maslahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. matunduizi

    Serikali ihamishie maslahi ya wabunge kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya

    Kazi ya Bunge ni kutunga sheria na kuishauri Serikali. Lakini kama mkuu wa wilaya akiongezewa kazi za kusimamia kabisa kila shughuli za maendeleo ya wilaya huku akihakikisha mgawanyo wa keki ya taifa wilayani kwake atakuwa anafanya kazi kubwa kuliko Mbunge. Napendekeza Ili kuwapiga chenga za...
  2. jitombashisho

    Ya Francis Nanai na ukachero bobevu wa maslahi ya chama uliopo na utakaoendelea kuwepo ndani ya CCM

    Wengi kama si wote bado hawaelewi ni kwa sababu gani hasa vyama vikongwe kama CCM vinaendelea kubaki madarakani. Jibu ni moja, uimara na ubora wao katika nyanja ya mikakati imara na ubobevu wao katika suala la ukachero chanya uhusuo maisha ya CCM yao. Huo ndiyo msingi wa ukongwe wao na ni kweli...
  3. Mindi

    Magufuli aliahidi kuboresha mafao ya Wafanyakazi. Badala yake kavuruga maslahi yao, na ametumia fedha za mafao yao kujipaisha zaidi

    Moja ya simulizi za kusikitisha katika utawala wa awamu ya Tano, ni kisa cha wafanyakazi wa Tanzania. Zipo kada nyingi zilizoumizwa sana na utawala huu, mojawapo nyingine ni wakulima. Hawa wote wametumika kama nyenzo tu ya kufanikisha miradi ya awamu hii, huku wao wenyewe na familia zao...
  4. WilsonKaisary

    Tunachagua viongozi kwa maslahi ya Taifa au maslahi ya vyama vya Siasa?

    Habari wadau. Pole na majukumu ya kujenga taifa. Wananchi wa chini wanapambana vya kutosha kusogeza taifa letu mbele, nguvu kazi zao na jitihada hukwamishwa na sera duni za nchi, sheria duni za nchi, taasisi na serikali isio-lenga kumnasua mtanzania wa chini kwenye umaskini uliokithiri. Hayo...
  5. Mwamuzi wa Tanzania

    Utafiti: Wafanyakazi wanaolipwa maslahi duni ndio wanaoihujumu kampuni au serikali iliyowaajiri

    Habari wakuu! Uzi huu nimeuleta kwenye jukwaa la siasa ili ikiwezekana viongozi angalau wawili watatu wauone huenda wataamka. Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikuwa mgodini Bulyanhulu as security officer 2014-15. Kisha nikaacha kazi kwasababu zangu binafsi then nikaajiriwa na four Seasons...
  6. jingalao

    Waliopewa vyeo vya Uwaziri na Unaibu Waziri wasiharibu taswira ya Rais Magufuli kwa maslahi yao!

    Hili ni angalizo tu kwa wanaopewa dhamana ya kuwa mawaziri au manaibu uwaziri kuwa mnapoaminiwa na Mheshimiwa Rais kupewa nafasi ya kuhudumia wananchi kamwe msiweke maslahi yenu mbele bali muweke maslahi ya Taifa Mbele na kamwe matendo yenu yasitake kuharibu Image ya mheshimiwa Rais. Wapo...
  7. J

    Uchaguzi 2020 Mbatia awakaribisha CHADEMA na wapinzani wengine kwenye ushirikiano wenye maslahi mapana kwa mama Tanzania

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kimefungua mlango wa ushirikiano kwa chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema na mama Tanzania. Mbatia amesema ni muda sasa kwa wapinzani kuweka itikadi zao pembeni na kuunda ushirikiano wenye maslahi mapana...
  8. Superbug

    Wachungaji wa Karne hii wakishiba sadaka wanaungana na dola na tawala onevu ili kulinda maslahi yao

    Ni Jambo la kuhuzunisha Sana kuona wachungaji na viongozi wa dini Mambo wanayoyatetea. Kiongozi wa dini anaweza kuona maovu yanafanyika kwenye Jamii na asiseme kitu atakaa kimya hatakemea hususani Kama uovu umetendwa na wenye mamlaka atavaa miwani ya mbao. Yuko radhi mwaka mzima ahubiri ubaya...
  9. B

    "Kuishi na Corona" kunavyopotoshwa Tanzania

    Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada. Itifaki yote imezingatiwa. Shirika la afya Ulimwenguni (WHO), limekuwa likitoa tathmini, mapendekezo na kauli mbalimbali likionya na kushauri kwenye jitihada za kukabiliana na ugonjwa huu hatari. Kwa bahati mbaya sana hapa nchini kwetu kumekuwa na...
  10. B

    Tanzania: Maisha ya watu yanapowekwa rehani dhidi ya maslahi binafsi ya kiuchumi

    Ni kwa masikitiko makubwa ninaandika uzi huu. Ninaandika baada ya kuwa nimechukua muda wa kutosha kufuatilia yanayojiri katika nchi zinazotuzunguka kulingana na hali yetu halisi hapa kama ilivyo sasa. Hapa kwetu tayari imekuwa ni tanzia baada ya tanzia hata labda, ni muda muafaka sasa kwa mods...
  11. Zitto

    Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

    Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona- Zitto #COVID19TZA Serikali imethibitisha uwepo wa virusi vya Korona Tanzania. Utulivu ni muhimu kwani kukiwa na maandalizi ya kutosha tunaweza kukabili madhara ya mlipuko huu. Nashauri mambo 3 muhimu sana, kwa maoni yangu. - Tunaona Nchi nyengine kukiwa...
  12. Azarel

    Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

    Habarini Wadau, Ninaomba kuuliza lakini pia kupatiwa msaada katika jambo hili. Mwaka Jana mwezi wa 5, watumishi wengi wenye sifa walipandishwa madaraja. Lakini cha kushangaza katika mabadiliko ya mishahara ni kama kuna ubaguzi kwa watumishi. Kwa Mkoa wa Kilimanjaro kuna ambao wamebadilishiwa...
Back
Top Bottom