ya sasa imebaki kuendekeza njaa tu na kusifia viongozi ili kujaza matumbo yao. Miaka ya nyuma UvCcM walikuwa mstari wa mbele kukosoa serikali pale inapoonekana inasahau majukumu yake na kusababishia wananchi kero za kimaisha. Leo hii mfumuko wa bei upo juu, tozo kibao za kila namna huku...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Suala la Tume Huru au Katiba hatma yake ni Madaraka na si maslahi ya wananchi. Tuweni macho

    Habarini wakuu, Tangu mjadala wa wapinzani wengine kudai tume huru ya uchaguzi na wengine katiba mpya kuingia katika taswira mpya baadhi yetu tumeingiwa na mashaka. Je, kwa nini wasimamie kitu kimoja? Je, wanaofanya hivyo ni kwa maslahi ya nchi au wananchi? Nimejipa muda wa kusikiliza pande...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wana-CCM wajitokeza kuchukua fomu ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la JMT. Yupo Dkt. Tulia na Masele

    Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick...
  16. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Taifa lisilo na siasa safi na viongozi bora haliwezi kujali maslahi ya wananchi wa kawaida

    Wananchi wa kawaida ni wananchi ambao katika jamii ya Tanzania ni watu ambao wapo katika kundi ambalo wanaishi maisha duni. Hawa ni watu ambao kipato chao sio cha uhakika na hivyo hata uhakika mlo mmoja ni nadra kuwa nao. Kama ni wafanyabiashara ni wale ambao hata mtaji wa buku tano ni ngumu...
  17. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Huu ni wakati wa Wabunge kudhihirisha "umuhimu" wao kwa Wananchi wao

    Bajeti imesomwa, waliosikiliza wamesikia, waliosimuliwa wamesikia, waliiosoma wameisikia, na WALIOELEWA huenda wameelewa. Kinachofuata sasa ni mjadala kwa Wawakilishi wa Wananchi "waliochaguliwa" kwa 99% yaani Bunge zima ni CCM. Tunataka watudhihirishie kuwa wako "vizuri" kutetea maslahi ya...
Back
Top Bottom