maslahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    TAA hakikuwa chama cha kushughulika na maslahi ya wafanyakazi waafrika wa Tanganyika

    TAA HAKIKUWA CHAMA CHA KUSHUGHULIKA NA MASLAHI YA WAFANYAKAZI WAAFRIKA WA TANGANYIKA Abdul Sykes alikuwa na fikra ya kuunda chama cha siasa toka yuko Burma wakati wa Vita Vya Pili Vya Dunia (1939 – 1945) na alipoingia katika uongozi wa TAA mwaka wa 1950 na kuwa mjumbe katika TAA Political...
  2. T

    Rais Samia hakika anajua kuwafuta machozi wanaCCM. Timu ufipa maslahi mpoo...

    Kuanzia siku Rais Samia alipopewa uenyekiti kwa kishindo ndio siku ambayo wanaCCM waliona hakuna kama mama , ameahidi vijana na wazee maslahi yaliyo bora zaidi hivyo naona jinsi timu ufipa maslahi walivyonuna...Hakika biashara ya kujiuza imekufa kifo cha kawaida
  3. J

    Maslahi bora, Mishahara juu, Kazi Iendelee mishahara haijapanda kwa miaka 6!

    Hii kauli mbiu ni kama imebuniwa kumsuta mwendazake. Kwa kweli mimi siyo sukuma gang lakini kaulimbiu hii imekaa kitata zaidi na siyo kisayansi. Kazi Iendelee!
  4. T

    Mrisho Gambo: Sisi mpinzani wetu siyo vyama vya siasa ni changamoto za Watanzania

    “Sisi Mpinzani wetu sio Vyama vya Siasa, Mpinzani wetu ni changamoto za Watanzania leo ukizungumza Watumiwhi wana manung’uniko kuhusu mishahara yao, wana manung’uniko kuhusu kupanda madaraja kwa miaka mitano hawajapanda madaraja, leo ukizungumza kuhusu bodi ya mikopo unaona sheria ilikuwa...
  5. winnerian

    Endapo Serikali itaacha kutumia mabavu kukusanya kodi, wafanyabiashara wapo tayari kulipa kodi bila kudanganya na kofoji "documents"?

    Wote ni mashahidi kwa namna ambavyo watanzania wengi ni wagumu kufuata utaratibu pamoja na sharia halali zilizowekwa. Wengi wetu tunapenda sana kupata mali kirahisi na kwa njia ya udanganyifu ama rushwa. Sasa je, serikali ikaamua kutumia upole na njia laini kukusanya kodi Watanzania wangapi...
  6. T

    Mei Mosi 2021 kurejesha furaha ya watumishi na wahitimu? Rais Samia ni tumaini jipya

    Furaha ya watumishi na wahitimu vyuo mbalimbali itarejea siku chache zijazo yaani Mei Mosi. Watumishi walio wengi wanaishi kwa ⅓ ya mshahara baada ya kuingia kwenye mikopo ili kuinua maisha yao. Tunatarajia kusikia mambo haya kutoka kwa Rais: Mishahara kupanda Kupanda madaraja Kupanda vyeo...
  7. T

    James Mbatia amtaka Majaliwa ajiuzulu Uwaziri Mkuu

    JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, ametoa ushauri kwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa kujiuzulu ili kumfanya Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan kuunda baraza jipya. Mbatia amesema, hatua hiyo itamsaidia Rais Samia kuunda Serikali yake. ===== JAMES...
  8. Analogia Malenga

    Kazi za wachoraji na wachongaji kuuzwa kwa mtandao ili kuongeza maslahi yao

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Innocent Bashungwa ameagiza COSOTA na BASATA kuandaa mfumo wa kuuza kazi za Wachoraji na Wachongaji kwa njia ya mtandao. Mheshimiwa Bashungwa ametoa agizo hilo leo Jijini Dar es Salaam katika kikao chake na Wasanii wa Sanaa ya Uchoraji na...
  9. L

    Kati ya hii miamba sita (6) nani ana maslahi mazuri kuliko wengine?

    Kati ya hawa washua sita nani ana maslahi mazuri kuliko wengine kwenye mshahara, posho, overtime na mazingira bora ya kazi. 1. BOT Bank of Tanzania. 2. TPDC Tanzania Petroleum Development Corporation. 3. TCRA Tanzania Communication Regulatory Authority. 4. TPA Tanzania Port Authority. 5. TRA...
  10. Mlalamikaji daily

    Maoni yangu: Kwanini wafanyakazi hawajaboreshewa maslahi yao awamu hii

    Haya ni maoni yangu binafsi baada ya kutafakari kwa kina, kwanza siamini kwamba suala hili la kukaa miaka 7 bila kupandishwa madaraja na miaka 6 bila nyongeza ya kila mwaka kuwa ni suala la bahati mbaya! HAPANA! Upo msemo kuwa in politics nothing happen by accident! Sasa twende sawa hapa, kama...
  11. BAK

    Nini maoni yako kuhusu maslahi ya Wabunge?

    Ben aliacha kiinua mgongo cha Mbunge kikiwa 35M. JK awamu ya kwanza akakitoa 35M to 90M na awamu ya pili akapandisha kutoka 90M hadi 240M. Bila shaka hapo ndipo ubunge ulipoacha kuwa utumishi ukageuka fursa ya kiuchumi. Yohana hajaongeza hata mia. Ameacha kama alivyokuta. Lakini kumekuwa na...
  12. J

    Inakuwaje kwa madaktari tuliowasomesha lakini wamekimbilia bungeni kufuata maslahi mazuri!

    Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi. Je, hawa wako kundi gani? Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii. Maendeleo...
  13. Cannabis

    Rais Magufuli aagiza Madaktari waliohama Hospitali ya Rufaa mkoani Tabora kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi wafuatiliwe

    Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la magonjwa ya dharura Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora, akiwa katika eneo hilo ameagiza Madaktari waliohama Hospitali hiyo ya Serikali na kuhamia Hospitali binafsi kwa kigezo cha maslahi wafuatiliwe. Rais Magufuli amenukuliwa akisema...
  14. Research Solutions TZ

    #COVID19 Waliofunga shule kwa corona, maslahi ya walimu yatakuwepo? Je, wazazi hawatalazimishwa kulipa tena ada?

    Kabla sijaenda kwenye maswali zaidi niweke wazi kuwa, I have never bought any Conspiracy lakini najua attention ya dunia dhidi ya corona is greater than the real problem. Corona kuwepo ni jambo moja, impact yake ni suala jingine, Idadi ya wanaopona ukilinganisha na wanaokufa inaoesha haja ya...
  15. Red Giant

    Mbona sijawahi ona wanasiasa wakiitisha maandamano au kwenda mahakamani kupigania maslahi ya Wananchi?

    Najiuliza tu, Maandamano na kesi zote wanafungua zinahusiana na wao kushika madaraka. Mbona hawaandamani serikali ikifungia wakulima mipaka, mbona hawaendi mahakamani kupinga sheria za kodi etc. Mbona hawaendi mahakamani kupinga makato ya bodi ya mikopo. Kama wako kwa maslahi ya wananchi si...
  16. The Palm Tree

    Sasa naamini hakuna mwanasiasa mzalendo, hakuna! Kelele zote huwa ni za kupigania maslahi ya matumbo yao tu

    Watazame na wasikilize wanaoongoza serikali hii yaani CCM, Magufuli na wenzake wanavyojitetea kwa kila aina ya mashambulizi ya mwili na maneno mabaya dhidi ya wanaowaona kama vikwazo kwao yaani kina Tundu Lissu na CHADEMA yake, kina Zitto Z. Kabwe, Maalim Seif Shariff Hamad na ACT Wazalendo...
  17. Q

    Halima Mdee bado una nafasi ya kutubu, Heshima na tamaa havikai pamoja

    Ulikuwa umejijengea heshima ndani na nje ya nchi, ndani na nje ya bunge, tambua nguvu na heshima yako ilijengwa na sapoti ya wananchi waliokuzunguka hasa wanachama na viongozi wenzako wa Chadema ambao leo unataka kuwasaliti. Kumbuka ulipokuwa jela ni wanachadema hawa hawa walikuchangia utoke...
  18. Keynez

    Ni Usaliti wa Kidelillah au ni kwa Maslahi ya Taifa?

    Katika uchaguzi huu uliopita wa 2020, CHADEMA walitegemea sana nguvu ya Mwanamke. Cha kushangaza, CCM ambao kwa miaka mingi walituaminisha kuwa Mwanamke wa Kitanzania ana ushawishi mkubwa katika siasa zetu, walionekana kutojali kabisa nguvu ya Mwanamke, labda Zuchu tu. Wagombea Wanawake nafasi...
  19. M

    Maslahi ya kisiasa kwa kundi dogo si sawa, Taifa hili limejaa watu wenye mahitaji

    Maslahi ya kisiasa kwa kikundi kidogo cha CCM sio sawa. Taifa hili limejaa watu wenye uhitaji. Hizi propaganda za kutuaminisha kuwa Tanzania haina uhitaji wa misaada ilihali uhalisia wa raia wa Tanzania wanahihitaji hii misaada sio sawa hata kidogo. Viongozi acheni kuwadhulumu watanzania kwa...
  20. D

    Uchaguzi 2020 Keshokutwa tunapiga kura, tutangulize maslahi ya taifa

    Wakati zimebaki siku mbili kupiga kura ninachukua fursa hii kuomba Watanzania wenzangu kujitokeza kwa wingi kwenda kutimiza wajibu wetu wa kitaifa. Tumesikia ajenda na ahadi za wagombea mbalimbali ni jukumu letu kupima na kufanya uamuzi ulio sahihi kwa kuangalia mahitaji ya nchi. Maneno matamu...
Back
Top Bottom