Na Mwal. Maziku, Singida
Makamanda salaam!
Waswahili wanasema ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni. Kitendo cha kiongozi wa CHADEMA Ndugu Lissu kutanguliza maombi binafsi kwa Rais ni usaliti mkubwa usio kubarika. Kwa hakika mtu huyu hakustahili kupewa majukumu ya umakamu Mwenyekiti kwani...
Maisha ya utumishi yananiacha hoi sana ikifika muda wa maslahi na utofauti baina ya taasisi na taasisi!
1. Kuna taasisi mishahara yao ni ya kawaida kabisa ya scale ya msajili wa hazina, ila ukija ktk posho na madokezo kwa mwezi watu wanakunja hadi milion 3 , 4 hadi 5!bosi hakatai dokezo mradi...
Wasalaam.
Nitafafanua kwa ufupi
Uongozi ni mamlaka au karama ya kuwaonyesha watu njia kwa vitendo na kipaumbele chake huwa watu, lakini mtawala(CCM) huangalia vitu na si watu, hugusa maslahi yake na si watu, hushughulila na leo wala si kesho. Mtawala huiga na kukarabati hana uwezo wa kubuni...
Habarini wakuu,
Tangu mjadala wa wapinzani wengine kudai tume huru ya uchaguzi na wengine katiba mpya kuingia katika taswira mpya baadhi yetu tumeingiwa na mashaka. Je, kwa nini wasimamie kitu kimoja? Je, wanaofanya hivyo ni kwa maslahi ya nchi au wananchi?
Nimejipa muda wa kusikiliza pande...
Ukweli ni lazima usemwe hata kama ni Mchungu na bahati nzuri pia naisemea Tasnia ambayo naijua, naiishi na nimebobea nayo.
Waandishi wa Habari ( hasa mlio Newsroom ) mtakubaliana nami kuwa sasa ni kawaida kwa Waandishi wa Habari Kupenda kutumwa katika Ziara za Wakubwa ( Viongozi na Wanasiasa )...
Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania
Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick...
anafaa
azzan zungu
baada
bunge
bunge la jmt
dada
dada yangu
dkt. tulia
fomu
godwin kunambi
kugombea
kura
magufuli
maslahimaslahi ya wananchi
mbunge
mchungaji
muungano
nabii
nafasi
ndugai
stephen masele
sugu
tamaa
tanzania
uspika wa bunge
wabunge
wananchi
wengi
yangu
Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.
Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara.
Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh...
Sihitaji kueleza stori ndeefu,mpira unachezwa hadharani.
Uwepo wake mpaka muda huu pengine kocha na uongozi wana maslahi naye.Ila kwa sisi mashabiki BIG NO.
Ni hivi,mashabiki kwa umoja wetu tunasema hili ni garasa. Najitahidi kuandika kwa staha.
Mkataba uvunjwe mara moja kwa maslahi ya sisi...
Bunge ni sauti ya wananchi, kama sauti ya wananchi kupitia spika wao inahoji juu ya mkopo ambao unakopwa kwa manufaa ya wachache wala sio wananchi alafu inabagazwa namna hii basi katiba yetu ina matatizo makubwa.
Tunahitaji katiba ambayo itaondoa madaraka makubwa ya rais kama mkuu wa Executive...
Bahati nzuri ikulu imemuumbua kwamba yeye anatetea hata kitu Cha kijinga ilimradi kina maslahi ndani yake.
Hilo swala la figure kukosewa yeye ameshakuwa msemaji wa serikali na kuona ndo ukweli wenyewe.
Hayuko tofauti sana na Pascal mayala
Nadhani Gerson Msigwa anaomba mama afuatilie kuona kama anafaa au amteme. Mambo anayopost Msigwa siyo mambo yakupamba kurasa za watu wa kariba yake. Ukurasa wake wa mtandao wa kijamii unasave purpose yake binafsi na Serikali pia.
Account yake inategemewa kuendelea kuitangaza Nchi, kumbuka...
Kila kona Tanzania watu wamewadharau na kuwaona ni wapuuzi na washamba kabisa. Kuvamia na kuvurumua gheto la mzalendo mtetezi wa taifa lenu?
Mmeshinda kutwa nzima mitandaoni wanasiasa wa upinzani na wahuni wa Ccm waliozoea kupiga madili. Mkipotosha juu ya Ky Jelly. Upuuzi mkubwa.
Leo hii kila...
HAYA NDIYO MASLAHI YA NCHI NA HAKI ZA WANANCHI ALIZOSIMAMIA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI
Leo 15:15hrs 06/12/2021
Rais John Magufuli katika Awamu ya tano,kwa kutekeleza usimamizi wa maslahi ya nchi na haki za Wananchi ni kama aliingia vitani,tuliona maadui mbali katika sura ya "Kigogo" "Chahali" na...
Nimealikwa na Star ⭐️ TV nimekubali kwa sharti moja kwamba Mjadala ujikite katika kujenga na kuweka mbele Maslahi Mapana ya Nchi yetu!
NB: Ukitaka kujua NB ya leo fuatilia Star ⭐️ TV saa 3:30 Usiku na tutakuwa hewani pia! Mjuze na mwingine! https://t.co/HOoJjoCh4K
Jambo la kupongezwa kuona mawakili wa utetezi wakipambana vilivyo kuona haki za washitakiwa haziporwi.
Hata hivyo inashangaza ni kwa motisha gani upande wa mashtaka kupambana kikuku kuona ikiwezekana washitakiwa hawapati haki zao.
Faulo za upande wa mashtaka ziko nyingi na ziko wazi:
1...
Tuwe makini sana na hawa tunaowaita marafiki zetu wa faida, hawa hawa ndio hugeuka kuwa mwiba mkali katika maisha yetu hasa mkipishana kidogo kwenye masuala ya maslahi.
Rafiki huyu huyu ndio anaweza kuwa sumu ya kukuondoa hata uhai kisa maslahi, mwisho kabisa tusiwaamini sana hawa tunaowaita...
Wakati wa utawala wa dola ya Rumi, adhabu ya kusulubiwa msalabani ilikuwa ni adhabu kwa ajili ya wahalifu sugu, watu kama wauaji, majambazi na wahaini. Ilikuwa adhabu ya kudhalilisha, ya kikatili na iliyo hakikisha mateso makuu kabla ya kifo. Mtu aliye tundikwa msalabani alikuwa anaomba afe...
Katiba inabeba msingi mzima wa mahusiano baina ya watu na watu na pia watu na mamlaka katika nchi.
Tuna malalamiko ya msingi kuhusiana na mahusiano haya hapa nchini. Hatuko sawa mbele za haki. Hatuko sawa mbele ya sheria. Pana upendeleo wa wazi ambapo waliopo madarakani kama wawamba ngoma...
Huyu mama Maajar ni miongoni mwa Waanzilishi/Wamiliki wa kampuni ya REX ATTORNEYS na hiyo kampuni ya uwakili ndiyo inayoiwakilisha Symbion na Dowans katika kesi zao dhidi ya TANESCO.
Halafu unatoka hapo unamteua huyo mtu kuwa mjumbe wa bodi ya TANESCO, huoni kuna mgongano wa Maslahi hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.